Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania


Meaning Tanganyika?
 
Huko kenya,uganda na uk zimesaidia nini?au tuweke tu kwa sababu wao wameweka?kip unakimiss ukihukumiwa na mahakama zetu?
 
Swali langu ni dogo tu.
Hiyo rasmu itapigiwa kura na watz ili iwe katiba?
Mijitu mivivu hata haina msaada kwa nchi zaidi ya chokochoko za kidini alafu kodi yangu iwalipe wala nguruwe kwa siri. Haya masisiemu yaangalie sn.
 
Nianza kusaka pakwenda mapema niandae mazingira hali ya hewa inanipa hofu.
 
Huko kenya,uganda na uk zimesaidia nini?au tuweke tu kwa sababu wao wameweka?kip unakimiss ukihukumiwa na mahakama zetu?
Wanataka kuiga hata mambo ya kipumbabu. Km kwa mfano wakenya wanakula miraa nasisi tuanze. Km mombasa republican wanataka kujitenga na hapa mikoa yetu ianze. Viongozi wa ccm ni km wana laana. Si mnaona kikwete alivovuruga bunge la katiba kwa mkusudi? Na hii dhambi haimuachi
 
ccm hapo ndo huwa wanaonekana dhahili kwamba akili yao ni ndogo sana.
 
Makafiri mahakama haiwahusu nyinyi kinauwaumeni nini ?
 
haa haa, kwa njia hii watanzania tusipokuwa makini mchakato huu wa katiba mpya utalipasua taifa!

Upasuke mara ngapi? ndio vizuri wanafki wajulikane watu walijua ni serikali mbili au tatu hata hili ni kubwa zaidi.
 
Zanzibar ipo,Kenya waislam wachache ipo,UK ipo Afrika kusini ipo,nchi nyingi tu yan,Wakoloni walioleta Ukristo waliruhusu mpaka miaaka ya 1967 ndo Mwalim akaitoa, si mpya ni swala la kurudisha tu.

hatutaki upuuzi huo
 
Hata kama wakiingiza mahakama ya Kadhi kwenye katiba lakini wahakkishe inagharamiwa na waislam wenyewe. Haiwezekani kodi yangu iendeshe mahakama ya mtu anaeniita KAFIR
 
Hata kama wakiingiza mahakama ya Kadhi kwenye katiba lakini wahakkishe inagharamiwa na waislam wenyewe. Haiwezekani kodi yangu iendeshe mahakama ya mtu anaeniita KAFIR

mkuu Kakende hakuna cha kuiweka, hatutaki kabisaaaaa
 
Last edited by a moderator:

kwa unafiki wa baadhi ya waislamu watasahahu yote aliyofanyiwa Sheikhe Ponda
 
Wakristo 75 percent waislam 20 percent Hindi plus wapagani utamalizia mwenyewe hata kwa bunduki hakuna mahakamani ya kadhiaaa,mkiwa na makesi yenu pelekeni huko Kenya kwenye hiyo mahakamani ya kadhiaaa
 
hatutaki upuuzi huo

Sasa upuuzi wangu nini kaka?inanikera Waislam wenzangu wanapo waita wasio waislam Makafiri sasa nimejua kwanini wanakosa kuwa wavumilivu.lkn Mimi inatataendelea kuwa na subra na nitaheshimu mitazamo mingine na kamwe hatuwezi kuwa sawa, ndio sifa ya binadam muhimu tuheshimiane.
 
Upasuke mara ngapi? ndio vizuri wanafki wajulikane watu walijua ni serikali mbili au tatu hata hili ni kubwa zaidi.
mkuu unafiki ndo uliotawala taifa hili, jk alijifanya anataka katiba mpya wakati siyo. Mchakato huu usipohairishwa utaliangamiza taifa!
 

wekeni kwenye katiba ya misikiti yenu na siyo katiba ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…