GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,541
- 6,020
Unaumiaje mtu kuamua kutumia lugha anayopenda mwenyewe?Kivipi
Unaumiaje mtu kuamua kutumia lugha anayopenda mwenyewe?Kivipi
Akili yako imeishia hapo kufikiri?Bismillahir Rahmaanir Rahiim ndio nini??
Hii habari umewaletea waarabu au watanzania tuñaoongea kiswahili.
Heri ungetumia maneno ambayo kila moja anayajua
Walifungwa kipindi cha KikweteMagu or Shein
Hoja ni kuwa tuache Utumwa wa kuongea lugha ya Kiarabu na Kiebrania sisi ni WaafrikaUnaumiaje mtu kuamua kutumia lugha anayopenda mwenyewe?
Kiarabu ni lugha ya qur an mzee...usijidanganye wapi umesikia qur an ikisomwa kwa lugha tofauti na kiarabu kama hujui kiarabu sharti ujifunze ili uisome qur an kwa ufasaha,hata huko kaburini au akhera na kisimamo cha mwisho yaani kiama lugha kuu itakayotumika ni kiarabu,huwezi kuisoma vizuri na kwa ufasaha qur ani bila kiarabu...soma kwanza kwa kiarabu halafu ndio ujifunze tafsiri...ukiisoma bila tafsiri unapata malipo na pia ukiisoma na tafsiri unalipwa,huo mtazamo wako unakopotosha mkuu.
Ungependa waendelee kusota jela ken_ge ww,,acha chuki nyau ww
Kwa comment hii, inonyesha jinsi waarabu walivyofanikiwa kwa kiasi kikubwa kuteka akili za wanadamu wengi duniani, kwamba msipomwomba Mungu kwa lugha yetu sisi hamtasikilizwa.Kiarabu ni lugha ya qur an mzee...usijidanganye wapi umesikia qur an ikisomwa kwa lugha tofauti na kiarabu kama hujui kiarabu sharti ujifunze ili uisome qur an kwa ufasaha,hata huko kaburini au akhera na kisimamo cha mwisho yaani kiama lugha kuu itakayotumika ni kiarabu,huwezi kuisoma vizuri na kwa ufasaha qur ani bila kiarabu...soma kwanza kwa kiarabu halafu ndio ujifunze tafsiri...ukiisoma bila tafsiri unapata malipo na pia ukiisoma na tafsiri unalipwa,huo mtazamo wako unakopotosha mkuu.
Wewe ndio mwehu,kwa sababu hujanielewa nilichoandika....nakukumbusha tu niliandika kuwa ...qur an isomwe kwanza kwa kiarabu,halafu ndio isomwe kwa tafsiri ya lugha ya msomaji...hakuna qur an itakayosomwa kama unavyotaka wewe mpaka mwisho wa dunia'itasomwa hivyo hivyo.Na uelewe mimi sipingi tafsiri kusomwa .....hutakiwi kusoma qur an kama wimbo bali uelewe unachokisoma,usijidanganye eti qur an inasomwa kwa kiarabu kwa hamasa au ujanja wa waarabu hakuna kitu kama hicho.😂😂 Wewe kweli chizi, eti mtu asome korani bila tafsiri, yani asielewe anachosoma, Sasa hiki ni kitu gani kama sio ukasuku huu?
Kumbuka mwenyezi Mungu alituumba kwa mfano wake, sio kwamba katuumba tufanane nae macho, kisogo, vidole, mdomo, rangi, n.k LA Hasha!! Mwenyezi Mungu katuumba tufanane nae kwa roho kama yake, Yani sisi binadamu tuna kitu cha ziada ukiachana na mwili, damu na mifupa kama viumbe wengine, sisi tumepewa zawadi ya kufanya maamuzi, kujua baya na zuri, Kuongea lugha tofauti na kuzitafsiri, kuvumbua vitu, n.k. Kwa hio sisi ni viumbe tuliopendelewa sana, Mwenyezi Mungu katuumba tuwepo kwajili yake, Katuumba bila mawazo ya Mwengine, Katuumba bila kuazima udongo wala kifaa chochote kwa mwengine, Anataka tuwe karibu yake kwa kujenga mahusiano nae sio kwa lugha bali kwa kumwelewa kupitia maandiko yake kwa kile anachotaka tufanye.
