Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Putin kwa sasa atajilinda mno asipoteze madaraka, maana ndio njia pekee ya kujihakikishia usalama wake.
Hata Putin sasa hivi akiamuwa kwenda Marekani kuudhuria kikao cha umoja wa mataifa hakuna atakaye thubutu kumkamata kama walimshindwa Albashir wa Sudan pamoja na kutembelea mataifa kibao ndo waje wamkamate Putin.
 
Waanze na Netanyahu na bush.ndio wengine wafuatie zaidi ya hpo itakuwa ni unafiki as usual.
 
Chekeleeni Urusi kupotezwa kwenye ramani ila mjue mnafuata nyie na madini na magesi yenu 😀😀😀!

Watawafeerah ili kuisambaza NWO.
 
Hayo Makaratasi yakatumiwe wapi?
 

Hivi guts za kujadili vitu sensitive kwa hizo akili zenu za kukariri pamplets na vitini huko mashuleni, huwa mnazitoa wapi?

Acheni kujadili vitu based on movies za kimarekani mnzoangalia magettoni kwenu huko, mambo sio marahisi kiasi hicho.
 
Lini Marekani au Ukraine ilitawala Africa wewe Mrusi fake??
 
Watu kutotaka vita haimaanishi kwamba hawaelewi kwanini ile vita ipo? 🤣 Mapendekezo ya Putin yako very clear kuwa hataki expansionism ya kijeshi ya NATO kumsogelea na Ukraine ndio kibaraka wa NATO.
 
Hiyo mahakama haina meno na hiyo warant imetolewa kuiridhisha tu Ukraine lakini kiufupi ni ngumu kutekerezeka hata nchi za Magharibi zina jua.

Hata ikitokea akapinduliwa watakao mpindua hawawezi kumpeleka kwenye hiyo mahakama.
 
Hahahahah kwamba US ana kinga y ICC ila Urusi yeye hana anatakiwa ashtakiwe. Nimekaa pale, kumkamata Putin ndio itakuwa mwisho wa dunia 😀😀😀 maana kitakachofata ni NUKES tu kurindima kila kona ya Marekani.
Mkuu mbona sijasema kwamba US ana kinga ya ICC?

Aisee; Wakimkomalia watamkamata au kumuua kama yule jamaa wa mapangoni kule Somalia.
Hoja ya NUKES haipo. Ni kama kuwasha moto nyumba na wewe ukiwa ndani ya hiyo nyumba. Huo ni Ukichaa na Haitakubalika. Kumbuka Putin haendi vitani.Yeye ni mtoa Amri au OK tu ila watekelezaji ni wengine.

Sasa hapo ni Nani akafyatue/bonyeze button ya OK ilhali anajua matokeo yake yatamhusu hata yeye na familia yake? Kabla ya kuzifikia NEKES zake watakuwa wamemlamba kichwa fasta.
 

Ama kweli series za kimarekani zimekuharibu😂.
 
Watu kutotaka vita haimaanishi kwamba hawaelewi kwanini ile vita ipo? 🤣 Mapendekezo ya Putin yako very clear kuwa hataki expansionism ya kijeshi ya NATO kumsogelea na Ukraine ndio kibaraka wa NATO.
Na kiburi Cha Ukraine kutaka kuwepo na military Base ya US pale wakati miaka ya 1960's USSR walitaka kuweka military Base Cuba,US akapiga kelele nyingi sana kama mbwa koko
 
Lakini ww si ulituambia hamalizi miezi 6 atakuwa ameshapunduliwa na kuuawa?
Na mpaka ukatuletea na uzi kutuambia kuwa putin yuko hoi anakaribia kufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…