Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio utasema sasa 😃😃 kila kitu kataa ndoa. Hao walikua wapenzi tudawa inawaingia, mpaka mseme
Wamachame?Jiji linawavuruga watani zangu,, walikua wanakumaliza sababu ya pesa sahivi wanakumaliza hata kwa kesi za uno
KavurugwaWewe ndio utasema sasa 😃😃 kila kitu kataa ndoa. Hao walikua wapenzi tu
bado hamjasemaWewe ndio utasema sasa 😃😃 kila kitu kataa ndoa. Hao walikua wapenzi tu
Mshkaji alikua. Marioo, añafungwa na mtoto wa kike afu anaendekeza ukitombi kwa resources za demu, grace akasema mbulaa isiwe shida, unapita hivi.Dah,inahitaji uwe na roho ngumu ya kiwango cha lami,yani unamwaga mafuta,unawasha moto halafu unasikilizia kama kweli kafa au kachomoa...
tomayto au tomahto ni kitu kile kile utamkaji tuHuyo hakuwa n na ndoa alikuwa mpenzi wake tu ndio kamfanyia hivyo
Hawa watu wa Kaskazini wanajali sana mali na pesa kuliko Utu. Wengi wao sio wote.Jiji linawavuruga watani zangu,, walikua wanakumaliza sababu ya pesa sahivi wanakumaliza hata kwa kesi za uno
mshahara wa dhambi ni mauti 🐒Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imemuhukumu leo kunyongwa hadi kufa Grace Mushi (25) maarufu kama Neema baada ya kumtia hatiani kwa kumuua mpenzi wake Abdallah Sekamba.
Grace alimuua mpenzi wake kwa kumchoma moto hadi kufa kwa kutumia mafuta ya petrol, baada ya kumfungia ndani ya nyumba tukio alilolitenda Julai 16, 2021 eneo la Mbezi Makabe Dar es salaam.
Ilivyokuwa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kumshikilia Grace Mushi maarufu mtaani kwao kwa jina la Neema kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake Hamis Abdallah ‘Zungu’ ambaye alimmwagia Petroli akiwa ndani kisha kumchoma moto.
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro amesema tukio hilo limetokea Mbezi Makabe kwa Mzungu.
"Muda wa saa 8:30 usiku Mtuhumiwa huyu alimfungia ndani ya nyumba Hamis akammwagia mafuta ya Petrol na baadaye akachoma moto kitu kilichosababisha Hamisi kufariki”
“Hamis alikua ni Rafiki yake wa kiume (Boyfriend), Mtuhumiwa alijaribu kutoroka lakini Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Wananchi tukamkamkata na uchunguzi umebaini kulikuwa na mgogoro mkubwa wa kimapenzi kabla kufanyika kwa tukio hili la Kikatili
Ukiwa na hasira unafanya ila moto ukishawaka akili zinakurudia wakati huo huwezi kuuzima tenaDah,inahitaji uwe na roho ngumu ya kiwango cha lami,yani unamwaga mafuta,unawasha moto halafu unasikilizia kama kweli kafa au kachomoa...
Wanasema ni wa hukoWamachame?
Yule Tajiri wa Mwanza nae alikuwa Mwislam?wanazuoni wametuonya sana juu ya hawa mabinti wasio waislamu kuanzisha mahusiano na waislamu wanahitaji darasa kubwa kabla ya kuishi nao
All in all, sisi sote tu wenye dhambi, na tumepungukiwa na utukufu wa Mungu, Mungu anatupenda sote hivi hivi tulivyo, wengine wachawi, wengine wauaji, wengine wazinzi, wengine waongo, wengine wezi, wengine dhambi mbalimbali, Mungu anatuhitaji sote hivi hivi tulivyo tuipokee neema ya Wokovu kwa njia ya Yesu Kristo. huyo hivyo hivyo anavyoonekana na kuhukumiwa Mungu anampenda na anahitaji roho yake ipone, watu ndio tujue ukiwa nje ya Yesu lolote linaweza kukupata, shetani anaweza kukutumia kufanya kitu cha ajabu kabisa halafu ukinasa anakuacha anakutelekeza, sivyo alivyo Yesu, amesema yeyote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe, na kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka.Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imemuhukumu leo kunyongwa hadi kufa Grace Mushi (25) maarufu kama Neema baada ya kumtia hatiani kwa kumuua mpenzi wake Abdallah Sekamba.
Grace alimuua mpenzi wake kwa kumchoma moto hadi kufa kwa kutumia mafuta ya petrol, baada ya kumfungia ndani ya nyumba tukio alilolitenda Julai 16, 2021 eneo la Mbezi Makabe Dar es salaam.
Ilivyokuwa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kumshikilia Grace Mushi maarufu mtaani kwao kwa jina la Neema kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake Hamis Abdallah ‘Zungu’ ambaye alimmwagia Petroli akiwa ndani kisha kumchoma moto.
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro amesema tukio hilo limetokea Mbezi Makabe kwa Mzungu.
"Muda wa saa 8:30 usiku Mtuhumiwa huyu alimfungia ndani ya nyumba Hamis akammwagia mafuta ya Petrol na baadaye akachoma moto kitu kilichosababisha Hamisi kufariki”
“Hamis alikua ni Rafiki yake wa kiume (Boyfriend), Mtuhumiwa alijaribu kutoroka lakini Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Wananchi tukamkamkata na uchunguzi umebaini kulikuwa na mgogoro mkubwa wa kimapenzi kabla kufanyika kwa tukio hili la Kikatili
Wapalestina muraaNi mushi wa masama kule machame?😳 au mushi wa wapi..