Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

Makafiri mahakama haiwahusu nyinyi kinauwaumeni nini ?

Na ninyi acheni kudeka kama vifaranga vya kuku kwa mama yake.Kila kitu munataka mubebwe kama viwete.Shule za wakristo zilitaifishwa kwa ajili yenu,Majengo ya serekali mulipewa enzi ya Mkapa mkayafanya kuwa chuo kikuu chenu na sasa mahakama ya kadhi mumebebwa ina maana kuwa mahakama yakadhi ikibaki kwenye katiba yenu ya kiislamu bila ya kuingizwa kwenye katiba ya Taifa inayowahusu watu wote pamoja na sisi makafiri haitakuwa mahakama?.Kila kitu kubebwa mwisho mtatumbukizwa kaburini kwa kupenda vya dezo.
 

ahsanteee
 

Kafiri povu linakutoka tu .. umetumia muda gani kuandika hyo duh .
 
Mambo ya Imani ya dini wasiyaweke kwenye katiba CCM wanataka kututaftia matatizo.
 
Hata kama wakiingiza mahakama ya Kadhi kwenye katiba lakini wahakkishe inagharamiwa na waislam wenyewe. Haiwezekani kodi yangu iendeshe mahakama ya mtu anaeniita KAFIR

Ukimuruhusu ngamia apenyeze kichwa chake ndani ya nyumba kujisitiri mvua ataingia mzima mzima mwisho atakutoa nje kwa mateke ukachapwe na mvua.
 
Jana katibu wa bunge maalumu alisema suala hili limewekwa kando kwanza wewe umeyatoa wapi haya unapenda sna umbea binti.
Usiwe mwepesi wa kutetea ujinga.Magazeti yameendika na hilo bunge uchwara limejadili.Kwa kuiweka hiyo mahakama ya kadhi tu basi mtegemee kudhundwa kwenye kura ya maoni.Dada Tanzania ni yetu sote CCM hamna hati miliki ya Tanzania.Ns huyo aliyeanzisha mwambieni mapema.
 
Hapa kinachofanyika werevu tushaelewa...lengo ni kuwagawa UKAWA.Ni kuvunja ndoa. Ni vita ya propaganda japo ni hatari sana na inaweza leta ufa mkubwa SANA
 
CCM wana hofu ya kung'oka na hivyo wabatumia mbinu yeyote kujiridhisha kuwa wataendelea kubaki
 
Wakristo 75 percent waislam 20 percent Hindi plus wapagani utamalizia mwenyewe hata kwa bunduki hakuna mahakamani ya kadhiaaa,mkiwa na makesi yenu pelekeni huko Kenya kwenye hiyo mahakamani ya kadhiaaa

Wewe una laana ya Wazazi wako wewe. Waislamu Tanzania ni Asilimia 60 na wakristo 35.
 

huyu kajaa chuki za kikafiri ndiomana anataka kupotosha wengine.

HAKI ITAKUWA HAKI HATAKAMA DUNIA NZIMA ITAKUWA KINYUME NAYO.
 
CCM na SITTa wote wapuuzi na watalaaniwa kwa kuingiza nchi katika ubaguzi wa kidini! Long LIVE Tanzania! Walaaniwe Sitta na Wanafiki wenzake wanaotaka kuitumbukiza nchi yetu katika dimbi la damu kwa ulafi wao wa madaraka!
Jana katibu wa bunge maalumu alisema suala hili limewekwa kando kwanza wewe umeyatoa wapi haya unapenda sna umbea binti.
 
Acha ujinga wewe mahakama ya kadhi ya nini wakati kuna mahakama za kawaida au mnataka kukuta watu shingo kwa majambia yenu mkisaidiwa na ustadhi sitta na membe?
huyu kajaa chuki za kikafiri ndiomana anataka kupotosha wengine.

HAKI ITAKUWA HAKI HATAKAMA DUNIA NZIMA ITAKUWA KINYUME NAYO.
 
Waislam wanataka mahkama ya kadh iwekwe kwenye katba kuna sbb nying mfano-Mtu anaweza akamuacha mkewe,Mke akaenda kwa kadhi lkn kadhi akaamua huyo mume aje mahkaman mume anaweza kukataa kwasbb hakuna mamlaka inayomlazmisha lkn kadhi akiwa kikatiba anaweza kuomba police kwenda kumfata kilazima huo ni mfano mmoja ktk mingi
 
Nadhani mleta mada una mihemko ndio maana unatetemeka, unasema mwenyewe kuwa watu ndio wana dini, sasa hiyo katiba inayotungwa si ni kwa ajili ya watu ambao wana dini,
Ni lazima kama tuna waruhusu Waislam kuwa na
Mahakama ya Kadhi basi katiba itamke ili isije ikatokea mbele kiongozi akaongeza au kupunguza nguvu na mamlaka ya Mahakama ya Kadhi. Kama sheria inatambua mila na desturi za watu kwanini isitambue dini.
Mleta mada fikiria tena vizuri utaelewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…