Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Hii mahakama ya kidwanzi ilishindwa kuwakamata wanajeshi wa marekani kwa uhalifu wa kivita baada ya marekani kuwatishia kuwa itawawekea vikwazo so ni kibogoyo tu haina hata makali.
 
Tunasubir mwanaume wa kuingia Russia na kumkamata. Kutoa tamko sio shida.
Ni shida aisee kwani wamemwondolea kinga. Maana yake kwa sasa Putin hana Immunity tena. Yani CD4 zimeshuka chini kabisa ya kiwango. Ugonjwa wowote, hijack, assassination na watu wake watamwepuka au kumsaliti bila kikwazo, personaly kisaikolojia atakuwa na wasiwasi mkubwa zaidi juu ya uhai wake - Atakosa muda wa kufikiria vita.

Anaweza kupatwa na kiharusi, shinikizo la damu, moyo au kukimbilia mafichoni kwa usalama zaidi n.k.
 
Huyu ni muhalifu wa kupigwa Vita na kila mpenda amani
 
Kweli?
 

Ndugu yangu unaandika ukiwa na akili timamu kichwani?? . Putin anaweza kwenda pale London na hakuna wa kumdaka hata mmoja.
 
Hii mahakama ya kidwanzi ilishindwa kuwakamata wanajeshi wa marekani kwa uhalifu wa kivita baada ya marekani kuwatishia kuwa itawawekea vikwazo so ni kibogoyo tu haina hata makali.
OK; Sasa ni zamu ya Putin kusurrender au kukimbilia Uhamishoni kama alivyomtishia Zele eti nakupa 72 hrs. utekelezaji ufanyike chap. na mavifaru yake yenye nembo ya Z mlolongo km 64. Sasa kibao kimegeuka kwani atawindwa na wabobezi wa kimataifa(Interpol) mataifa 194. Kazi anayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…