Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaa wapi trump analoloteKichaa Trump atawaweza tu hawa vichaa uchwara wa Afrika
inawezekana kweli watanznia ni waoga,ila hata walio wababe leo walikuwa waoga kama au pengine kuliko sisi,majanga yanapozidi mioyo huota kutu.Ipo siku watu watastaajabu.Uganda M7 ni moto, Rwanda Kagame ni Moto, na kutoka kwao Jiwe anacopy na kupaste. Rwanda ukimgusa Jiwe wa kule kifo kinakuhusu. Nadhani kwa sasa Rwanda haina chama cha upinzani. Na Uganda sasa Inaelekea huko huko. Jiwe wa kule hataki kusikia kitu upinzani. Huyu wa huku kwetu anaweza kuvunja record za hao wawili. Tunapoelekea itakuwa haramu kusalimiana na mfuasi wa chama cha upinzani. Kwenye chaguzi anaelekea kufaulu maana fomu za wapinzani zitakuwa hazipokelewi hivyo majimbo mengi ccm kitakuwa kinapita bila kipingwa. Na hata zikipokelewa, tayari wakurugenzi wote wameshapewa maelekezo ya kutowatangaza wapinzani pale wanapokuwa wameshinda chaguzi.
Yajayo........... Yanasikitisha
Haa haa haa haa aiseee jiwe apgwa mkwara barid
Kama huu c anajiharishia kitandan
Sent using Jamii Forums mobile app
...wa Muyaya...m7 rais wa milele
HAHAHHAAAHAA nacheka sio kwasababu ni mazuri ila ni maajabu ya duniaMiafrika tumeumbwa mijitu ya ajabu ajabu sana.
Hapo M7 amemuachia kwakua anaogopa kukosa misaada.
Unatesa watu kisa madaraka, alafu M7 ndiye role model wa jamaa yetu.
Mungu atunusuru Watanzania yasijirudie ya Lissu
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha bado sana!Bado Mwenyekiti wako kupewa Ultimatum kuhusu siasa zake za ajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bob Wine Kaachiwa kwa Dhamana....Bobi Wine ameachiwa huru leo na inadaiwa ni kutokana na shinikizo toka Ubalozi wa Marekani nchini Uganda,
Hana kesi ya kujibu.
Chanzo: City Radio Uganda
=======
Taarifa za hivi punde kutoka Uganda ni kwamba mahakama ya jeshi imemuondolea mashtaka mbunge wa Kyadondo Robert Kyagulanyi.
Inaarifiwa kwamba mahakama hiyo ya jeshi inataka badala yake inataka kumkabidhi mbunge huyo kwa mahakama ya kiraia ajibu mashtaka ya uhaini pamojana wabunge wengine waliokamatwa.
Mbunge huyo ambaye aliwahi kuwa mwanamuziki nchini kwa jina maarufu Bobi Wine leo alitarajiwa kurudishwa katika mahakama ya kijeshi mjini Gulu kaskazini mwa Uganda.
Mawakili wake awali walijuzwa kuwa kesi itasikilizwa katika kambi ya kijeshi ya Makindye anakozuiliwa mjini Kampala.
Kumekuwa na shinikizo kubwa kimataifa la kutaka Bobi Wine aachiwe huru.
=========
UPDATE
Muda mfupi baada ya kuachiliwa huru, Wine alikamatwa tena na inaarifiwa kwamba anatarajiwa kushtakiwa katika mahakama ya hakimu mkuu kujibu mashtaka ya uhaini pamoja na wabunge wengine waliokamatwa.
Chanzo: BBC