Sasa hivi kweli Mwenyezi Mungu kashusha ujumbe ili tuusome kama makasuku?? Hapana.
Kusoma korani ni safari ya mwanzo kabisa katika kumjua Mwenyezi Mungu, yani naweza kusema kama mtu katoka Mbeya kwenda dar, basi uzito wa Korani ni kufika Makambako (katikati ya Mbeya na Iringa), Mtu anaweza akawa anakichapa kiarabu kisawasawa na hata mistari mingi tu ya korani anaitema kutoka kichwani tena kwa kiarabu, Lakini kama huyu mtu hatekelezi ama kujua maana yake halisi ya hicho akisomacho ni sawa na bure tu.
Hata lugha iwe ngumu vp au pana vp, maana ya maneno huwa inatafsirika tu labda kutakuwa tu na ugumu wa kupata neno moja linalojitosheleza kwa lugha nyingine lakini maana itaeleweka tu hata kwa kuwekea maneno mengi ili kupata tafsiri.
Waarabu wajanja sana hao, wamegeuza lugha yao kuwa fimbo, Hili ndio tatizo la binadamu yani.
Acha uongo, maelekezo na kuwekwa kwao ndani ilikuwa amri ya raisi wa awamu ya nne (4) na siyo awamu ya tano (5).Aliyekuwa mkuu wa nchi, akatoa maelekezo na kuridhia kuwasweka mahabusu bado yupo!
Naam,umia mpaka upasuke.Kwa comment hii, inonyesha jinsi waarabu walivyofanikiwa kwa kiasi kikubwa kuteka akili za wanadamu wengi duniani, kwamba msipomwomba Mungu kwa lugha yetu sisi hamtasikilizwa.
Hayo ya lugha achaneni nayo. Hayo ni mambo ya mpito, kuna siku au muda hayo yatabadilika na Quran itasomwa hata kwa Kidengereko. Wakristu nao, si mBiblia na misa zikisomwa, kilatini, kiebrania, leo mhii zzinasomwa Kiswahili. Mungu hana lugha kwa hiyo hakuna mahali iliagizwa vitabu vitakatifu visomwe kwa lugha fulani.Wewe ndio mwehu,kwa sababu hujanielewa nilichoandika....nakukumbusha tu niliandika kuwa qur an isomwe kwanza kwa kiarabu halafu ndio isomwe kwa tafsiri ya lugha ya msomaji...hakuna qur an itakayosomwa kama unavyotaka wewe mpaka mwisho wa dunia itasomwa hivyo hivyo na uelewe mimi sipingi tafsiri kusomwa hutakiwi kusoma qur an kama wimbo bali uelewe unachokisoma,usijidanganye eti qur an inasomwa kwa kiarabu kwa hamasa au ujanja wa waarabu hakuna kitu kama hicho.
Mtoto anapopelekwa madrasa kuisoma qur an lazima aanze kuisoma kama ilivyo kwa kiarabu kisha atasoma tafsiri ili aelewe anachokisoma usitake kuwapangia watu unavyotaka wewe punguzeni chuku mtu akiandika BISMILLAH RAHMAN RAHIIM..wewe kinakukereketa ni kinini? Tulia haya huyawezi waachie wahusika.
