Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

Ndio u smart wa wanawake wa huko Mana.
Na wanaume wajanja lazima waoe huko na inabidi wawe na Mali,wasomi, kiongozi na mjanja mjini.ukiwa mchunga ng'ombe huoi huko. Sharti Mali zako zinufaishe huko kwao na mwanamke. Na ndugu zake lazima hata wasomee kwako na wakulie kwako Kama Kuna madogo uwape mitaji Ila Sasa ndugu zako waishi kwako utaviona vitimbwi vyake.

Wengine wamefyeka msitu,wakang'oa visiki,wakapasua mawe,wakalima,wakapalilia,wakamwagilia Leo hii umepata Mali,pesa,cheo,elimu na maisha mazuri wengine wanavuna na kula tu. Walioteseka wakija wanaonekana Kama wachawi na wanafanyiwa vitimbwi hata hawakai mwezi ukaisha Ila was kwao wanaishi mpaka wanazeekea hapo, Wanao na kuolewa kwako,wanaanza na kumalizia shule kwako.

Hii transaction aka trading haijakaa sawa kabisa.
Yaani mwanamke na kwao wanakufaidi huku wewe ukifaidi kut00mba ambako nayeye anasikia pia utamu. Wanaume zindukeni wanawake wanatumia mahusiano kujinufaisha kwao,yeye huku kwenu pakizorota.

Nani akaoa huko anaishi na ndugu zake kwa amani nyoosha mkono ama unamsaidia mama yako bila vijimaneno.we need a large number of sample space so that we've exact mean approaching population mean.
 
kweli kabisa na wengi wanaongoza kuzaa na vijana akiona tu anahela ya kubadilisha mboga atamngangania mpaka 🤣
Wewe unaweza zaa na kijana asie na pesa ya kubadilisha mboga ? Mtakula mawe?
 
Unataka tu mambo yawe mengi sababu ndio walewale nyie endeleeni kuwa vinganganizi kwa kigezo cha pesa tu
Mimi ni mwanaume , tunaongelea tu uhalisia wa maisha ya sasa ,pesa ndio kila kitu hakuna mtu asie penda pesa na kutamani ziwe nyingi afanye mambo yake bila stress.
 
Mkuu ndiyo kiswahili hicho au wewe ni mkimbizi ndani ya hii nchi? Kupiga muziki je?. Kupiga deki je? Kupiga soga je? Kupiga pasi je? Nk nk nk
Baki kwenye kupiga mswaki kwanza usikimbilie kote huko. Usikute unamtuma mdogo wako akakununulie dawa ya mswaki na sio dawa ya meno. Au unamtuma akakununulie vitafunio na sio vitafunwa.
Nenda popote pale kiswahili sanifu sio kupiga mswaki ni kusafisha kinywa na sio kusafisha meno, ukitumia mswaki.
 
Mimi ni mwanaume , tunaongelea tu uhalisia wa maisha ya sasa ,pesa ndio kila kitu hakuna mtu asie penda pesa na kutamani ziwe nyingi afanye mambo yake bila stress.
Kuna sehemu nimesema pesa si kitu?
 
Mshkaji alikua. Marioo, añafungwa na mtoto wa kike afu anaendekeza ukitombi kwa resources za demu, grace akasema mbulaa isiww shida, unapita hivi.
Haya hautasikia wakisema mkuu, siku zote kwenye masuala ya uzinzi mwanaume ni innocent, yani hata afanyeje anatakiwa asamehewe na avumiliwe tu
 
Hakuna kitu kinatesa kama kukaa jela ukijua unapaswa kunyongwa na hujui lini utanyongwa.
Heri wanyongwe kuwaondolea msongo wa mawazo kuliko kuachwa hawana uhuru na wanawaza kufa muda wote.
Sa unawaza kufa si hadi raisi aidhinishe, raisi kama huyu wa sasa unadhani anaweza idhinisha wanyongwe, wanaenda kula bata tu hao
 
Back
Top Bottom