Number ni 26
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,573
- 3,088
Mkuu wana nini!?Nimeicheki asee. Dah jamaa alikuwa anatetemeka balaa mikono inasheki. Yani hat msukuma na kibajaji wanaconfident kumshinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wana nini!?Nimeicheki asee. Dah jamaa alikuwa anatetemeka balaa mikono inasheki. Yani hat msukuma na kibajaji wanaconfident kumshinda.
Umeona Sasa yaleyale tena. Hivi una uhakika kweli bungeni kumejaa wabunge peke yake? Hatupo smart kwenye vitu vya msingi.Wewe kuna jambo hulielewi vizuri, unajua maana ya bunge? Bunge linahusisha watu wa namna gani.
... mkataba wa DP (marine business) ali-draft CEO wa aviation! Tuendelee kula mtori, nyama tutazikuta chini.Mkuu nna uhakika aliekua upande wa kampuni against Prof ni mwanasheria anazo ABC za geology lakn ni mbobezi wa Sheria za madini, jiulize Tanzania kama taifa tuna wanasheria waliobobea kwenye madini? Kwanini waliosaini mkataba (wanasheria) wamefyata mikia?
Ningetaman sana hili jambo liwe kama wake up call kama taifa kurekebisha mambo mengi.
Huyu ni MHA au bukoba?Katoka huko Kigoma ndani ndani kwa bahati akafanikiwa kukariri mitihani na wengine nasikia kabla ya kuanza mifumo walikuwa wanahonga baraza la mitihani mtu anafaulu tu bila hata kujua amefaulu nini
Hebu Tujikumbushe kidogoProfesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?
Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie?
---
Winshear Gold Corp. Vs. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25).
Kesi hii ipo chini ya Rais Gabrielle Kaufmann Hohrer kutoka Uswizi.
Mashahidi wetu huko ni Prof. Mruma na Mwanasheria wa Serikali bwana Igenge.
---
Video 1: Profesa Mruma akihojiwa
View attachment 2698386
Video 2: Mkurugenzi wa Huduma za Sheria(Wizara ya Madini) Edwin Igenge akihojiwa na Robert Denison
View attachment 2698385
---
WASIFU WA PROFESA MRUMA
Dkt. Mruma ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye kwa sasa ni Profesa wa Jiolojia. Profesa Mruma kwa sasa anahudumu kama Kamishna wa Tume ya Madini nchini Tanzania.
Mwaka 2017 Hayati Rais Magufuli alimteua Prof. Abdulkarim Mruma kuwa Mwenyekiti wa Kampuni ya Kuhifadhi Mafuta (TIPER)
Profesa Mruma alijizolea umaarufu 24 Mei, 2017 baada ya kuongoza Kamati maalum iliyondwa na Rais Magufuli kuchunguza mchanga ulio katika makontena yenye mchanga wa madini (makinikia) yaliyopo katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania
-
Dkt. Abdulkarim Hamisi Mruma Ph.D. M.Sc. B.Sc. ni Mkurugenzi wa Kujitegemea wa Tanzania Royalty Exploration Corporationration. Dkt Mruma ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambako kwa sasa ni Profesa wa Jiolojia.
Masomo yake ya Uzamili yalijumuisha tafiti katika vyuo vikuu na taasisi za Serikali nchini Ujerumani, Ubelgiji, Zimbabwe na Ufini.
Ameandika ripoti za kiufundi kuhusu mada mbalimbali za kijiolojia na kuchangia katika majarida kadhaa ya kiufundi na yasiyo ya kiufundi juu ya anuwai ya masomo ya Jiolojia.
Orodha ya machapisho hayo ni pamoja na Jarida la UNESCO la Sayansi ya Ardhi ya Afrika na Jarida la Tanzania la Sayansi ya Dunia.
Mbali na majukumu yake ya kitaaluma, Dk. Mruma ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania nafasi ambayo ameitumikia tangu Oktoba 2004.
Pia anahudumu kama Mjumbe wa Bodi ya Chuo cha Sayansi za Ardhi cha Williamson Diamonds Limited cha Chuo Kikuu cha Dodoma na Shirika la Madini la Taifa la Tanzania mshirika wa ubia wa Kampuni ya Uboreshaji wa Mradi wa Buckreef Gold Mine.
ConfidenceMkuu wana nini!?
