Aisee ugaidi sio bunduki Boss ni mtandao ...
Kwa maslai ya wazanzibari Zanzibar iliungana na tanzania baada ya mapinduzi ndani ya miezi mitatu tu motive ilikua ni kujihakikishia ulinzi... sio wazanzibar wote wanapenda na kumbuka zanzibar ulikua ni mji mkuu wa OMAN 🇴🇲Huko Zanzibar ufanywe ugaidi Kwa maslahi ya Nani?.
Kwa maslai ya wazanzibari Zanzibar iliungana na tanzania baada ya mapinduzi ndani ya miezi mitatu tu motive ilikua ni kujihakikishia ulinzi... sio wazanzibar wote wanapenda na kumbuka zanzibar ulikua ni mji mkuu wa OMAN [emoji1190]
Wako ndani toka 2014.
Kipindi chote cha awamu ya mwendazake kaziba masikio na hakuona kuwa hawatendewi haki pamoja na makelele yote yaliyokuwapo?
Wangapi wengine zaidi mwendazake alihakikisha wanaendelea kuozea hela na kuishi kama mashetani?
Hiiiiii bagosha!
Angalia hii scenario alafu uniambie:Kesi sahihi wanayotakiwa wapewe NI KUTAKA kufanya mapinduzi au UHAINI.
LAKINI SIO UGAIDI.
Usifanye mchezo na ugaidi
We unadhani ugaidi ni nini?Kesi sahihi wanayotakiwa wapewe NI KUTAKA kufanya mapinduzi au UHAINI.
LAKINI SIO UGAIDI.
Usifanye mchezo na ugaidi
Labda wenye hela ndio zao lake. Hawa jamaa sijui walifanya nini
We unadhani ugaidi ni nini?
Waliingia enzi za msoga sio kila lawama apewe mwenda zakeMagu or Shein
Ila wakatulie sasa . hatutaki kusikia visa vya kumwagia watu tindikaliBismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
LEO TAREHE 23/04/2021, MAHAKAMA KUU AMEFUTA MASHTAKA 14 YA MASHEIKH.
Mawakili wanaowatetea Masheikh wamezoa ushindi mkubwa leo Mahakani katika mapingamizi waliyoweka dhidi ya upande wa Jamhuri.
Mapingamizi hayo yalikuwa dhidi ya ukiukwaji wa sheria ulio wawezesha upande wa Jamhuri kufungua kesi nzito (Criminal Session Na. 121/3020), dhidi ya Masheikh hao.
Katika shauri hilo la Jinai Mahakama imekubaliana na hoja zilizojengwa na Mawakili hao kutoka katika katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania na pia Katiba ya Zanzibar na sheria nyingine ikiwemo sheria ya Kuzuia Ugaidi.
Kwa muktadha huo Mahakama Kuu imeyafuta mashitaka 14 kati ya mashitaka 25 yanayowakabili Masheikh hao.
Mashtaka 11 yaliyobaki yataanza kusikilizwa Mahakama Kuu Dar es Salaam jumanne tarehe 27.4.2021.
Wananch mnaombwa kuwa karibu na kesi hizi ambazo zina mafundisho na mambo mengi ya kuzingatiwa.
Ibrahim Z. Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tanzania.
0713118812
Mimi nimeshuhudia kwa macho ..sijahadithiwa!!Nlichokisikiaga mimi ni kuwa hao jamaa hawajasingiziwa kabisa.
Kumbuka walianza toka awamu ya Jk na Shein kule Zanzibar.
Jk akashauriwa na kupewa maelezo yote vile jamaa walivyohusika, na bila kutafakar mara mbili akaamua awaweke ndani.
Jk hakuwa mdini, kumbuka hata Shekh Pondo alkuwa akipambana na Utawala wa Jk na alikuwa akisulubiwa mno Shekh Ponda.
Hayat Magufuli alipokea tu kijiti kwa kuelezwa uhalisia wa hawa mashekh.
Sijajua hasa Rais Samia ni kitu amekiona ama kimepangwa juu ya hili jambo.
Hao jamaa imeonekana walikuwa wakijuhusisha 100% na mambo ya ugaidi.Mimi nimeshuhudia kwa macho ..sijahadithiwa!!
Ningeongea lakini sihitaji malumbano Na waja wa M/Mungu humu!!
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Sasa hili ni swali kweli?Nikuulize Ndugu kweni Mungu ni Kabila gani?
Allahu Akbar, ALlahu Akbar, Allahu AKbarBismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
LEO TAREHE 23/04/2021, MAHAKAMA KUU AMEFUTA MASHTAKA 14 YA MASHEIKH.
Mawakili wanaowatetea Masheikh wamezoa ushindi mkubwa leo Mahakani katika mapingamizi waliyoweka dhidi ya upande wa Jamhuri.
Mapingamizi hayo yalikuwa dhidi ya ukiukwaji wa sheria ulio wawezesha upande wa Jamhuri kufungua kesi nzito (Criminal Session Na. 121/3020), dhidi ya Masheikh hao.
Katika shauri hilo la Jinai Mahakama imekubaliana na hoja zilizojengwa na Mawakili hao kutoka katika katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania na pia Katiba ya Zanzibar na sheria nyingine ikiwemo sheria ya Kuzuia Ugaidi.
Kwa muktadha huo Mahakama Kuu imeyafuta mashitaka 14 kati ya mashitaka 25 yanayowakabili Masheikh hao.
Mashtaka 11 yaliyobaki yataanza kusikilizwa Mahakama Kuu Dar es Salaam jumanne tarehe 27.4.2021.
Wananch mnaombwa kuwa karibu na kesi hizi ambazo zina mafundisho na mambo mengi ya kuzingatiwa.
Ibrahim Z. Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tanzania.
0713118812
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah umeongea ukweli mkali sana kiongoziSasa kulikuwa na shida gani kuandika tu kwa lugha tunayoijua wote kwamba "katika jina la Mwenyezi Mungu mwenye huruma"
Sionagi umuhimu wowote wa kushinikiza matumizi ya lugha ya kiarabu wakati lengo kuu ni mtu kuelewa maana ya ujumbe.
Matokeo yake watu wengi wana recite quran kama kasuku bila kujua maama ya wakisemacho.
Pia kusoma koran kwa kiarabu sio uhakika wa kuwa karibu na Mwenyezi Mungu, Mtu anaweza akawa hajui kiarabu akasoma korani kwa lugha yoyote na endapo akaelewa na kuyatekeleza yaliyomo kwenye korani basi huyo ana connection kubwa ya Mungu mara elfu 1 zaidi kuliko anaejua korani kwa kiarabu ama kufosi kuisoma kwa kiarabu.
Mungu anajua hata lugha za kila mnyama, sembuse lugha hizi za binadamu ???
Ni vile tu mashehe wanaongezaga vitu vitu vyao ili kuhalalisha matumizi ya kiarabu lakini hakuna vitu hivi.
Haleluya ni kiswahili, hallelujah sio kiswahiliUnaweza ukamsikia Mtu mzima wa Kiafrika akisema Haleluya! Haleluya! mbele ya ya Waafrika wenzake wakati sisi sio Waebrania.
Mkuu una hoja tena ikibidi ifungulie uzi tujadiliane.
Kwanini Shein aliwaleta huku bara?
Znz si Kuna magereza Tena nasikia kila ijumaa watuhumiwa wanakula Mandi ya mbuzi
Ni sawa na Asalaam aleykum sio Kiswahili Asalam alekum ni kiswahiliHaleluya ni kiswahili, hallelujah sio kiswahili