Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

Kama tu hao wakuu wako ivo, je hawa mawakili wanaojiita wasomi watakuaje?
 
Huku private kuna lawyers wana confidence, lugha si tatizo watumike hao! Kwakweli ni aibu sana kwa jinsi tulivyokuwa hatuna mantiki na lugha mbovu.

Private sector inazalisha watu bora kuliko hawa wanaolelewa na mifumo ya serikali. Huko hata uwaendeleze wawe na degree kumi mifumo haiwajengi. Sio lawyers tu, hata kada zingine.
 
Prof. Mruma anaulizwa maswali anajibu kwa kutikisa kichwa kana kwamba hakimu atarekodi mtikisiko wa kichwa...!!

Na wakili wa Claimant anamwambia "..I need a verbal answer, sir" na kisha kama kakurupushwa vile huku akiichapa kofi 🎤 microphone yake, at the same time not aware of the intent of question , anajibu "...yes"

Sasa ni ukweli uko wazi, kuwa, kumbe tunapigwa Kwa sababu ya ujinga na upumbavu tuliowapa dhamana ya uongozi kutokuwa na ufahamu na maarifa ya wafanyacho..

Cheki huyu Prof Mruma ni profesa lakini lugha ya Kiingereza inampiga chenga Kwa mbaaaali sana kiasi cha ku - undermine ufahamu wake wote kabisa..!!
 
Inafikirisha ! Kama bado hatuwezi tuombe tusaidiwe hata kwa kuwalipa hao wanaoiweza hiyo kazi !!

Na wa kwetu tuwasomeshe kweli kweli kwa fedha zozote zile zitakazohitajika !!
 
Gentleman Proffesor
Gentleman PHD
Gentleman Masters
Gentleman Degree
Issue sio matokeo tu, ukifatilia vyeti vyao ni vipanga kweli. Issue ni exposure! Huku private mahojiano/ negotiations kama hayo ni kila siku virtual meetings au physical.

Mfano kuna lugha za kisheria, kuna lugha za kibiashara, kuna lugha za kiuchumi n.k discussion kama ile lazima mtu awe na element of law na business.

Pia nimeshangaa hata body expression hazikuwa nzuri, ni rahisi kuonekana unadanganya, hujui, hujitambui n.k kuna muda professor alikuwa anatoboa karatasi kwa pen , mara afunue file unnecessarily n.k

Hivi tunaendaje kwenye case hizi bila hata rehearsal walau? Mambo ya nchi tunauliza maswali ambayo huoni yatasaidia nini!

Very embarrassing! Hili swala watu wanacheka lakini sio Issue ya kutaniana bali ni Issue ya kuibua mjadala uwezo wa watu wetu. Hii case nani anasimamia? Hawa watu wameandaliwa vipi? Hata kama ni case ya kushinda utashinda vipi namna hii?

Binafsi nimejisikia vibaya sana, ningekuwa na uwezo ningeifuta ile video maana inatuvua nguo tu.
 
Sikioni Profesa Mruma alichoshindwa kuelewa na alichoshindwa kujibua Bado naendelea kutazama clip
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Unaekewa 10M USD utakumbuka hata kupitia vipengele we ni shwaa imeisha hio.
 
Mimi nashangaa sana Mwanasheria kuwa goigoi kwenye lugha ya Kiingereza, hii inawezekanaje?

Hivi kweli mtu unasoma hadi level ya kuwa na PhD halafu unashindwa kumudu lugha uliyotumia kujifunzia? Uliandika vipi hayo maandiko?
Copy na paste na hapa bongo wapo watu na wanajitangaza kabisa wanatoa huduma ya kuandika watu report ,project ,research na mambo mengi katika academic Kwa level zote.
 
You are correct. Hii ni tip ya iceburg tu. Sekta zote ziko hivi. Tukubali, tukatae elimu na makuzi yetu yanatuharibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…