Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,059
Magufuli ndio alikuwa ana zuia
Ila angeandika Haleluya ungefurahia tu hata kama hujui kiebrania?Bismillahir Rahmaanir Rahiim ndio nini??
Hii habari umewaletea waarabu au watanzania tuñaoongea kiswahili.
Heri ungetumia maneno ambayo kila moja anayajua
Bismillahir Rahmaanir Rahiim ndio nini??
Hii habari umewaletea waarabu au watanzania tuñaoongea kiswahili.
Heri ungetumia maneno ambayo kila moja anayajua
Mimi siwezi kuumizwa na dini hizi ambazo zina maswali yasiyojibika na yeyote.ukigoogle ni kwamba dunia Ina watu billion 7.Dini inayoongoza kwa kuwa na wafuasi wengi ni budha watu 1.7billion ya pili ni christian 1.3billion ya tatu ni Islam 1.1billion. Mi nimetaja hizo tatu ambazo zinaongoza kuwa na waumini wengi kuliko zote.Ila zimeororodheshwa nyingi. Utata mwingine kila dini ina Mungu wake, na misaafu ya hizo dini inatofautiana baina ya dini moja na nyingine. Na kila misaafu unadai Mungu wake ndiye muumba. Na baadhi ya maandishi ndani ya misaafu hiyo hayawatambui wafuasi wa dini nyingine kama waumini wa Mungu. Maswali ya kujiuliza ambayo hayana majibu ni: Kama yule anayeabudiwa na wabudha mwenye wafuasi wengi duniani1.7bil ndiye muumbaji iweje watu bil5.3 wamponyoke? Nadhani kila misaafu umemtaja kuwa ni muweza wa yote, huyo aliyempokonya hao 5.7bilion alipata wapi hayo manlaka na uwezo. Ni kiumbe wake kweli aliweza kupata hayo maarifa na kumnyang'anya hao 5.7bil? Lingine ina maana karuhusu viumbe alivyoviumba vijitangaze miungu na kumpora wafuasi makundi kwa makundi huku yeye akitazama tu? Najua maswali ya msingi kama haya hayana majibu. Kwa muhtasari huo mfupi, siwezi kukasirika hata kidogo kwa kauli yako kuwa, katika dunia hii yenye watu bilion7 mchangayiko dini tofauti,na hakuna dini hata 1 iliyoweza kucover hata theluth ya watu duniani ya kuwa "ili mtu asikilizwe na Mungu lazima atumie lugha ya kiarabu kumwomba." Na badala yake nimejikuta nafurahi na kucheka kwa jinsi walivyofanikiwa kutuaminisha hayo mambo.Naam,umia mpaka upasuke.
ALLAHU AKBAR JALLAJALLAL.
yaliyo. wakuta ni kama ya Tundu Lissu kwa njia nyingine!!Ukiacha kuelemea CCM vyombo vya ulinzi vya TZ vina utash mkubwa wa kufanya kazi, hawa watu inawezekana walikuwa tishio kweli
Unajuaje kama aliyekua anafanya hayo matukio kafariki au kaamua kuacha,usihukumu kwa hisia.Tusubiri maamuzi ya mahakama kwa sababu kupitia mahakama ndipo tutajua waliowakamata na kuwashtaki walikua na ushahidi gani.Ikithibitika wana hatia sheria ifwate mkondo wake ikiwa tofauti pia kila mtu apate kinachomstahili.Kesi na kushikiliwa kws masheikh wa uamsho kunafikirisha sana (iwe Wana hatia au hawana). Iweje baada ya hao masheikh kukamatwa na kuhamishiwa Bara, Zanzibar kumekuwa shwari, yale mashambulio ya tindikali na risasi kwa wageni yamekoma kabisa.
Vv
Kama haki ilikiukwa basi ni kheri sasa imeanza kuonekana ikitendeka.Ila kama ni amri kutoka mahali flani basi siyo fair
Pambaneni tu na hali zenu
Acha uongo, maelekezo na kuwekwa kwao ndani ilikuwa amri ya raisi wa awamu ya nne (4) na siyo awamu ya tano (5).
Ni wakati gani zanzibar watu walipigwa risasi na kuuawa "ovyo ovyo" ? Habari hii umeipata wapi na sisi ambao hatujawahi kuisikia tukaisome ??Nadhani hao mashehe wa uamsho wamejifunza mengi kwa kukaa rumande hata wakiachiwa huru leo hatutasikia tena watu wakipigwa risasi na kuuawa ovyo ovyo kama wakati ule walipoanzisha uamsho wao
Unadhani kwanini walikua wanang’ang’aniwa tangu kipindi cha kikwete?Yale maelekezo kutoka juu sasa hayapo yalioondoka pamoja naye.
J4 tutegemee wataachiwa huru.
Mungu mkubwa!
Watanzania ni watu wa mikumbo sana unaweza ukamjua mtu A ni mwizi wa miaka mingi ila huna ushahidi kumkamata mtu na ushahidi wa ugaidi sio rahisi mpaka leo hii MAREKANI hawana ushahidi kama Osama alihusika moja kwa moja Sept 11 Ndio mana hawakumbeba kumpeleka mahakamani ... ngoja yaanze tena ndio mtakumbuka nini kiliwaweka ndaniYahwe amtangule Tundu Antipass Lissu, ajenda zake zote zinafanyiwa Kazi, bwana Yahwe asifiwe!
Huna unachojua Boss sio kila kitu ujue hata hivyo ila ndivyo ilivyoNi wakati gani zanzibar watu walipigwa risasi na kuuawa "ovyo ovyo" ? Habari hii umeipata wapi na sisi ambao hatujawahi kuisikia tukaisome ??
Comment yako nimeitazama kwa jicho la tatu (sio tigo lakini). Imenikumbusha watanzania ni wamoja.Hallelujah Mungu ashukuriwe maombi yetu yamefanya kazi.
Nadhani hao mashehe wa uamsho wamejifunza mengi kwa kukaa rumande hata wakiachiwa huru leo hatutasikia tena watu wakipigwa risasi na kuuawa ovyo ovyo kama wakati ule walipoanzisha uamsho wao
Ukweli mchungu kaka.Nadhani hao mashehe wa uamsho wamejifunza mengi kwa kukaa rumande hata wakiachiwa huru leo hatutasikia tena watu wakipigwa risasi na kuuawa ovyo ovyo kama wakati ule walipoanzisha uamsho wao
Vipo vingi ninavyovijua kama ambavyo unavyo vingi unavyovijua, hakuna haja ya mihemko, kama swali langu ni gumu achana nalo.Huna unachojua Boss sio kila kitu ujue hata hivyo ila ndivyo ilivyo
Jf inadhihirisha kuwa siku hizi ina wapuuzi wengi mno.Aliyekuwa mkuu wa nchi, akatoa maelekezo na kuridhia kuwasweka mahabusu bado yupo!