Mkuu hizo mambo si za Maprofesa kuniuliza mimi ni kunionea tuu maana yule dogo anamwambia Prof Mruma kuwa umeambiwa useme hivyo na Mwanasheria wako daah huruma sana aisee...hizi mambo za Rasilimali za Nchi ilitakiwa kutumia mtu yeyote mwenye uwezo huko hakuna kubebana kama huku sasa hao hao leo wanatetea mkataba wa DP baadae wakiitwa huko baada ya kuvunja hawana majibu zaidi ya kuzungusha kiti tuu...Prof anaulizwa swali anatingisha kichwa kukubali dogo anambana anamwambia toa kauli ya kisheria kutingisha kichwa sio sawa haya mambo ya wapi haya ....Mkuu nna uhakika aliekua upande wa kampuni against Prof ni mwanasheria anazo ABC za geology lakn ni mbobezi wa Sheria za madini, jiulize Tanzania kama taifa tuna wanasheria waliobobea kwenye madini? Kwanini waliosaini mkataba (wanasheria) wamefyata mikia?
Ningetaman sana hili jambo liwe kama wake up call kama taifa kurekebisha mambo mengi.
Umeona Sasa yaleyale,... mkataba wa DP (marine business) ali-draft CEO wa aviation! Tuendelee kula mtori, nyama tutazikuta chini.
Hivi hamuoni kama taifa Lina shida kubwa sana wakuu?
Tukae hapohapo kwenye mkataba huo
Point yangu ya msingi ni kuwa mikataba wanasaini watu wa madili mjini mambo yakibuma wanaanza kutafutwa wataalamu wa kada husika, it's a shame guys.
- Je, prof. Mruma alikuwepo kwenye kudraft hiyo contract?
- Je, ni nan alieshiriki kwenye hiyo process?
- Kama hakuwepo, team iliyodraft mkataba imeenda wapi mpka Prof. Aingie kwenye game mda huo?
Mfano: Office za umma zifuatazo zilitakiwa angalau ziwe na geologists kama list zao za wafanyakazi;
-CAG office
-Attorney general office
-Mkemia mkuu office
-TBS
-NEMC
-TBA
-Ikulu
-Mahakama
-TANESCO
- Bunge
Kwenye hizo office ukitoa TANESCO ni office moja tu imeajiri geologists mwaka huu, CAG office.
So guys, haya ni matokeo ya taifa kuongozwa na siasa plus watu wa dili kuliko weledi.
Wewe ndio unashindwa kuelewa kuna haja gani ya kuweka geologist bungeni wakati ndani ya bunge kuna wizara ya nishati na madini? Ndani ya Wizara hizo sii ndio kuna hao mageologist bwashee. Punguza umruma boss.Umeona Sasa yaleyale tena. Hivi una uhakika kweli bungeni kumejaa wabunge peke yake? Hatupo smart kwenye vitu vya msingi.
Hata sisi janjajanja tunayo[emoji23]Confidence
Mkuu, mara ngap tunalalamika kua Bunge lilipaswa kuikataa baadhi ya mikataba, huko bungeni wataikataa vipi hiyo mikataba ikiwa watategemea wataalamu kutoka wizara husika? mkuu.Wewe ndio unashindwa kuelewa kuna haja gani ya kuweka geologist bungeni wakati ndani ya bunge kuna wizara ya nishati na madini? Ndani ya Wizara hizo sii ndio kuna hao mageologist bwashee. Punguza umruma boss.
Issue ni ukilaza na si lugha.Ishu ni usomi au ishu ni lugha.Kwani inakatazwa kuhojiwa kwa lugha yako ya kiswahili?
Issue ni mkataba wenyew, hata kama una lugha tamu kiasi gan, ikiwa mkataba haupo upande wako ni umeisha.Ishu ni usomi au ishu ni lugha.Kwani inakatazwa kuhojiwa kwa lugha yako ya kiswahili?
Usela na ushkaji umezid mno mkuu.Siasa imewekwa mbele kuliko professionalism. Result tunapata poor performance kila kona. Kunahitajika reform kubwa sana
Usela na ushkaji umezid mno mkuu.
Leo hii Mwigulu Nchemba japo hatumwelewi lakini at least ana ujuzi juu ya wizara yake, lakn walio wengi wamepewa wizara ambazo asilimia kubwa hawana utaalamu wa mambo yaliyo chini ya hizo wizara.
Na wizi wa kuraUmeandika kweli tupu.
CCM vitu pekee wanavyoweza kuvisimamia kwa ufanisi ni uasherati, uzinzi na ushirikina.