Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,826
Ni sawa sawa na wakristo waseme injili ni English, kwamba ujifunze kwa kiingereza kwanza halafu ndio uje kiswahili. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiarabu ni lugha ya qur an mzee...usijidanganye wapi umesikia qur an ikisomwa kwa lugha tofauti na kiarabu kama hujui kiarabu sharti ujifunze ili uisome qur an kwa ufasaha,hata huko kaburini au akhera na kisimamo cha mwisho yaani kiama lugha kuu itakayotumika ni kiarabu,huwezi kuisoma vizuri na kwa ufasaha qur ani bila kiarabu...soma kwanza kwa kiarabu halafu ndio ujifunze tafsiri...ukiisoma bila tafsiri unapata malipo na pia ukiisoma na tafsiri unalipwa,huo mtazamo wako unakopotosha mkuu.
Sasa kuna point gani utumie lugha ngumu kujifunza jambo halafu unakuja tena kutafasiri kwa lugha yako wakati ungetumia tu shortcut kujifunza kwa lugha yako...