Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

Unajua duniani kote kunakotiririka damu sasa hivi, walianza kuingiza masuala ya dini hii kwenye serikali tena kwa njia laini na za ushawishi. Kuingiza mambo ya dini ya kiislam kwenye katiba ya seriali ni kudhoofisha uwezo wa serikali wa kuwa msimamizi na mdhibiti mkuu wa imani na ibada hatarishi.

Uislam ndiyo dini pekee inayoasisi visasi, mauaji, utesaji, na kila aina ya uharibifu. Kiinachoonekana kama kina baadhi yao wanaamani, ni kwa kutokana na namna hao wachache wenye amani wanavyotafsiri mafundisho ya dini ile.

Tafsiri hiyo ya amani ndicho kitu ambacho makundi ya kigaidi yanawalaumu na hata kuwachinja nao kwa madai kwamba hawaendi kama qurani inavyoagiza, na hata wao hawaja dispute contentions hizo za magaidi.

Kuingiza mahakama ya kadhi kwenye katiba ni kuzika rasmi amani ya nchi yetu. Ninakataaa jambo hili kwa sababu tunazo mahakama za seriakli zinazosimamia mashauri yote kwa mujibu wa sheria za nchi zisizofungamana na upande wowote. Kama dini, kabila ama taasisi nyingine wanahitaji kuwa na namna yao ya kusimamia ndoa zao, sheria haiwakatazi kutengeneza vyombo vyao ili mradi visivunje sheria.

Nani anaweza kusema ame examini imani ya kiislam, na mafundisho yake yote, yanayokubalika, na yanayobishaniwa, na tafsiri zake zilizopo leo na zitakavyotafsiriwa baadaye kwamba hazitakinzana na maslahi ya binadamu wengine? Mbona dunia inaona kwa uwazi sana?

Kila wakati dini ya kiislam itakapotoa tamko ama tafsiri mpya ya jambo lolote lazima lliguse katiba ya Tz, hapo serikali lhaitaruhusiwa kushiriki maamuzi ya waislam kwa imani yao. Kwa nini kuliweka taifa katika janga kubwa namna hii klinalotishia uwepo wa wanadamu juu ya uso wa nchi?

Tunakataa udini, dunia nzima inakataa udini, na hata waislam wenye uelewa hawataki udini, Kwa nini ccm hawalioni hili na ndiyo sasa wanataka kulitumbukiza hili taifa huko?

Very sad...japo itahusika na waislamu tu na mambo ya kiislamu-hasa yenye msingi wa ndoa, lakini linapaswa liangaliwe kwa umakini...JK ni tatizo!
a\
 
CCM wasipoangalia wataiangamiza Tanzania muda si mrefu.
Tatizo sio CCM bali ni JK! CCM imekuwepo tangu mwaka 1977 hatujawahi kusikia mambo haya! Alipoingia JK tu akaingiza faster suala la Kadhi kwenye Ilani ya Uchaguzi, 2005 ya CCM! Tuliona na mambo ya OIC yakipamba moto hadi kuongelewa Bungeni na akina Membe!
Piga, ua, garagaza, JK ni tatizo, sio CCM hata kidogo!
 
Kwani imeandikwa kwenye Quran kuwa hizo mahakama zenu lazima ziwe kwenye Katiba?

Mkuu, Quran haiitambui Mahakama ya Kadhi wala Kadhi mwenyewe, hata Mohamed hamjui Kadhi. Haya mambo waliyatunga wafuasi wa Mohamed baada ya yeye kufariki. Mwenye aya ya Kadhi kutoka kwenye Quran auweke hapa.
 
Vijana acheni kuweweseka,acheni ubinafsi,acheni umimi,taifa hili ni mali ya watanzania wote, nasisitiza WOTE ubinafsi wenu ndo tatizo.mtu mbinafsi ni tatizo ktk jamii yeyote ile, haiwezekani BMK lijadili mambo baadhi na baadhi yaachwe hakuna maana, hii haina tofauti na slogan ya ccm kuwa wao wakitota madarakani itatokea vita. Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuishi ktk mtazamo finyu kama huu na pia nashaauri vijana mtumie akili na weledi kuielimisha jamii, tambueni mmezaliwa muishi duniani sio kuwanyima wakaazi wengine wa dunia haki zao, ni mtu mjinga na pengine mpuuzi aminie ktk maisha ya ujanjaujanja dunia imeshapita huko kote. Mwisho nawausia hivi "DAINI HAKI NANYI TOENI HAKI ,MSITUKANE NANYI MTATUKANWA" aksanteni.
 


