Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

Tumia nafsi yako, usitumie ya kwangu. Uislamu wangu siyo sawa na wako na usinilazimishe kuishi kama enzi za mtume na sitamani dada yangu apewe thumni, watoto wangu niliowapata kabla ya ndoa wapewe thumni.

ujinga wa kiongozi mmoja sasa unatafuna nchi yote. Kama kweli haya yatatokea.

Uliwah kushuhudia mgogoro wamirathi ulikuwa na aina hiyo yandoa?.
 
Na ninyi acheni kudeka kama vifaranga vya kuku kwa mama yake.Kila kitu munataka mubebwe kama viwete.Shule za wakristo zilitaifishwa kwa ajili yenu,Majengo ya serekali mulipewa enzi ya Mkapa mkayafanya kuwa chuo kikuu chenu na sasa mahakama ya kadhi mumebebwa ina maana kuwa mahakama yakadhi ikibaki kwenye katiba yenu ya kiislamu bila ya kuingizwa kwenye katiba ya Taifa inayowahusu watu wote pamoja na sisi makafiri haitakuwa mahakama?.Kila kitu kubebwa mwisho mtatumbukizwa kaburini kwa kupenda vya dezo.
Ww unaona tulio pewa sisi tu munayopewa nyie huyaoni yakiwemo matrilion ya tsh MOU..
 
Tatizo sijajua hawa magalatia wanachoogopa Mahakama ya kadhi ni nini? Nchi ingekua inaongzwa kwa sharia hapo kweli! Uganda makafiri wenzenu wapo wengi tu lakini hawana shida

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Mf ndoa ya kislam hufungwa kwa mujibu wa taratibu za kidini, hata inapovunjika inapaswa kufuata taratibu za kidini sasa inakuaje kuozesha ndoa anaozesha shekh, alafu kuivunja anaivunja hakimu ambaye hajui hata taratibu zilizotumika kuifungisha ndoa ile? lakini vilevile kwa mujibu wa uislam mirathi ni jambo ambalo lipo kwa mujibu wa sharia, kwa hiyo ikiwa mtu uhai wake wote amekuwa anafuata uislam, mara baada ya kufa maswala ya urithi yanashughulikiwa na hakimu ambaye hajui uislam hapa huyu marehemu amenyimwa haki zake.na swala la mirathi ni sehemu ya ibada katika Uislam , hizi ni baadhi tu ya haki zinakosekana katika mfumo huu wa sasa.

Mkuu tafadhali nielimishe, inamaana tuna sheria za nchi ambazo zinalazimisha watu kwenda mahakama za kiraia hatapale pale watakapo amua kuachana kwa kupitia huko walipo fungia ndoa?
 
..duh, mambo yameanza tena! Jk kweli kazi anayo, ngoja tusubiri matamko ya kina pengo na wagalatia wenzake! Chini ya mfumo huu k ccm mwakani inajichimbia kaburi la wazi!
 
Tatizo sijajua hawa magalatia wanachoogopa Mahakama ya kadhi ni nini? Nchi ingekua inaongzwa kwa sharia hapo kweli! Uganda makafiri wenzenu wapo wengi tu lakini hawana shida

Sent from my iPad Air using JamiiForums
haa haa makafiri wenzake? Duh chochea kaka, angalau tufanane na wenzetu. Maana tanzania ukidai haki yako utasikia nchi ya amani na utulivu!
 
