Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mi naua kukua tu braza, binadamu hiyo ni ishu nyingine.Kwa muonekano wako omba kazi hyo ukatekeleze hukumu hyo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Msichoelewa wachaga wengi wa Machame ni waislamu,so inawezekana hata huyu marehemu alikua mchaga wa MachameGaidi la kichaga dada ake Maghayo limemuua mujahidina kisa penis.
Mabinti wa kichga wanapagawa kwa wahuni wa pwani ,kwanza tuna swagga .Binti ni mchagga inavyoonekana, na Abdallah si ajabu ni from pwani
Sasa, mahakama tendeni haki, ili iwe fundisho kwa wengine.
Wa umri huo 29+ hawataki wanasema wazee.Kijana aliingia cha kike, unaoa msichana ambaye hajacha usichana.
Ndoa walau chukua mtoto wa miaka 29 kuendelea mpaka 42.
Ni vijana sema wengi wana uzoefu wa kazi, mtoto tangu Form one [miaka 13 ] anakipigisha mpaka [miaka 29] yaani katumika miaka 16 unategemea nini?
Hapo kulikuwa na ndoa?safi sana, mpaka mtie akili
KATAA NDOA
Ndoa ni kifooHapo kulikuwa na ndoa?
Ni muhimu kuwepo na emergence door kwa kila nyumba.Kuna binadam wana roho za kikatili sana.
Watu wanakula na wanapika pamoja, wanalala pamoja yaani mambo yote ya ndoa wanafanya. Utasema siyo ndoa hiyo?Hapo kulikuwa na ndoa?
Ni hatari sanaNi muhimu kuwepo na emergence door kwa kila nyumba.
Nyumba za sasa mageti ya chuma, milango ya chuma mpaka madirisha sasa ikitokea tukio kama hili huwezi kuchomoa
Ogopa sana wanawake wanaoanzia NYWELE UTOSINI ogopa sana brotheeee.Si unaona komwe hyo babaa...
Unaishi Burundi dada?!Ilete hiyo sehemu serikali waliposema hivyo