HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Kumekuwa na tabia ya mahakimu na makarani wa mahakama za Tanzania kuwataka wateja wao kununua flash au kutoa anwani za barua pepe zao ili kuwatumia hukumu zao.
Hivi jamani 80% ya watanzania waishio vijijini wanauelewa na hivi vitu wanavyokaa tu viongozi wa mahakama na kupanga kwa maamuzi yao wakifikiria nini hasa?
Wananchi wanalipia baadhi ya kesi na serikali ina vyanzo vya mapato vingi tu inashindwa kuprint hukumu na kuwapa wananchi?
Huu ni uonevu na ujinga!!