Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
😅😅😅Nakuhakikishia kuna vijana fresh wa Sheria wa UD wenye 24 years they are better than these gumboots, by far.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅Nakuhakikishia kuna vijana fresh wa Sheria wa UD wenye 24 years they are better than these gumboots, by far.
I did not get well today.Hakuna cha bullying hapo, hizo ni mbinu za wanasheria utetereke. Lakini Profesa Mruma kajibu na kujieleza vzuri kabisa.
Umeandika nini hiki ?Hii si mahakama ni kundi fulani la wazungu lililokaa kukandamiza waafrika
Alafu Kuna watu wanataka tuendelee Kwa kutumia wawekezaji wakati wanazidi kutuumiza Kwa Sheria zao kandamizi.
Sh
Imeshakukata hata Ndalichako na kina Mruma Elimu za Juu walisoma Nje ,jiandae na take him inside na the the za kutosha 😂😂😂😂Nayajua mapungufu ya elimu ya Tanzania. Watoto wangu wote, elimu ya chini wamesoma Tanzania, lakini kwa elimu ya chuo kikuu, wote wameenda nje, mmoja amemaliza, mwingine anamaliza mwaka huu, mwingine mwakani, na mwingine natarajia ataenda Cape University January mwakani.
Sitaki wapatwe na aibu ya kujiumauma vidole huko mbeleni. Natimiza wajibu wangu kama mzazi, mengine nawaachia wao.
Issue za Proficiency kwenye professional ni jithada binafsi hazitokani na umesomea wapi.Imeshakukata hata Ndalichako na kina Mruma Elimu za Juu walisoma Nje ,jiandae na take him inside na the the za kutosha 😂😂😂😂
Exposure gani unataka? Akikupa cv zake utakuta kaishi Marekani miaka 5 na Ufaransa miaka mwili and so onHivi kweli kama tukisema hii ishu ingewahusu jirani zetu kenya, tungeshuhudia uwakilishi na utetezi wa namna hii??
Mara sikuamka vizuri mara blabla ...blabla....STUPID.
Hapa bado ccm wanakomaa na kiswahili mashuleni kwa masomo yote..kweli???
Hapa shida ni kizungu pamoja ni poor exposure.
Sasa kama huyu ndo mwalimu je wanafunzi wakoje!
Msingi mbovu wa Elimu hakuna Cha jitihada.Issue za Prificiency kwenye professional ni jithada binafsi hazitokani na umesomea wapi.
Prof Ndalichako alimwambia Mchina kule Kigoma kuwa Please Don't Play with me i can put you inside prison
... kajieleza vizuri kabisa halafu tuzo wakapewa Claimant! Funny!Hakuna cha bullying hapo, hizo ni mbinu za wanasheria utetereke. Lakini Profesa Mruma kajibu na kujieleza vzuri kabisa.
Hajadhalilika hapo amewadhalilisha wazungu 🤣🤣🤣🤣😜Kadhalilika wapi? au ujinga wa watu kujiona wanajua sana .
Rais anafanyiwa bullying sembuse huyo wengi wanamnanga Kwa ishu ya kisasa ,kwani kushindwa ni kosa ..yatapita tu na atabaki na familia yake ni maneno tu.
Kusoma hekima ndo maana watu wanafanya bullying ,kukosea kawaida mbona Mwakinyo alienda nje akapigwa alizomewa na kupewa kejeli ila sasa kashasahau na maisha yanaendelea
Hii ina shida sana aisee badala watu wajadiri content eti wanajadili dini ya mruma is it right? Halafu hawa wajiita great thinkers? Great thinkers wa nyoko? Jamii forum hovyo kabisaProfesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?
Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie?
View attachment 2697730
Hiyo ya lenient ilikuwa ni "excuse" nzuri kwa mtazamo wao kwa kuvunja mkataba. Why should you be lenient? Its stupidity.... lenient; lenient! Kila akiulizwa we were lenient! Ovyo!
"I got up not well today", huu ni utetezi wa kijinga kwa mtu mzima mister profesari.Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?
Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie?
View attachment 2697730
Kweli alikuwa mkweli ,hasa aliposema miaka ya 2013-14 walikubali hiyo mikataba ya hovyo wakijua kabisa ,sema walikubali ili kuvutia uwekezaji.Tatizo la Profesa Mruma, nililoliona ni lugha, yaani Kingereza anajuwa lakini kuji express ni shida sana, na slow thinker.
Ni typical mtu ambae hana exposure, lakini all in all kwenye tribunal unachotakiwa kuwa ni mkweli to dot. I hope alikuwa mkweli.
Bora umekuwa honest Bi Faiza.Sema nimeanza kumsikiliza huyu Mwanasheria, hili ndiyo bomu haswa.
Nashangaa, hata Kingereza hajuwi.
Utumbo mtupu.
Academicians wanatakiwa ku translate nondo zao to the real world!Wako vizuri kwenye academics ila sio kwenye mambo ya biashara nk
Ndio maana watu wanatakiwa kuheshimu sana private sector,ukimuona mtu kajiajiri mpe respect refer yule Mkuu wa Mkoa aliyetumbuliwa na kuanza kulia eti ataishije na alikuwa ni Dokta