Mahakama Kuu yasitisha uchaguzi mkuu TFF, Wallace Karia aitwa Mahakamani

Mahakama Kuu yasitisha uchaguzi mkuu TFF, Wallace Karia aitwa Mahakamani

Huyu Mzanzibari mbona anataka kutuharibia,wao si wana chama chao na uchaguzi umefanyika juzi tu?
Hujui chochote ndomana mmeitwa ili mkadifendi kwann uchaguzi usihairishwe....
Pili swala LA mpira niswala LA muungano
 
Karia Usipoangalia utakaria Moto...Mtaka Yote hukosa yote..Hivi nchi ina watu mil 60 wewe tu una vigezo kuwa Rais TFF???

HATA Mseveni Huweka Watu wakampinga halafu anajitangaza kashinda....
 
Karia Usipoangalia utakaria Moto...Mtaka Yote hukosa yote..Hivi nchi ina watu mil 60 wewe tu una vigezo kuwa Rais TFF???

HATA Mseveni Huweka Watu wakampinga halafu anajitangaza kashinda....
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dhaaaa
 
Tulitangaza hili mapema mchakato wa uchaguzi tff unakwenda kuwa hivi na tukaomba takukuru fwatilieni hili.

Haya sasa mmekaa kimya watu wameacha kumpigia kura karia amepitishwa kama nilivyowambia.

Sasa wamekwenda mahakamani huko mda umepita madhara yananukia sijui mnajiandaaje.

Hizi vituko vulya uchaguzi lazima vifike.mwisho kivipi.lazima wateule.kadhaa wafikishe haya mahakamani mje na nuia nyingine kuheshimu katiba ya TFF.

Haiwezekan uchaguzi aujaanza kila.mtu anajua.watapitishwa karhaa pale kutatokea mawili watajitoa ama wataonekana hawana sifa.

Karia atapita na kapata ta style ile ile amjiulizi haya yalijulikanaje.

Haya.nawatakia mahakama njema na soka lenu.
 
Karia Usipoangalia utakaria Moto...Mtaka Yote hukosa yote..Hivi nchi ina watu mil 60 wewe tu una vigezo kuwa Rais TFF???

HATA Mseveni Huweka Watu wakampinga halafu anajitangaza kashinda....
Mkuu Is not a leader ameshindwa kujipambanua kwa utendaji kwa hili sasa ameruhusu wengi kuingia kati, hakukua na sababu kabisa yaaaani kila kigezo yeye anafuzu wengine hawana sifa akili gani hii? [emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369]
 
Alafuuuuu waliosimamia UCHAGUZI WANASEMA ALIEENDA MAHAKAMAN MZANZIBAR ASITUARIBIE SASA MTAELEWA MAANA YA MUUNGANO UJINGA HATUTAKII

KAMA MBAYU IWE MBAYU
 
Uchaguzi wa TFF miaka yote ni kama igizo tu, zile kanuni za ajabu lazima zifutwe kwanza ili mambo yaende vizuri.
 
Karia alifanya uhuni sana kwenye mchakato ila tatizo ni wizara , BMT na Msajili pamoja na rais
 
Back
Top Bottom