Kilichofanya nchi hizo kuanzisha hizo mahakama ni udhaifu wa kisiasa, walitaka kuwawin waislamu lakini yanawatokea puani sasa. Sasa hivi nchi za ulaya zinajuta kukaribisha uislam uliosababisha kushamiri uitikadi kali. but they have to swallow their pride. Issue hapa ni kile kitendo cha kuimove serikali kuanzisha taasisi ya kidini wakati wenye dini wenyewe wapo!!! hivi nyie waislam mme kuwa dhaifu kiasi hicho? hamuwezi kuanzisha taasisi zenu za kuhandle mambo yenu mpaka bunge/serikali iwaaanzishie? Leo ukianzisha mahakama ya kadhi, kesho waislamu navyowafahamu wataingia mitaani kudai kutumika kwa sheria zote za kislamu ikiwemo ya kuua watakao badili dini, najua mtasema mahakama hiyo itadeal na civil matters only,lakini hiyo ni kwa muda tu waislamu watadai kwa nguvu mambo mengine na ndipo damu itaanza kumwagika hapo mwenye masikio na asikie jamani, hivi kuna asiyejua kinachoendelea Iraq? hawa ndugu zetu wako weak sana kiimani, ukatiri wameuweka mbele sana, ni watu wasio na maendeleo ya kifikra hata kidogo, kazi kulalamika lalamika tu ndio imani yao inawajenga hivyo, mfano wazenj walalamikaji sana, wabaguzi sana . sema siku hizi kwa sababu ya interlactions lakini anayejua historia vema atakwambia tabia zao, mfano mtoto anamuaga mama yake anasema "mama nakwenda pale kwa mkristo" ndio ilikuwa hivyo zamani, anayebisha abishe tu.
 
Unataka ingiza mahakama za Kadhi kwa kigezo kipi cha msingi? Hata watoto wadogo wanajuwa mahali udini mwingi ndo mambo ya kipuuzi yankuwa kibao.
Leo waeza kuwa na umri mdogo lakini Mungu amekupa neema ya kuishi Tz kwwnye amani kiutaifa but sasa wasema unataka nchi kwenye katiba kuwekwe Mahakama ya kadhi kwa ajiili ya ndoa, huu ni ujinga kabisa.
 

Huo ni mtazamo wako na kukosa busara kwako ndio maana umetumia neno UJINGA. Je hayo unayo yataka ww yaandikwe ktk katiba sio UJINGA?
 
Nayoyataka sio mambo ya kidini ama mambo ya kibinafsi kiasi hicho, hii ni nchi ya wote na wewe ni mtu unayejua fika matatizo yanayosababishwa na dini afu wajiona mjanja kweli kutaka kutupeleka huku,
Hebu zinduka na acha UJINGA
 
Nayoyataka sio mambo ya kidini ama mambo ya kibinafsi kiasi hicho, hii ni nchi ya wote na wewe ni mtu unayejua fika matatizo yanayosababishwa na dini afu wajiona mjanja kweli kutaka kutupeleka huku,
Hebu zinduka na acha UJINGA

Swala la kadhi sio swala la binafsi kama ujinga wako unavyo kutuma. Wsislam ni kundi kubwa ktk nchi hi kama lilivyo kundi la wakulima na wafanya kazi.
 
Swala la kadhi sio swala la binafsi kama ujinga wako unavyo kutuma. Wsislam ni kundi kubwa ktk nchi hi kama lilivyo kundi la wakulima na wafanya kazi.
Kama Waislamu ni wengi wanaogopa nini kuunda Mahakama zao?
 
JK alishatoa msimamo wa Serikali yake kwamba suala la Mahakama ya Kadhi liachiwe Waislamu wenyewe wazianzishe na kuziendesha, sasa utata uko wapi?
 

Uislam haukalibishwi unaingia wenywe kwa watu wenye akili timamu wenye kujitambua na wenye kutumia akili
Wakati uingereza wanawake wanajivunia sheria za mwanaume kuoa zaidi ya mke mmoja kwao ni ukombozi
 

umeanza kuwa na akili
 
Akili ya mjinga ndio itakayo kubaliana na hoja dhaifu eti matatizo yaliyopo Iraq,urusi,Iran,Afghanistan na kwingine kama huko ni ya kidini.AMKA EWE MTANZANIA dunia inaenda mbele hairudi nyuma
 
Hatuogopi ndio maana tunataka kuunda sasa na katiba itambue uwepo wa kadhi

iweje katiba ya kikafiri itambue jambo la kiislamu au uislamu unatambua katiba na sheria nynginezo tofauti na Quran!?
 
Uislam haukalibishwi unaingia wenywe kwa watu wenye akili timamu wenye kujitambua na wenye kutumia akili
Wakati uingereza wanawake wanajivunia sheria za mwanaume kuoa zaidi ya mke mmoja kwao ni ukombozi

you mean wasio waislam hawana akili timamu?
 

Unatokwa na mapovu bure kwa kudhani mahakama ya kadhi itakuzuia kula nyamafu na kangara ulizozoea.
Usikhofu. Pia kama umeolewa ndoa ya jinsia moja kadhi hatoingilia ujinga wako hu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…