Wewe una laana ya Wazazi wako wewe. Waislamu Tanzania ni Asilimia 60 na wakristo 35.
haa haa mkuu kila mwamba ngoma huvutia kwake, wakristo wanajipendelea, vivyovivyo waislamu wanajipendelea. Kiukweli bunge hilo uchwara limegusa maslahi ya wagalatia, kama ccm inataka kurudia ya mwaka 2010 au zaidi mwakani iendelee na mchezo huo, haya ni madhara ya kukiuka rasimu ya tume. Bunge la sitta limejigeuza tume, limeanza kupokea maoni mapya, taifa litaparaganyika kwa ulevi wao huo. Hapo kitakachotokea ni uislamu vs ukristo, na upagani. Hakuna cha ccm wala ukawa.
 
divide and rule ya kidini na kiukanda mpaka katiba ya ccm ipite, madhara yake mtajua wenyewe calaphie state
 
Wewe una laana ya Wazazi wako wewe. Waislamu Tanzania ni Asilimia 60 na wakristo 35.
Kunguni wewe unamaanisha magaidi au ,mbona mlitoka mbio TBC walivyotoa statistics? Dini ya Amani 75 vibagharashia 20.Period
 
Na Kama aya yenye we inasema "Madhehebu ikiwemo Waislamu wana Uhuru wa kuanzisha mahakama ya kadhi Kwa mujibu wa Imani Yao na wataiendesha na kugharamia wenyewe" hapo kutakuwa na nongwa gani... Don't judge the book by its cover .... Wait and see the content, it is the content of the article that will matter!
Kama itaandikwa hivyo itakuwa ni upuuzi wa kujaza kurasa tu za katiba, kwa maana hata bila kuandika hivyo huo uhuru upo na unatambulika kisheria kwa katiba ya sasa na hata rasimu iliyopendekezwa
 
Na Kama aya yenye we inasema "Madhehebu ikiwemo Waislamu wana Uhuru wa kuanzisha mahakama ya kadhi Kwa mujibu wa Imani Yao na wataiendesha na kugharamia wenyewe" hapo kutakuwa na nongwa gani... Don't judge the book by its cover .... Wait and see the content, it is the content of the article that will matter!

Mbona kwenye katiba ya Zanzibar ya 2010 hakuna kifungu cha namna hiyo, pamoja na kwamba 95%+ ya wananchi wake ni Waislamu? Unadhani hawajui madhara ya kuweka masuala ya dini kwa katiba?
 
Ajabu hii,watanzania na imani zetu tulio owana na kuchanganya damu bado tunaogopana?
Serikali ni yetu wote.kama tunaipa dhamana fulani yenye maslahi kwa dini fulani yasiyo idhuru dini nyingine kuna ubaya gani?
Mbona hata wakiristo wanafungu kubwa la fedha wanachotewa toka serikalini ili luendesha taasisi zao kama mahospitali na vyuo na tumeridhia.!
Kwasababu sisi ndio wadau husika wa taifa na hizi ndizo haja zetu.Kwa nini munataka kuzua mgogoro wa kijinga?
Waislamu ni sehemu ya Taifa hili .Katiba inayohaki ya kuweka utaratibu wa kila kundi katika taifa wa kuendesha shughulozake za kidini kwa uhuru na haki bila ya upendeleo wala kuathiri imani nyingine.
JE WEWE KAMA MKIRISTO UTAATHORIKA VIPI NA MAHAKAMA YA KADHI?
 
Ndugu zangu, nimeshtushwa sana na habari niliyoisoma hata jukwaani kwamba ccm inaandaa sura mpya katika katiba ya nchi itakayosimamia mahakama ya kadhi.

Sichukii dini na imani za watu lakini ninaangalia amani na mwelekeo wa tiafa hili kwa sasa. Kwa muda wote katia historia ya nchi yetu, serikali haijawahi kuwa na dini lakini raia wake wamepewa uhuru wa kuabudu dini wanazozitaka ili mradi wasivunje sheria.

Ni jambo lisilomithirika, kwa ccm kuiingiza nchi yetui kwenye dhahama hii wakat dunia nzima ikishuhudia tabu ambazo watu wanapata kutokana na kuwa na serikali zenye udini.

Ninaomba ndugu zetu wa ccm, acheni jambo hili. Hamjalifanyia utafiti ila mnafanya kinafiki ili kuwa impress wazanzibar wawape 2/3 na kutafuta kura kwa misingi ya udini. Msitupeleke huko. Mnafanya jambo la hatari kuliko yote mliyowahi kufanya.

