Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Mbona akina obama, bush hawajafunguliwa kesi? Au uhalifu wa libya na iraq sio uhalifu?
Hili 👆 👆 👆 ndo tatizo kubwa sana la proRussia. Tunajadili habari za Vita na matokeo yake kwa musstakabali wa Ukraine na Russia kama nchi mbili lakini hamuishi kuchapia habari zisizohusika za e.g. Mbona Libya,Syria, Obama, Bill Clinton, Bush ....Pakistani......n.k. Niwaulize tu; Kwani hoja yako ukii-focus kwenye yaliyomo Urusi vs Ukraine haiwezekani???? au hutaeleweka???
 
Mkuu hilo lisikupe shida - Usihofu. Wewe subiri tu kwa muda utaona kama ulivyoshuhudia wababe kama Saddam Hussein na wenzake kina Osama n.k. watu wa aina hiyo walivyoshughulikiwa.
Ingekuwa ni huku kijijini kwetu, unaweza kumbonda na rungu halafu ukishtakiwa unajitetea "Nilikuwa nataka asiweze kukimbia ili akamatwe na sungusungu" na kesi yako inakwisha.
Unamlinganisha Rais wa Russia na Osama au Saddam?Kweli elimu Bado ni changamoto!
 
Mi ningekuwa ni Putin ningewahire Wagner group wawadungue hao majaji wa hiyo mahakama mmoja baada ya mwingine
 
Kwani wewe unafikiri Mungu anashuka Ile aje Kumkamata Putin?Mungu anatoa go ahead Tu.
Katika hili tulimalize tu boss. Nilipingana na ww uliposema ni mungu tu ndo anaweza mkamata, ukasahihisha kwa kusema iwapo MUNGU ataruhusu, nikakubaliana na wewe. Tukiendelea kulibishania itakuwa ni kutafuta ushindi uchwara.
 
Uchaguzi mkuu Russia ni mwakani March 2024
The Hague hawajawahi kamata mtu wananchi na wanajeshi ndio hukamata na kupeleka the Hague

Warusi wenyewe watamkamata na kumpeleka wamechoka vita

Atashikwa kama kuku wa mdondo watu wachukue nafasi yake March 2024 uchaguzi mkuu

Imefanywa calculation kuwa Putin atqjidai ohh hakuna uchaguzi sababu nchi iko vitqni hivyo niendelee!!!


Tamko la mahakama limetolewa at the right time Putin analo
Endelea na tabiri za shekhe Yahaya!SmO Bado inaendelea na malengo lazima yafikiwe!
 
🤣🤣🤣🤣🤣,Kanywe maji ulale kijana!
Haya mambo yamekuzidi uwezo!
Ndo zenu hizo proRussia mnapokosa cha kusema. Usichukie/usioneshe kupanic kwetu; sisi tunajadiliana tu mzee. Wenyewe wa kulishughulia wapo huko-huko waliko.
 
Endelea na tabiri za shekhe Yahaya!SmO Bado inaendelea na malengo lazima yafikiwe!
Wayahudi unawasikia kwenye Radio wewe

Wakichokozwa wana viapo kuwa wako tayari kupigana na chi choosing miaka 200 nonstop sasa hivi wayahudi wa Ukraine wako mwaka wa pili vita na Russia bado miakq 198

Miaka miwili tu Russia ulimi umemtoka kwa kutweta

Vita ndio kwanza iko mwaka wa pili kati ya miaka 200


Take it from me Putin ataondoka kwa kuvurumushwa Mark my words
 
Ni shida aisee kwani wamemwondolea kinga. Maana yake kwa sasa Putin hana Immunity tena. Yani CD4 zimeshuka chini kabisa ya kiwango.Ugonjwa wowote, hijack, assassination na watu wake watamwepuka au kumsaliti bila kikwazo, personaly kisaikolojia atakuwa na wasiwasi mkubwa zaidi juu ya uhai wake - Atakosa muda wa kufikiria vita. Anaweza kupatwa na kiharusi, shinikizo la damu, moyo au kukimbilia mafichoni kwa usalama zaidi n.k.
He is not that weak.
 
Mbona akina obama, bush hawajafunguliwa kesi? Au uhalifu wa libya na iraq sio uhalifu?
Kuna kipindi ICC walitaka kuchunguza wars crimes huko Afghan na Palestina!
US akaipiga sanctions na kuwatambua prosecutors na wafanyakazi wengine wa mahakama hiyo kama wahalifu,wakarevoke visa zao na kutishia kufreeze account zao!
US aliuonesha ulimwengu kuwa ICC ni Kwa ajili ya mataifa hohehahe kama Iraq na kwetu huku Africa!
On September 2, 2020, the United States government imposed sanctions on the International Criminal Court (ICC) prosecutor, Fatou Bensouda, and another senior prosecution official, Phakiso Mochochoko. In addition, US Secretary of State Michael Pompeo announced that the United States had restricted the issuance of visas for certain unnamed individuals “involved in the ICC’s efforts to investigate US personnel.”

The sanctions on Bensouda and Mochochoko implemented a sweeping executive order issued on June 11, 2020 by President Donald Trump. This order declared a national emergency and authorized asset freezes and family entry bans against ICC officials who were identified as being involved in certain activities. Earlier, the Trump administration had repeatedly threatened action to thwart ICC investigations in Afghanistan and Palestine. In a precursor step, in 2019, the Trump administration revoked the prosecutor’s US visa.

The following questions and answers discuss the Trump administration’s unprecedented authorization of a sanctions program aimed at undermining the work of the ICC.
 
Sarakasi Haziishi Mpaka Wanafanya Upuuzi Mtupu, Huyo Mpaka Aitwe Mbinguni.

Mtamkamata Vp Sasa?
 
Stay tuned

Mimi vita ilipoanza tu day one nilisema Putin kakosea kuvamia wayahudi wa Ukraine. kitachomkuta mrusi atajuta kuanzisha hiyo VITA kuwa hakushauriwa vizuri.

Nilizomewa humu hadi nyuzi zangu zingine zilifutwa

Kiko wapi Mwaka wa Pili Urusi yuko vitani kachoka mbaya
Stay tuned utaona kitakachomkuta Putin
Kachokaje?Bado utaendelea kuzomewa kama unaandika nonsense!
 
Back
Top Bottom