Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

... mkataba wa DP (marine business) ali-draft CEO wa aviation! Tuendelee kula mtori, nyama tutazikuta chini.
 
Hebu Tujikumbushe kidogo
 
Attachments

  • MRUMA CASE.mp4
    5.2 MB
Mkuu hizo mambo si za Maprofesa kuniuliza mimi ni kunionea tuu maana yule dogo anamwambia Prof Mruma kuwa umeambiwa useme hivyo na Mwanasheria wako daah huruma sana aisee...hizi mambo za Rasilimali za Nchi ilitakiwa kutumia mtu yeyote mwenye uwezo huko hakuna kubebana kama huku sasa hao hao leo wanatetea mkataba wa DP baadae wakiitwa huko baada ya kuvunja hawana majibu zaidi ya kuzungusha kiti tuu...Prof anaulizwa swali anatingisha kichwa kukubali dogo anambana anamwambia toa kauli ya kisheria kutingisha kichwa sio sawa haya mambo ya wapi haya ....
 
... mkataba wa DP (marine business) ali-draft CEO wa aviation! Tuendelee kula mtori, nyama tutazikuta chini.
Umeona Sasa yaleyale,
Ana ujuzi wowte juu ya mambo ya bandari?
Vipi anajua Sheria za hayo mambo?
Je, wabobezi wa hayo hawapo?
TAA kwamba imekosa kazi za kufanya mpk mtu atoke huko akahusike kwenye bandari?
 
Siasa imewekwa mbele kuliko professionalism. Result tunapata poor performance kila kona. Kunahitajika reform kubwa sana
 
Umeona Sasa yaleyale tena. Hivi una uhakika kweli bungeni kumejaa wabunge peke yake? Hatupo smart kwenye vitu vya msingi.
Wewe ndio unashindwa kuelewa kuna haja gani ya kuweka geologist bungeni wakati ndani ya bunge kuna wizara ya nishati na madini? Ndani ya Wizara hizo sii ndio kuna hao mageologist bwashee. Punguza umruma boss.
 
Mkuu, mara ngap tunalalamika kua Bunge lilipaswa kuikataa baadhi ya mikataba, huko bungeni wataikataa vipi hiyo mikataba ikiwa watategemea wataalamu kutoka wizara husika? mkuu.
Na tafadhali, simteteI Mruma najaribu kubainisha vitu ambavyo ni common kwa nchi yetu.
 
… …
MSOMI: But you need to do expiration to solve that sometimes don't, don't you?

MRUMA : No.

MSOMI : Nooo!

Mruma: Not my understanding.

MSOMI : So if if someone gets ……license. They can have it for up to 10 years if it's extended. Do you think it's in Tanzania''s public interest for someone to simply do nothing for that entire 10 years? Is that your position?

MRUMA : We give you that period so that as you said price issues are global to be corrected and that's why we…... But not not. That's not right.

MSOMI : That's not my question. My question is during that 10 years….
Mruma: No more exploration, No more exploration after extension linces

MSOMI: Would you not agree with me that it's always in the public interest? To further explore, define and delineate mineral resources in the country. Can we at least agree that?

MRUMA: It is… … it is……

MSOMI: That's what you would tell your students at the University of Dar es salaam (UDSM)

MRUMA: Precisely Yeah,

MSOMI: don't explore ,Leave it alone[emoji1787] [emoji1787]

Kazi ipo
 
Siasa imewekwa mbele kuliko professionalism. Result tunapata poor performance kila kona. Kunahitajika reform kubwa sana
Usela na ushkaji umezid mno mkuu.
Leo hii Mwigulu Nchemba japo hatumwelewi lakini at least ana ujuzi juu ya wizara yake, lakn walio wengi wamepewa wizara ambazo asilimia kubwa hawana utaalamu wa mambo yaliyo chini ya hizo wizara.
 
Wengi wanapewa wizara ambazo hawana utaalam nazo. Mtu analuwa waziri sababu ametoka chama tawala na si sababu ni professional mwenye track record record nzuri
Kama nchi tunashida , reform is needed kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…