Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Labda angukua Putin wa chato.Uchaguzi mkuu Russia ni mwakani March 2024
The Hague hawajawahi kamata mtu wananchi na wanajeshi ndio hukamata na kupeleka the Hague
Warusi wenyewe watamkamata na kumpeleka wamechoka vita
Atashikwa kama kuku wa mdondo watu wachukue nafasi yake March 2024 uchaguzi mkuu
Imefanywa calculation kuwa Putin atqjidai ohh hakuna uchaguzi sababu nchi iko vitqni hivyo niendelee!!!
Tamko la mahakama limetolewa at the right time Putin analo