Ninaomba suala la kadhi waachiwe waislam wenyewe walisimamie na kulitekelza kuliko serikali kujiingiza katika jambo la namna hii.

Ninatetemeka, nashindwa kuandika.

Wanaoitakia mema Tanzania, wakiwemo wana ccm, waisllam na watu wa dini zote, naomba tusimamie amani ya taifa hili ambayo sasa ccm imeama kuizika rasmi.

SITA UMEFANYA LINI RESEARCH HADI UKA VALIDATE KWAMBA MAHAKAMA YA KADHI ITAONDOA KERO ZA MUUNGANO? UNA MAAGANO GANI NA DAMU YA WANTANZANIA?

daaaaa sasa tuanze kutafuta nchi za kukimbilia

Kikwete anataka tumkumbuke kwa lipi sasa?yaani upuuzi wa mahakama ya kadhi ndani ya katiba!!nitaandamana peke yangu pumbavu ccm

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

CCM wajue kuwa wanaipeleka nchi kwenye vita ya dini! Madhehebu mengine ya kikristo yakidai mahakama zao kwenye katiba watawakatalia! Au wakidai lolote liwe kwenye katiba watakuwa na kigezo gani cha kuwakatalia. Let us wait and see. Labda kwa vile CCM ina risasi, itaua wakristo!

Ccm wanaishi sayari gani wenzetu? Wakati dunia nzima sasa inajaa damu kwa sababu ya serikali za kidini, na watu hawalali wakifikiria namna ya kutatua tatizo hili la kidunia, ccm ndiyo inatupeleka huko kweli? Hivi hawa ccm ni binadamu wa kawaida ama ni viumbe gani?

Sasa, tunayokazi moja. Kila mtu mahali alipo ampe habari mwenzake, kuigomea katiba hii. Wakti wote ikikatiza katika eneo aliloko mtu mpenda amani, tuungane tuikatae kwa umoja bia kujali chama. Mauaji yanayotokea kwa udini hayachagui mwenye dini inayoua wala asiye nayo. Hayaangalii ni kiongozi ama raia. Ni afahali kuzuia kuliko kutibu. Ninajua kuna wana ccm wengi sana ambao hili suala halitawafurahisha. Tuunganeni tuikatae hii katiba ya wauaji. Hata wakisema tupige kura za wazi, tupigeni kinyume na katiba hii bila woga. Maisha yetu yanathamani kuliko tamaa ya viongzi wachache wa ccm.

Lakini si mlipita mitaani kutaka maoni ya wananchi? Sasa wananchi wa kiisalamu wanataka Mahakama ya Kadhi, hayo ni maoni yao, kwanini hamtaki kuyaheshimu?. Laana ya Udini ndio inaitafuna rasimu ya Katiba ya Joseph Warioba, Joseph Butiku na John Kabudi.
Pole pole kitaeleweka tu!
 
Wewe kama mkiristo utaathirika vipi na mahakama ya kadhi?
 
:wacko: mmh hapo sasa ,yaani vision za mwalimu za angamia moja baada nyingine,kwani tulisema nchi haina dini lakini leo ni haya
 
Waislam tulisha jitambua na hatudanganyiki.

============
Ni kweli mnajidanganya, toka 1977 mlipounda CCM, mkapendeza hii rangi ya kijani ambayo ni alama ya dini ya "wenzetu katika imaan" bado mnataka TZ iwe kama Iraq au Syria?......... Soma hapa chini usiyeelewa uelewe:

