Tumia nafsi yako, usitumie ya kwangu. Uislamu wangu siyo sawa na wako na usinilazimishe kuishi kama enzi za mtume na sitamani dada yangu apewe thumni, watoto wangu niliowapata kabla ya ndoa wapewe thumni.
ujinga wa kiongozi mmoja sasa unatafuna nchi yote. Kama kweli haya yatatokea.
Ww unaona tulio pewa sisi tu munayopewa nyie huyaoni yakiwemo matrilion ya tsh MOU..Na ninyi acheni kudeka kama vifaranga vya kuku kwa mama yake.Kila kitu munataka mubebwe kama viwete.Shule za wakristo zilitaifishwa kwa ajili yenu,Majengo ya serekali mulipewa enzi ya Mkapa mkayafanya kuwa chuo kikuu chenu na sasa mahakama ya kadhi mumebebwa ina maana kuwa mahakama yakadhi ikibaki kwenye katiba yenu ya kiislamu bila ya kuingizwa kwenye katiba ya Taifa inayowahusu watu wote pamoja na sisi makafiri haitakuwa mahakama?.Kila kitu kubebwa mwisho mtatumbukizwa kaburini kwa kupenda vya dezo.
Mf ndoa ya kislam hufungwa kwa mujibu wa taratibu za kidini, hata inapovunjika inapaswa kufuata taratibu za kidini sasa inakuaje kuozesha ndoa anaozesha shekh, alafu kuivunja anaivunja hakimu ambaye hajui hata taratibu zilizotumika kuifungisha ndoa ile? lakini vilevile kwa mujibu wa uislam mirathi ni jambo ambalo lipo kwa mujibu wa sharia, kwa hiyo ikiwa mtu uhai wake wote amekuwa anafuata uislam, mara baada ya kufa maswala ya urithi yanashughulikiwa na hakimu ambaye hajui uislam hapa huyu marehemu amenyimwa haki zake.na swala la mirathi ni sehemu ya ibada katika Uislam , hizi ni baadhi tu ya haki zinakosekana katika mfumo huu wa sasa.
haa haa makafiri wenzake? Duh chochea kaka, angalau tufanane na wenzetu. Maana tanzania ukidai haki yako utasikia nchi ya amani na utulivu!Tatizo sijajua hawa magalatia wanachoogopa Mahakama ya kadhi ni nini? Nchi ingekua inaongzwa kwa sharia hapo kweli! Uganda makafiri wenzenu wapo wengi tu lakini hawana shida
Sent from my iPad Air using JamiiForums
haa haa duh..Ukimuruhusu ngamia apenyeze kichwa chake ndani ya nyumba kujisitiri mvua ataingia mzima mzima mwisho atakutoa nje kwa mateke ukachapwe na mvua.
haa haa mkuu kila mwamba ngoma huvutia kwake, wakristo wanajipendelea, vivyovivyo waislamu wanajipendelea. Kiukweli bunge hilo uchwara limegusa maslahi ya wagalatia, kama ccm inataka kurudia ya mwaka 2010 au zaidi mwakani iendelee na mchezo huo, haya ni madhara ya kukiuka rasimu ya tume. Bunge la sitta limejigeuza tume, limeanza kupokea maoni mapya, taifa litaparaganyika kwa ulevi wao huo. Hapo kitakachotokea ni uislamu vs ukristo, na upagani. Hakuna cha ccm wala ukawa.Wewe una laana ya Wazazi wako wewe. Waislamu Tanzania ni Asilimia 60 na wakristo 35.
Kunguni wewe unamaanisha magaidi au ,mbona mlitoka mbio TBC walivyotoa statistics? Dini ya Amani 75 vibagharashia 20.PeriodWewe una laana ya Wazazi wako wewe. Waislamu Tanzania ni Asilimia 60 na wakristo 35.
Kama itaandikwa hivyo itakuwa ni upuuzi wa kujaza kurasa tu za katiba, kwa maana hata bila kuandika hivyo huo uhuru upo na unatambulika kisheria kwa katiba ya sasa na hata rasimu iliyopendekezwaNa Kama aya yenye we inasema "Madhehebu ikiwemo Waislamu wana Uhuru wa kuanzisha mahakama ya kadhi Kwa mujibu wa Imani Yao na wataiendesha na kugharamia wenyewe" hapo kutakuwa na nongwa gani... Don't judge the book by its cover .... Wait and see the content, it is the content of the article that will matter!
