Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa





Hawa wanawake wazuri wako na roho mbaya sana
 
Aisee kumbe jamaa alikewa kwanza kwanza ndo akachomwa? Wanawake ni viumbe hatari sana
 
Dada mkatili sana huyo au alikuwa amechanganyikiwa.
 
sheria ya ndoa na talaka ya 1971 as ammended,''ukiishi na mwanamke zaidi ya miezi sita mfululizo huyo ni mkeo'' ANA HAKI ZOTE.mpe haki zake(mali,unyumba n.k)
Hahaaa pale juu ulisema mwezi mmoja. Hapo hapo hiyo sheria mnaikana pale mwanaume kafa halafu alikua anaishi kinyumba na mwanamke kwenye kugawana mali ndugu mnasema haipo hiyo.
 
Kijana aliingia cha kike, unaoa msichana ambaye hajacha usichana.
Ndoa walau chukua mtoto wa miaka 29 kuendelea mpaka 42.
 
Angekuwa na hela kama mke wa billionea msuya asingefungwa ....... wangesema marehemu kajichoma .....maana hata kesi ya mke wa msuya yule aneth msuya kakosa haki

Tutafute hela tu
 
Takwimu zikisema wananchi wa Marekani wana vipato vikubwa ukilinganisha na wananchi wa Tanzania. Je, unafikiri kauli hiyo inaondoa uhalisia kwamba hakuna Wa-Tanzania wachache walio na vipato vikubwa kuliko wa-Marekani?
😁
 
Unapigaje mswaki? Sema hujasafisha kinywa.
Mkuu ndiyo kiswahili hicho au wewe ni mkimbizi ndani ya hii nchi? Kupiga muziki je?. Kupiga deki je? Kupiga soga je? Kupiga pasi je? Nk nk nk
 
Zungu alikuwa mariooo,grace anamlea
Dem alizama kwa jamaa
Jamaa mambo ya mterezo gandalf
La ndizi ilimponza

Ova
Uhai hauna spea, pesa ina spea.

Wangeweza kuachana, Gire angetafuta pesa zingine na angepata, Pesa yenyewe shingapi ilikuwa kwani? Mtu kula na kulala na kuvaa anatumia bei gani kwa siku?

Binafsi nadhani kabla hujaingia kwenye mapenzi tafakari sana kama unaziweza changamoto zake, na kama afya yako ya akili iko sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…