===========

WHY DID CCM EMBRACE GREEN COLOUR!?
Green(Arabic: أخضر) isconsidered the traditional color of Islam. The Arabic word for "greenness" is mentionedseveral times in the Quran,describing the state of the inhabitants of paradise.Examples include:
Reclining on green Cushions and rich Carpets of beauty
— Sura 55,verse 76.[SUP][1][/SUP]
Upon them will be green garments of fine silk and heavybrocade, and they will be adorned with bracelets of silver; and their Lord willgive to them to drink of a Water Pure and Holy.
— Sura 76, verse21.[SUP][2][3][/SUP]
Al-Khidr ("The Green One") is a Qur’anicfigure who met and traveled with Moses.[SUP][4][/SUP]
The Green Dome, traditional site of the tomb of Muhammad, waspainted green on the order of sultan AbdulHamid II (r. 1876–1909).
National flags includinggreen as a symbol of Islam include those of Azerbaijan, Maldives,Mauritania, United Arab Emirates, Saudi Arabia, Turkmenistan, Pakistan,Afghanistan, and Iran.
SOURCE: http://en.wikipedia.org/wiki/Green_in_Islam
[h=2]Why is the color green soimportant in the Muslim world?[/h]By Christopher Beam
The main rival of President Mahmoud Ahmadinejad in the Iranianelections, Mir Hossain Mousavi, has adopted green as his signaturecolor. The flags of Iran, Saudi Arabia, and the Palestinian group Hamas alsoinclude the color. Why is green so prevalent in the Muslim world?
Because it was supposedlyMohammed's favorite color. The Islamic prophet is said to have worn a greencloak and turban, and his writings are full of references to the color. Apassage from the Quran describes paradise as a place where people "willwear green garments of fine silk." One hadith,or teaching, says, "When Allah's Apostle died, he was covered with a HibraBurd," which is a green square garment. As a result, you'll see green usedto color the binding of Qurans, the domes of mosques, and, yes, campaignmaterials.
SOURCE: http://www.slate.com/articles/news_and_politics/explainer/2009/06/islamic_greenwashing.html
UNANSWEREDQUESTION: WHY GREEN IS THE OFFICIAL COLOUR OF CCM?
 
Ndugu zangu, nimeshtushwa sana na habari niliyoisoma hata jukwaani kwamba ccm inaandaa sura mpya katika katiba ya nchi itakayosimamia mahakama ya kadhi.

Sichukii dini na imani za watu lakini ninaangalia amani na mwelekeo wa tiafa hili kwa sasa. Kwa muda wote katia historia ya nchi yetu, serikali haijawahi kuwa na dini lakini raia wake wamepewa uhuru wa kuabudu dini wanazozitaka ili mradi wasivunje sheria.

Ni jambo lisilomithirika, kwa ccm kuiingiza nchi yetui kwenye dhahama hii wakat dunia nzima ikishuhudia tabu ambazo watu wanapata kutokana na kuwa na serikali zenye udini.

Ninaomba ndugu zetu wa ccm, acheni jambo hili. Hamjalifanyia utafiti ila mnafanya kinafiki ili kuwa impress wazanzibar wawape 2/3 na kutafuta kura kwa misingi ya udini. Msitupeleke huko. Mnafanya jambo la hatari kuliko yote mliyowahi kufanya.

Ninaomba suala la kadhi waachiwe waislam wenyewe walisimamie na kulitekelza kuliko serikali kujiingiza katika jambo la namna hii.

Ninatetemeka, nashindwa kuandika.

Wanaoitakia mema Tanzania, wakiwemo wana ccm, waisllam na watu wa dini zote, naomba tusimamie amani ya taifa hili ambayo sasa ccm imeama kuizika rasmi.

SITA UMEFANYA LINI RESEARCH HADI UKA VALIDATE KWAMBA MAHAKAMA YA KADHI ITAONDOA KERO ZA MUUNGANO? UNA MAAGANO GANI NA DAMU YA WANTANZANIA?

Unatetemeka hadi unashindwa kuandika.Ulshazoea vya kunyonga, vya kuchinja huwezi. Ulidhni dini Tanzania ni ukristo tu. Mabilioni serikali inayotoa kwa makanisa hujaona kama serikali ina dini, ila mahakama ya kadhi ndio imekuma. meza sumu!!!
 
Back
Top Bottom