Hayo ya lugha achaneni nayo. Hayo ni mambo ya mpito, kuna siku au muda hayo yatabadilika na Quran itasomwa hata kwa Kidengereko. Wakristu nao, si mBiblia na misa zikisomwa, kilatini, kiebrania, leo mhii zzinasomwa Kiswahili. Mungu hana lugha kwa hiyo hakuna mahali iliagizwa vitabu vitakatifu visomwe kwa lugha fulani
Qur an sio biblia mzee haitaweza kutokea milele na milele.Hayo ya lugha achaneni nayo. Hayo ni mambo ya mpito, kuna siku au muda hayo yatabadilika na Quran itasomwa hata kwa Kidengereko. Wakristu nao, si mBiblia na misa zikisomwa, kilatini, kiebrania, leo mhii zzinasomwa Kiswahili. Mungu hana lugha kwa hiyo hakuna mahali iliagizwa vitabu vitakatifu visomwe kwa lugha fulani.
Tusiongee sana, Twende straight kwenye maandiko, Tetea hicho kitu ulichoandika, ni wapi kwenye korani wameandika hivyo vitu maama isije ikawa watu mnafanya hivi vitu kwa mazoea. Leta maandiko.Wewe ndio mwehu,kwa sababu hujanielewa nilichoandika....nakukumbusha tu niliandika kuwa ...qur an isomwe kwanza kwa kiarabu,halafu ndio isomwe kwa tafsiri ya lugha ya msomaji...hakuna qur an itakayosomwa kama unavyotaka wewe mpaka mwisho wa dunia'itasomwa hivyo hivyo.Na uelewe mimi sipingi tafsiri kusomwa .....hutakiwi kusoma qur an kama wimbo bali uelewe unachokisoma,usijidanganye eti qur an inasomwa kwa kiarabu kwa hamasa au ujanja wa waarabu hakuna kitu kama hicho.
Mtoto anapopelekwa madrasa kuisoma qur an,lazima aanze kuisoma kama ilivyo kwa kiarabu kisha atasoma tafsiri ili aelewe anachokisoma usitake kuwapangia watu unavyotaka wewe punguzeni chuki...mtu akiandika BISMILLAH RAHMAN RAHIIM..wewe kinakukereketa ni kinini? Tulia haya huyawezi waachie wahusika.
Kwani wao ndio walupiga watu risasi,Kama una ushahidi peleka uisaidie serikali ndugu.Nadhani hao mashehe wa uamsho wamejifunza mengi kwa kukaa rumande hata wakiachiwa huru leo hatutasikia tena watu wakipigwa risasi na kuuawa ovyo ovyo kama wakati ule walipoanzisha uamsho wao
Peleka ushahidi ili waendelee kukaa gerezani,Inatakiwa waendelee kushikiliwa ili liwe funzo kwa wengine wanaojidai wanaipigania dini ya allah
Peleka ushahidi wa wao kuhusika,usificheKesi na kushikiliwa kws masheikh wa uamsho kunafikirisha sana (iwe Wana hatia au hawana). Iweje baada ya hao masheikh kukamatwa na kuhamishiwa Bara, Zanzibar kumekuwa shwari, yale mashambulio ya tindikali na risasi kwa wageni yamekoma kabisa.
Vv
Weka kwanza andiko la kupinga halafu ndio uwekewe.Tusiongee sana, Twende straight kwenye maandiko, Tetea hicho kitu ulichoandika, ni wapi kwenye korani wameandika hivyo vitu maama isije ikawa watu mnafanya hivi vitu kwa mazoea. Leta maandiko.
Tusiongee sana, Twende straight kwenye maandiko, Tetea hicho kitu ulichoandika, ni wapi kwenye korani wameandika hivyo vitu maama isije ikawa watu mnafanya hivi vitu kwa mazoea. Leta maandiko.
كِتَابٌ فُصِّلَتْ آيَاتُهُ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِقَوْمٍ يَعْلَمُونَ {3}
“Ni Kitabu kilichopambanuliwa Aya zake, cha kusomwa kwa kiarabu kwa watu wanaojua, kinachotoa bishara na kuonya” (41:3 – 4).بَشِيرًا وَنَذِيرًا {4}