Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
Ndo maana nasema hawamuwezi hata kidogoPutin ni kidagaa pia ?...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana nasema hawamuwezi hata kidogoPutin ni kidagaa pia ?...
US na Russia wote sio wanachama wa ICC.Wameshindwa vita wanakimbilia mahakamani,kipigo kipo pale pale.ICC ni branch ya US
Boss, Mambo mengine bora kutokuhusisha MUNGU. Sasa ikitokea akakamatwa aliyemkamata ndo mungu wako? Maana ushasema ni mungu tu ndiye anayeweza. Usiweke imani kwa binadamu. Putin ni binadamu, walinzi wake ni binadamu.Hakuna dunia hii anayeweza Kumkamata Putin usipokuwa Mungu Tu.
Mkuu hilo lisikupe shida - Usihofu. Wewe subiri tu kwa muda utaona kama ulivyoshuhudia wababe kama Saddam Hussein na wenzake kina Osama n.k. watu wa aina hiyo walivyoshughulikiwa.Nan atamfunga paka kengele
Putin kwa sasa atajilinda mno asipoteze madaraka, maana ndio njia pekee ya kujihakikishia usalama wake.Boss, Mambo mengine bora kutokuhusisha MUNGU. Sasa ikitokea akakamatwa aliyemkamata ndo mungu wako? Maana ushasema ni mungu tu ndiye anayeweza. Usiweke imani kwa binadamu. Putin ni binadamu, walinzi wake ni binadamu. Kumkamata Putin ni jambo gumu linalowezekana. Watu wake tu wakimsaliti ugumu wa kumkamata unapungua.
Hahaahahaaaa,Moscow wameiita hiyo warrant ", meaningless"!Vita part two wanawapa mwanya magenerali wa kirusi kupindua Russia kwa kumkamata kuwa wasipate shida wakimpindua kuwa wampeleke wapi ni the Hague
Hadi hilo tamko kutolewa ina maana assessment ya vita inaonyesha mwelekeo mzuri wa Putin kuchokwa ndani ya Russia kwenye inner circle za chama tawala na jeshi
Urusi sio mwanachama wa ICC,so hiyo warrant ni symbolic tu!Hahaha urusi kashaanza mchakato wa kujitoa kwenye hiyo mahakama uchwara.
Sahihi. Kuwa nje ya hicho kiti si salama sana kwake iwapo hii habari ni sahihi.Putin kwa sasa atajilinda mno asipoteze madaraka, maana ndio njia pekee ya kujihakikishia usalama wake.
Wewe mwenyewe unajua hakuna wa Kumkamata Putin ni Kama Rais WA marekani hakuna wa Kumkamata.Team Russia mtapiga makelele na mayowe sana lakini ndo imetoka hiyo.
Halafu mjue, hiyo huwaga haina cha kukata Rufaa. Kama mnampenda huyo njemba wenu kamchukueni mmpeleke kwenu Rau madukani.
Uchaguzi mkuu Russia ni mwakani March 2024Hakuna wa kumkamata.
Labda Putin wa chato.Naziona siku za Putin zikihesabika kwa kasi
Kwa hiyo ukraine alipo shambulia daraja nao sio uhalifu? Mbona yeye hajatajwa na ICC?Putin ni muuaji, aende akajibu mashtaka ICC.
Kwa makusudi kabisa anapiga miundo mbinu ya kiraia ya umeme na maji. Huo ni uhalifu dhidi ya binadamu
Nakazia: Putin anao maadui wengi 1.Ndani ya Urusi, 2. Nje ya Urusi(kimataifa) na 3. Hata mazingira yake nayo kwa sasa sio salama kwake.Boss, Mambo mengine bora kutokuhusisha MUNGU. Sasa ikitokea akakamatwa aliyemkamata ndo mungu wako? Maana ushasema ni mungu tu ndiye anayeweza. Usiweke imani kwa binadamu. Putin ni binadamu, walinzi wake ni binadamu. Kumkamata Putin ni jambo gumu linalowezekana. Watu wake tu wakimsaliti ugumu wa kumkamata unapungua.
Asilimia 90 ya warusi wanamuunga mkono Putin ebu tumia Akili hata kidogo.Uchaguzi mkuu Russia ni mwakani March 2024
The Hague hawajawahi kamata mtu wananchi na wanajeshi ndio hukamata na kupeleka the Hague
Warusi wenyewe watamkamata na kumpeleka wamechoka vita
Atashikwa kama kuku wa mdondo watu wachukue nafasi yake March 2024 uchaguzi mkuu
Imefanywa calculation kuwa Putin atqjidai ohh hakuna uchaguzi sababu nchi iko vitqni hivyo niendelee!!!
Tamko la mahakama limetolewa at the right time Putin analo
Kwa hiyo wewe ndo unajua hilo? Mbona Urusi wanasema wao sio member wa hiyo mahakama uchwara?US na Russia wote sio wanachama wa ICC.
Wewe unazijua procedures za ICC?Kwa hiyo ukraine alipo shambulia daraja nao sio uhalifu? Mbona yeye hajatajwa na ICC?
Mbona akina obama, bush hawajafunguliwa kesi? Au uhalifu wa libya na iraq sio uhalifu?Mkuu hilo lisikupe shida - Usihofu. Wewe subiri tu kwa muda utaona kama ulivyoshuhudia wababe kama Saddam Hussein na wenzake kina Osama n.k. watu wa aina hiyo walivyoshughulikiwa.
Ingekuwa ni huku kijijini kwetu, unaweza kumbonda na rungu halafu ukishtakiwa unajitetea "Nilikuwa nataka asiweze kukimbia ili akamatwe na sungusungu" na kesi yako inakwisha.
Narudia Tu anayeweza Kumkamata Putin ni Mungu tu.hawawezi kumkata isipokuwa Kwa idhini ya Mungu Tu.Boss, Mambo mengine bora kutokuhusisha MUNGU. Sasa ikitokea akakamatwa aliyemkamata ndo mungu wako? Maana ushasema ni mungu tu ndiye anayeweza. Usiweke imani kwa binadamu. Putin ni binadamu, walinzi wake ni binadamu. Kumkamata Putin ni jambo gumu linalowezekana. Watu wake tu wakimsaliti ugumu wa kumkamata unapungua.