Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Badilisha slogan iwe kataa mwanamke.safi sana, mpaka mtie akili
KATAA NDOA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badilisha slogan iwe kataa mwanamke.safi sana, mpaka mtie akili
KATAA NDOA
Acha upopoma mbona wapo wa dhehebu moja kabisa na bado walichomana hadi majivu kabisa..Grace Mushi na Abdallah Sekamba, ndiyo maana biblia inasema msifungiwe nira na asiyeamini
Wewe unaweza zaa na kijana asie na pesa ya kubadilisha mboga ? Mtakula mawe?kweli kabisa na wengi wanaongoza kuzaa na vijana akiona tu anahela ya kubadilisha mboga atamngangania mpaka 🤣
Kwa hiyo hiyo hukumu unataka kusema ni ushuzi baridi?Grace alishatoka kitambo tu ila alipotea mtaani kabisa,wale wasiojua waendelee kubakia hapo na mawazo hayo kuwa G yupo ndani[emoji848]
Huyu naye akili zake bure, sasa mtu atahukumiwaje kiifo yeye hayuko mahakamani.Hahahahaha...kumbe kafungwa hewa ? Ina maana wakati hii hukumu inatoka G hakuwepo mahakamani ?
Unataka tu mambo yawe mengi sababu ndio walewale nyie endeleeni kuwa vinganganizi kwa kigezo cha pesa tuWewe unaweza zaa na kijana asie na pesa ya kubadilisha mboga ? Mtakula mawe?
Mimi ni mwanaume , tunaongelea tu uhalisia wa maisha ya sasa ,pesa ndio kila kitu hakuna mtu asie penda pesa na kutamani ziwe nyingi afanye mambo yake bila stress.Unataka tu mambo yawe mengi sababu ndio walewale nyie endeleeni kuwa vinganganizi kwa kigezo cha pesa tu
Baki kwenye kupiga mswaki kwanza usikimbilie kote huko. Usikute unamtuma mdogo wako akakununulie dawa ya mswaki na sio dawa ya meno. Au unamtuma akakununulie vitafunio na sio vitafunwa.Mkuu ndiyo kiswahili hicho au wewe ni mkimbizi ndani ya hii nchi? Kupiga muziki je?. Kupiga deki je? Kupiga soga je? Kupiga pasi je? Nk nk nk
Kuna sehemu nimesema pesa si kitu?Mimi ni mwanaume , tunaongelea tu uhalisia wa maisha ya sasa ,pesa ndio kila kitu hakuna mtu asie penda pesa na kutamani ziwe nyingi afanye mambo yake bila stress.
Hawakuwa wanandoa hawa.safi sana, mpaka mtie akili
KATAA NDOA
Hakuna , nimesema tu bila kujalisha umesema pesa ni kitu ama sio kitu.Kuna sehemu nimesema pesa si kitu?
Kibosho Narumu nadhaniNi mushi wa masama kule machame?[emoji15] au mushi wa wapi..
Hapo ulitaka watetee nini mkuuWatetezi wa haki za wanawake wapo wapi.
Kibosho Narumu nadhani
Kumbe kuna kibosho narumu ? Mimi najua narumu ni machame tu ? Sema ipo mpakani🙄Kibosho Narumu nadhani
Haya hautasikia wakisema mkuu, siku zote kwenye masuala ya uzinzi mwanaume ni innocent, yani hata afanyeje anatakiwa asamehewe na avumiliwe tuMshkaji alikua. Marioo, añafungwa na mtoto wa kike afu anaendekeza ukitombi kwa resources za demu, grace akasema mbulaa isiww shida, unapita hivi.
Na pia wakiachana wanaweza kugawana mali pasu kwa pasu si ndioSerikali inasema ukishakaa na mwanamke ,pika nipakue ,mwenzi mmoja tu nakuendelea ,tayari hiyo ni ndoa
Sa unawaza kufa si hadi raisi aidhinishe, raisi kama huyu wa sasa unadhani anaweza idhinisha wanyongwe, wanaenda kula bata tu haoHakuna kitu kinatesa kama kukaa jela ukijua unapaswa kunyongwa na hujui lini utanyongwa.
Heri wanyongwe kuwaondolea msongo wa mawazo kuliko kuachwa hawana uhuru na wanawaza kufa muda wote.