Na Kama aya yenye we inasema "Madhehebu ikiwemo Waislamu wana Uhuru wa kuanzisha mahakama ya kadhi Kwa mujibu wa Imani Yao na wataiendesha na kugharamia wenyewe" hapo kutakuwa na nongwa gani... Don't judge the book by its cover .... Wait and see the content, it is the content of the article that will matter!
Ndugu zangu, nimeshtushwa sana na habari niliyoisoma hata jukwaani kwamba ccm inaandaa sura mpya katika katiba ya nchi itakayosimamia mahakama ya kadhi.
Sichukii dini na imani za watu lakini ninaangalia amani na mwelekeo wa tiafa hili kwa sasa. Kwa muda wote katia historia ya nchi yetu, serikali haijawahi kuwa na dini lakini raia wake wamepewa uhuru wa kuabudu dini wanazozitaka ili mradi wasivunje sheria.
Ni jambo lisilomithirika, kwa ccm kuiingiza nchi yetui kwenye dhahama hii wakat dunia nzima ikishuhudia tabu ambazo watu wanapata kutokana na kuwa na serikali zenye udini.
Ninaomba ndugu zetu wa ccm, acheni jambo hili. Hamjalifanyia utafiti ila mnafanya kinafiki ili kuwa impress wazanzibar wawape 2/3 na kutafuta kura kwa misingi ya udini. Msitupeleke huko. Mnafanya jambo la hatari kuliko yote mliyowahi kufanya.
Ninaomba suala la kadhi waachiwe waislam wenyewe walisimamie na kulitekelza kuliko serikali kujiingiza katika jambo la namna hii.
Ninatetemeka, nashindwa kuandika.
Wanaoitakia mema Tanzania, wakiwemo wana ccm, waisllam na watu wa dini zote, naomba tusimamie amani ya taifa hili ambayo sasa ccm imeama kuizika rasmi.
SITA UMEFANYA LINI RESEARCH HADI UKA VALIDATE KWAMBA MAHAKAMA YA KADHI ITAONDOA KERO ZA MUUNGANO? UNA MAAGANO GANI NA DAMU YA WANTANZANIA?
daaaaa sasa tuanze kutafuta nchi za kukimbilia
Kikwete anataka tumkumbuke kwa lipi sasa?yaani upuuzi wa mahakama ya kadhi ndani ya katiba!!nitaandamana peke yangu pumbavu ccm
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
CCM wajue kuwa wanaipeleka nchi kwenye vita ya dini! Madhehebu mengine ya kikristo yakidai mahakama zao kwenye katiba watawakatalia! Au wakidai lolote liwe kwenye katiba watakuwa na kigezo gani cha kuwakatalia. Let us wait and see. Labda kwa vile CCM ina risasi, itaua wakristo!
Ccm wanaishi sayari gani wenzetu? Wakati dunia nzima sasa inajaa damu kwa sababu ya serikali za kidini, na watu hawalali wakifikiria namna ya kutatua tatizo hili la kidunia, ccm ndiyo inatupeleka huko kweli? Hivi hawa ccm ni binadamu wa kawaida ama ni viumbe gani?
Sasa, tunayokazi moja. Kila mtu mahali alipo ampe habari mwenzake, kuigomea katiba hii. Wakti wote ikikatiza katika eneo aliloko mtu mpenda amani, tuungane tuikatae kwa umoja bia kujali chama. Mauaji yanayotokea kwa udini hayachagui mwenye dini inayoua wala asiye nayo. Hayaangalii ni kiongozi ama raia. Ni afahali kuzuia kuliko kutibu. Ninajua kuna wana ccm wengi sana ambao hili suala halitawafurahisha. Tuunganeni tuikatae hii katiba ya wauaji. Hata wakisema tupige kura za wazi, tupigeni kinyume na katiba hii bila woga. Maisha yetu yanathamani kuliko tamaa ya viongzi wachache wa ccm.
Wewe una laana ya Wazazi wako wewe. Waislamu Tanzania ni Asilimia 60 na wakristo 35.
Waislam tulisha jitambua na hatudanganyiki.