Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

Daah kesi za mauaji kama hakuna hela inakwisha haraka sana na hukumu inakua kama ilivyotarajiwa ni tofauti na kesi ya Mke wa Bilionea yule wa Kenya wa Madini wauaji wapo Nairobi wanakula raha tu...
 
Binti ni mchagga inavyoonekana, na Abdallah si ajabu ni from pwani

Sasa, mahakama tendeni haki, ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Binti ni mchagga inavyoonekana, na Abdallah si ajabu ni from pwani

Sasa, mahakama tendeni haki, ili iwe fundisho kwa wengine.
Mabinti wa kichga wanapagawa kwa wahuni wa pwani ,kwanza tuna swagga .

Katika historia yangu mademu wa kaskazini watatu ,washawahi kunipenda nikatemana nao .

Mambo ya kuja kuuliwa.😂
 
Haya kipindii hya yanatokea...wanawake wengi sana walifurahia na huku wakiwa na msemo wao..."sasa hivi tunawachoma moto" hya sasa grace ni condemn now...anaenda vaa mavaz yake rangi ya blue...uzur mmoja wakiwa jela wenyewe ni kula na kulala tu hawafanyi kaz yeyote...mpaka pale adhabu yao itakapo tekelezwa...na mara nyingi hugeuzwa na kuwa kifungo cha maisha...ili tu aanze kufanya kaz kama wafungwa wengine
 
Kanyongeelewe mbali ila alimvizia kalala jamaa aisee ila wanawake
 
Back
Top Bottom