kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
nimekuvuruga ,ileje mchele kilo shingapiWhich is which?
Yaani kanuni ikosewe halafu sheria ishindwe!
Kipi kinatangulia sheria au kanuni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekuvuruga ,ileje mchele kilo shingapiWhich is which?
Yaani kanuni ikosewe halafu sheria ishindwe!
Kipi kinatangulia sheria au kanuni?
Yani wewe kichwani kwako kumejaa matope kabisa, toka lini michezo (ikiwemo na mpira wa miguu) imekuwa ni swala la muungano?Hujui chochote ndomana mmeitwa ili mkadifendi kwann uchaguzi usihairishwe....
Pili swala LA mpira niswala LA muungano
Mahakama ni muhimili unaojitegemea na sio serekali japokua serekali Ina ushawishi mkubwa ule mchakato ni tabia moja ilikua inaenda kujengwa alafu ni mbaya sanaHakika Mkuu, na Kilichopelekwa Mahakamani sio Mpira Kilichopelekwa Mahakamani Ni Utaratibu Uliotumika Wakati Wa Mchakato Wa Uchaguzi Wa Kuwapata Wagombea Urais+wajumbe pia. FIFA fifa wanatisha Watu na Fifa tu.
Ni mgogoro wakisheria hutaelewa nn nasemaYani wewe kichwani kwako kumejaa matope kabisa, toka lini michezo (ikiwemo na mpira wa miguu) imekuwa ni swala la muungano?
Mbona Karia wenu ni raia kutoka Somalia.Huyo mzanzibari asiyeutaka muungano anawashwa nini na tff ya bara? Wao si wana zfa yao huko? Yani anataka kusababisha sie Biashara united mara tusiende kucheza caf confederation cup kwa mara ya kwanza kwa sababu nchi inaweza kufungiwa na fifa, maza fvcker! 👊n
Mkuu unamuonea Raia mwenzako Wallace Karia.....Mbona Karia wenu ni raia kutoka Somalia.
Inshu sio uzanzibar /ubara yeye ni mtanzania na aligombea hivyo ina interest!!wewe unaona huo uhuni unaofanyika kwenye chaguzi za Tff ni sawa?!!yaani kanuni ambazo zinawafanya walioko ndani ndio tu waendelee kuwemo, humo na walioko nje iwe ni ngumu kuingia ndani?yaani nchi yenye watu karibia milioni 60!!, mtu anagombea yeye tu bila mpinzani??kutokana na figisu figisu kwa wagombea wenzake?juzi kuna uchaguzi wa uongozi wa wanawake umefanyika huko Tanga, jumla ya wapiga kura walikuwa 70, cha ajabu kula zilizopigwa ni 76!!hizo kura 6 ni za kina nani?!!yaani hicho kigezo cha eti mambo ya mpira serikali isiyaingilie ni kichaka tu!!unadhania bila FBI, kuingilia kati blatter angetoka?Huyu Mzanzibari mbona anataka kutuharibia, wao si wana chama chao na uchaguzi umefanyika juzi tu?
Unaongea afu hujayaona hata madai yenyeweKaria Usipoangalia utakaria Moto...Mtaka Yote hukosa yote..Hivi nchi ina watu mil 60 wewe tu una vigezo kuwa Rais TFF???
HATA Mseveni Huweka Watu wakampinga halafu anajitangaza kashinda....
Michezo ina mahakama zake, wasijikoroge na mahakama yao kulazimisha chochote, hatutaiona simba ikicheza na kina mazembe.Mahakama ni muhimili unaojitegemea na sio serekali japokua serekali Ina ushawishi mkubwa ule mchakato ni tabia moja ilikua inaenda kujengwa alafu ni mbaya sana
Huu ndio upuuzi uliotufikisha hapa!!wewe unaona ni sawa kikundi cha watu walio ndani ya mpira kujitungia kanuni ambazo zinawalinda wao tu wasitoke humo, na walio nje wasiweze kuingia humo wakati ni shirikisho la nchi?!!na hata wajumbe wote waliopita ni wale viongozi wa michezo wa mikoa tu huo si uhuni?!!acha kiwake FIFA, waje ili waone uhuni unaofanyika kwenye mashirikisho ya nchi!!FIFA, CAF hakuna sifa ya kuwa rais lazima awe na degree lakini TZ, kuongoza chama hicho lazima uwe mwenye degree!!Huyo mzanzibari asiyeutaka muungano anawashwa nini na tff ya bara? Wao si wana zfa yao huko? Yani anataka kusababisha sie Biashara united mara tusiende kucheza caf confederation cup kwa mara ya kwanza kwa sababu nchi inaweza kufungiwa na fifa, maza fvcker! 👊
Michezo ni suala la Muungano?Inshu sio uzanzibar /ubara yeye ni mtanzania na aligombea hivyo ina interest!!wewe unaona huo uhuni unaofanyika kwenye chaguzi za Tff ni sawa?!!yaani kanuni ambazo zinawafanya walioko ndani ndio tu waendelee kuwemo, humo na walioko nje iwe ni ngumu kuingia ndani?yaani nchi yenye watu karibia milioni 60!!, mtu anagombea yeye tu bila mpinzani??kutokana na figisu figisu kwa wagombea wenzake?juzi kuna uchaguzi wa uongozi wa wanawake umefanyika huko Tanga, jumla ya wapiga kura walikuwa 70, cha ajabu kula zilizopigwa ni 76!!hizo kura 6 ni za kina nani?!!yaani hicho kigezo cha eti mambo ya mpira serikali isiyaingilie ni kichaka tu!!unadhania bila FBI, kuingilia kati blatter angetoka?
Kwa hiyo mpira uendeshwe kihuni tu, kwa kuogopa kuwa tutafungiwa?!!sheria za FIFA, haziwezi kuwa juu ya KATIBA ya nchi!na kuzuia eti serikali isiingilie ni kichaka tu cha kujifichia huko!!Michezo ina mahakama zake, wasijikoroge na mahakama yao kulazimisha chochote, hatutaiona simba ikicheza na kina mazembe.
Mpira upi unaendeshwa kihuni?Kwa hiyo mpira uendeshwe kihuni tu, kwa kuogopa kuwa tutafungiwa?!!sheria za FIFA, haziwezi kuwa juu ya KATIBA ya nchi!na kuzuia eti serikali isiingilie ni kichaka tu cha kujifichia huko!!