Mahakama Kuu yafuta mashtaka 14 kati ya 25 ya Masheikh wa Uamusho

بسم الله الرحمن الرحيم ikiwa kwa lugha ya Kiswahili imekushtua hii sasa itakumaliza
Sasa kulikuwa na shida gani kuandika tu kwa lugha tunayoijua wote kwamba "katika jina la Mwenyezi Mungu mwenye huruma"

Sionagi umuhimu wowote wa kushinikiza matumizi ya lugha ya kiarabu wakati lengo kuu ni mtu kuelewa maana ya ujumbe.

Matokeo yake watu wengi wana recite quran kama kasuku bila kujua maama ya wakisemacho.

Pia kusoma koran kwa kiarabu sio uhakika wa kuwa karibu na Mwenyezi Mungu, Mtu anaweza akawa hajui kiarabu akasoma korani kwa lugha yoyote na endapo akaelewa na kuyatekeleza yaliyomo kwenye korani basi huyo ana connection kubwa ya Mungu mara elfu 1 zaidi kuliko anaejua korani kwa kiarabu ama kufosi kuisoma kwa kiarabu.

Mungu anajua hata lugha za kila mnyama, sembuse lugha hizi za binadamu ???

Ni vile tu mashehe wanaongezaga vitu vitu vyao ili kuhalalisha matumizi ya kiarabu lakini hakuna vitu hivi.
 
Kama huyajui ujue hayakuhusu
Mkuu umetisha

Unaweza ukamsikia Mtu mzima wa Kiafrika akisema Haleluya! Haleluya! mbele ya ya Waafrika wenzake wakati sisi sio Waebrania.

Mkuu una hoja tena ikibidi ifungulie uzi tujadiliane.
 
Allah karim aweke wepesi kwenye uzito...haki itendeke masheikh wetu warudi kuwa huru amiin,tangu 2012 mpaka leo tulikuwa tunachungulia madirishani pale kisutu wakiletwa mahakamani nakurudishwa mpaka leo nimezeeka aise wamesota sana,tunamuomba allah alete kheri kwa jambo hili amiin.
 
Bismillahir Rahmaanir Rahiim

SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

LEO TAREHE 23/04/2021, MAHAKAMA KUU AMEFUTA MASHTAKA 14 YA MASHEIKH.

Mawakili wanaowatetea Masheikh wamezoa ushindi mkubwa leo Mahakani katika mapingamizi waliyoweka dhidi ya upande wa Jamhuri.

Mapingamizi hayo yalikuwa dhidi ya ukiukwaji wa sheria ulio wawezesha upande wa Jamhuri kufungua kesi nzito (Criminal Session Na. 121/3020), dhidi ya Masheikh hao.

Katika shauri hilo la Jinai Mahakama imekubaliana na hoja zilizojengwa na Mawakili hao kutoka katika katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania na pia Katiba ya Zanzibar na sheria nyingine ikiwemo sheria ya Kuzuia Ugaidi.

Kwa muktadha huo Mahakama Kuu imeyafuta mashitaka 14 kati ya mashitaka 25 yanayowakabili Masheikh hao.

Mashtaka 11 yaliyobaki yataanza kusikilizwa Mahakama Kuu Dar es Salaam jumanne tarehe 27.4.2021.

Wananch mnaombwa kuwa karibu na kesi hizi ambazo zina mafundisho na mambo mengi ya kuzingatiwa.

Ibrahim Z. Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tanzania.
0713118812
Kwani hayo mashtaka ni yapi hasa?
 
Sionagi umuhimu wowote wa kushinikiza matumizi ya lugha ya kiarabu wakati lengo kuu ni mtu kuelewa maana ya ujumbe.

Matokeo yake watu wengi wana recite quran kama kasuku bila kujua maama ya wakisemacho.

