Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hapo kwenye sentenis badili maneno mawili.Huyu ni muhalifu wa kupigwa Vita na kila mpenda amani
Mhalifu -> Shababi
Mpenda amani -> Shoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye sentenis badili maneno mawili.Huyu ni muhalifu wa kupigwa Vita na kila mpenda amani
Putin alituma best commandos akitaka kuteka Ukraine ndani ya siku saba tu walifyekwa kama mbwa hadi sasa anatumia wafungwa na wanajeshi mamuluki wa kukodi Wagner Group.leo mwaka wa pili hajateka UkraineKachokaje?Bado utaendelea kuzomewa kama unaandika nonsense!
Unamlinganisha Rais wa Russia na Osama au Saddam?Kweli elimu Bado ni changamoto!
Elimu Yako umeishia ngazi gani?Hata mahakama zetu,Huwa zinarejea kesi zilizowahi kuhukumiwa kabla kwenye muongozo kama Kuna utata!Hili 👆 👆 👆 ndo tatizo kubwa sana la proRussia. Tunajadili habari za Vita na matokeo yake kwa musstakabali wa Ukraine na Russia kama nchi mbili lakini hamuishi kuchapia habari zisizohusika za e.g. Mbona Libya,Syria, Obama, Bill Clinton, Bush ....Pakistani......n.k. Niwaulize tu; Kwani hoja yako ukii-focus kwenye yaliyomo Urusi vs Ukraine haiwezekani???? au hutaeleweka???
Hahahahah waambie hao NdeziUkitumia akili ya CHAWA WA MAMA huwezi kuona hili, utaishia kusema "Mama hana baya, atatawala zaidi ya miaka 1,000"
Mkuu unawaza kipuuzi Sana.Vita part two wanawapa mwanya magenerali wa kirusi kupindua Russia kwa kumkamata kuwa wasipate shida wakimpindua kuwa wampeleke wapi ni the Hague
Hadi hilo tamko kutolewa ina maana assessment ya vita inaonyesha mwelekeo mzuri wa Putin kuchokwa ndani ya Russia kwenye inner circle za chama tawala na jeshi
Unahisi Putin ni Gadafi eehPutin anabidi auliwe tu
Putin ni mtuhumiwa wa uhalifu anayetafutwa na ICC..hilo ndio la muhimu kwa sasa.Kwa hiyo wewe ndo unajua hilo? Mbona Urusi wanasema wao sio member wa hiyo mahakama uchwara?
Hahahahah kwamba US ana kinga y ICC ila Urusi yeye hana anatakiwa ashtakiwe. Nimekaa pale, kumkamata Putin ndio itakuwa mwisho wa dunia 😀😀😀 maana kitakachofata ni NUKES tu kurindima kila kona ya Marekani.Mkuu hilo lisikupe shida - Usihofu. Wewe subiri tu kwa muda utaona kama ulivyoshuhudia wababe kama Saddam Hussein na wenzake kina Osama n.k. watu wa aina hiyo walivyoshughulikiwa.
Ingekuwa ni huku kijijini kwetu, unaweza kumbonda na rungu halafu ukishtakiwa unajitetea "Nilikuwa nataka asiweze kukimbia ili akamatwe na sungusungu" na kesi yako inakwisha.
Do u think and believe that writing in a foreign language will make ur point more meaningful? We andika tu kiswahili utaeleweka mzee. Kutumia lugha ya kigeni ni kuwabagua au kuwaweka pembeni baadhi ya wenzetu humu jukwaani ili wasiweze kuchangia.Elimu Yako umeishia ngazi gani?Hata mahakama zetu,Huwa zinarejea kesi zilizowahi kuhukumiwa kabla kwenye muongozo kama Kuna utata!
So wabapotaja hiyo mifano ni kama kufanya Rejea tu!
On September 2, 2020, the United States government imposed sanctions on the International Criminal Court (ICC) prosecutor, Fatou Bensouda, and another senior prosecution official, Phakiso Mochochoko. In addition, US Secretary of State Michael Pompeo announced that the United States had restricted the issuance of visas for certain unnamed individuals “involved in the ICC’s efforts to investigate US personnel.”
The sanctions on Bensouda and Mochochoko implemented a sweeping executive order issued on June 11, 2020 by President Donald Trump. This order declared a national emergency and authorized asset freezes and family entry bans against ICC officials who were identified as being involved in certain activities. Earlier, the Trump administration had repeatedly threatened action to thwart ICC investigations in Afghanistan and Palestine. In a precursor step, in 2019, the Trump administration revoked the prosecutor’s US visa.
The following questions and answers discuss the Trump administration’s unprecedented authorization of a sanctions program aimed at undermining the work of the ICC.
Huyu ni muhalifu wa kupigwa Vita na kila mpenda amani
Jiongopeeni tu na mtu ambaye kashikilia mikoba ya Nyuklia zikiwa deployed. Swala la raisi kutangaza vita ni kiasi cha kushika MiC tu kuwajulisha kuwa anaanza kuwatwanga bila huruma.Uchaguzi mkuu Russia ni mwakani March 2024
The Hague hawajawahi kamata mtu wananchi na wanajeshi ndio hukamata na kupeleka the Hague
Warusi wenyewe watamkamata na kumpeleka wamechoka vita
Atashikwa kama kuku wa mdondo watu wachukue nafasi yake March 2024 uchaguzi mkuu
Imefanywa calculation kuwa Putin atqjidai ohh hakuna uchaguzi sababu nchi iko vitqni hivyo niendelee!!!
Tamko la mahakama limetolewa at the right time Putin analo
Ndugu yangu unaandika ukiwa na akili timamu kichwani?? . Putin anaweza kwenda pale London na hakuna wa kumdaka hata mmoja.
Hao ICC hawana adabu. Kwanza wangewakamata rais wa zamani wa marekani bush na waziri mkuu wa zamani wa uingereza blair kwa uharamia wao huko iraq syria na kwingine duniani. Kama ni marais kushitakiwa marais wa marekani na mawaziri wakuu wa uingereza ndio wangesongamana kwenye mahakama hiyo kujibu mashitaka.Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin.
=====
Katika ya uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo haina maana yoyote.
View attachment 2555625
Pia, Hati ya Mahakama ya ICC imeeleza kuwa Rais Vladimir Putin aliagiza mashambulizi yaliyosababisha Watoto kuhamishwa kinyume cha Sheria pamoja na uhamisho usio halali wa Raia kutoka eneo la Ukraine na kuingia Nchini Urusi.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi Maria Zakharova amema "Maamuzi ya ICC hayana maana kwasababu Urusi haiko kwenye Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, hivyo haiwajibiki chini yake."