Pia kusoma koran kwa kiarabu sio uhakika wa kuwa karibu na Mwenyezi Mungu, Mtu anaweza akawa hajui kiarabu akasoma korani kwa lugha yoyote na endapo akaelewa na kuyatekeleza yaliyomo kwenye korani basi huyo ana connection kubwa ya Mungu mara elfu 1 zaidi kuliko anaejua korani kwa kiarabu ama kufosi kuisoma kwa kiarabu.

Mungu anajua hata lugha za kila mnyama, sembuse lugha hizi za binadamu ???

Ni vile tu mashehe wanaongezaga vitu vitu vyao ili kuhalalisha matumizi ya kiarabu lakini hakuna vitu hivi.
Kiarabu ni lugha ya qur an mzee...usijidanganye wapi umesikia qur an ikisomwa kwa lugha tofauti na kiarabu kama hujui kiarabu sharti ujifunze ili uisome qur an kwa ufasaha,hata huko kaburini au akhera na kisimamo cha mwisho yaani kiama lugha kuu itakayotumika ni kiarabu,huwezi kuisoma vizuri na kwa ufasaha qur ani bila kiarabu...soma kwanza kwa kiarabu halafu ndio ujifunze tafsiri...ukiisoma bila tafsiri unapata malipo na pia ukiisoma na tafsiri unalipwa,huo mtazamo wako unakopotosha mkuu.
 
Bismillahir Rahmaanir Rahiim

SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

LEO TAREHE 23/04/2021, MAHAKAMA KUU AMEFUTA MASHTAKA 14 YA MASHEIKH.

Mawakili wanaowatetea Masheikh wamezoa ushindi mkubwa leo Mahakani katika mapingamizi waliyoweka dhidi ya upande wa Jamhuri.

Mapingamizi hayo yalikuwa dhidi ya ukiukwaji wa sheria ulio wawezesha upande wa Jamhuri kufungua kesi nzito (Criminal Session Na. 121/3020), dhidi ya Masheikh hao.

Katika shauri hilo la Jinai Mahakama imekubaliana na hoja zilizojengwa na Mawakili hao kutoka katika katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania na pia Katiba ya Zanzibar na sheria nyingine ikiwemo sheria ya Kuzuia Ugaidi.

Kwa muktadha huo Mahakama Kuu imeyafuta mashitaka 14 kati ya mashitaka 25 yanayowakabili Masheikh hao.

Mashtaka 11 yaliyobaki yataanza kusikilizwa Mahakama Kuu Dar es Salaam jumanne tarehe 27.4.2021.

Wananch mnaombwa kuwa karibu na kesi hizi ambazo zina mafundisho na mambo mengi ya kuzingatiwa.

Ibrahim Z. Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tanzania.
0713118812
Ayo mambo msisingizie magu, yeye aliyakuta na hakutaka kuyaingilia nadhani wenye makosa hapo ni babu sheni na jakaya
 
Unaweza ukasikia Mtu mzima wa Kiafrika akisema Aleluya! Aleluya! mbele ya ya Waafrika wenzake wakati sisi sio Waebrania.

Mkuu una hoja tena ikibidi ifungulie uzi tujadiliane
Hoja ya kuoza.
 
Unaweza ukasikia Mtu mzima wa Kiafrika akisema Aleluya! Aleluya! mbele ya ya Waafrika wenzake wakati sisi sio Waebrania.

Mkuu una hoja tena ikibidi ifungulie uzi tujadiliane.
Cha kushangaza wengi hata hawajuagi maana ya halleluyah wala amen, wanakuwa kama kasuku tu
 
Kesi na kushikiliwa kws masheikh wa uamsho kunafikirisha sana (iwe Wana hatia au hawana). Iweje baada ya hao masheikh kukamatwa na kuhamishiwa Bara, Zanzibar kumekuwa shwari, yale mashambulio ya tindikali na risasi kwa wageni yamekoma kabisa.

Vv
Kumwagia tindikali watalii ni economic sabotage, kama ikidhibitika pasi na shaka walifanya hivyo, wataozea jela
 
Back
Top Bottom