Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Huo ni ubashiri wako!Eti Zele awe na amani kuliko Putin?Kwasasa inawezekana hakuna kiongozi wa ngazi ya juu duniani anayeishi kwa mashaka makubwa kumzidi mzee Putin.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni ubashiri wako!Eti Zele awe na amani kuliko Putin?Kwasasa inawezekana hakuna kiongozi wa ngazi ya juu duniani anayeishi kwa mashaka makubwa kumzidi mzee Putin.
Ataendaje wakati amrwekewa vikwazo vya kusafiri ulayaAende au waende kumkamata?Ningekuwa Putin ningeenda Ziara nchini Uholanzi!
Ila Bush ni USA ndio maana hajadakwa!Saddam Hussein hakuwa Iraq ndio maana alidakwa,Ghadafi hakuwa libya ndio maana alidakwa na Putin sio Russia ndio maana atadakwa
Wanamlia timing tu kama BashirHakuna WW3 unafikiri Putin atakubali akamatwe na kudhalilishwa kama Sadam Hussein au Gadafi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Kita happen.
Ndio maana nimesema ningekuwa Putin,ningeenda Uholanzi!Ataendaje wakati amrwekewa vikwazo vya kusafiri ulaya
Endelea kusubiri Hilo kutokea Kwa Putin kama ambavyo tunaendelea na maisha tukisubiri ujio wa Yesu kuchukua walio wake!Hata Omar Al-Bashir wa Sudan alisema hivyo kwa mbwembwe akasafiri hadi South Africa ambalo ni taifa mwanachama wa ICC ila waliomkamata wakampeleka ICC ni Wa Sudan wenzake majenerali wa jeshi!
Sio kiuoga kabla hiyo hati Putin alikuwa akisafiri kwenda nje ya nchi kwenye baadhi ya nchi vita ikiendelea mfano alienda Iran kuhudhuria mkutanoICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin. Yaani utadhani hiyo hawajui alipo huyo mtuhumiwa...😜 na hiyo hati mbona umekaa kiuwoga sana...🙄
Makombora automatic ya kutungulia ndege ambazo mamlaka ya anga la ulaya hayajaruhusu unafikiri yataiacha salamaNdio maana nimesema ningekuwa Putin,ningeenda Uholanzi!
Kwani si nanyenyuka na ndege ya Rais na ulinzi juu halafu naingia kwenye airspace ya EU,mnitungue!
Kwanza EU watahisi ni mtego😀
Ongezea...Lini George W. Bush atakamatwa ?
Lini Baraka Obama atakamatwa?
Lini Tommy Blair atakamatwa?
Waache unafiki.
....naweza kuungana na ICC... kwani wapo 'walee' watoto wa Kimasai ambao watahitaji watendewe haki.Genocide is Genocide.Watoto kuhamishwa kinyume cha Sheria
Ujinga kweli mzigo. Rais gani alikamatiwa nchini make. Uko utaratibu wa kukamatwa, na si leo wala keshoTunasubir mwanaume wa kuingia Russia na kumkamata. Kutoa tamko sio shida.
Inazungumzaga vitu gani lakini, haya twambie ICC iliwahi kuwafanya nini Wakenya wenzako akina Ruto na Kenyatta walio kuwa wanashtakiwa the Hague for war crimes - je, kesi iliyeyuka vipi mbona wanadunda mpaka sasa!!Huyo ameshakua cornered, anataka afe na Warusi wengi maana wanapukutika, sijui mtahamia kuabudu nani mwingine.
Unaandika kama mnajifungiaga huko chumbani pamoja hadi chakula anachotumia mkiwa chumbani unakijua!Sio kiuoga kabla hiyo hati Putin alikuwa akisafiri kwenda nje ya nchi kwenye baadhi ya nchi vita ikiendelea mfano alienda Iran kuhudhuria mkutano
Baada ya tamko la mahakama ya ICC kutolewa atakuwa anashinda kajifungia ndani kama Mwali akiogopa kusafiri kuwa aweza dakwa popote ndani ya Russia na nje
Hakuna mtu mwoga kama Putin
Toka vita ianze hajawahi hata siku moja kwenda msitari wa.mbele kutembelea wanajeshi wake walioko vitani .Amiri jeshi gani muoga hivyo.Anaogopa waweza mla kichwa wanajeshi waliochoka vita ambayo haina kichwa wala miguu.Sababu vita ambayo wanajeshi huwa na more ni ile nchi yao ikivamiwa kivita lakini warusi wanaambiwa kavamieni kibita Ukraine wakati Ukraine hajawahi rusha hata jiwe kurushia Askari wa urusi
Raisi Zelensnkyy wa Ukraine mara kwa mara hutembelea wanajeshi wake vitani kuwatia moyo
Putin anawaambia nendeni mkapigane anajifunhia Kremlin Moscow ikulu.akiketewa chakula na pombe ya vodka room service chumbani akifuatilia vita kwenye TV kama sisi
Shughuli hii hakuna wa kuimaliza mbali na putin mwenyewHii shughuli karibia inafika mwisho.
Mbwa kala Mbwa.
Lini bashir kapelekwa ICC?Hata Omar Al-Bashir wa Sudan alisema hivyo kwa mbwembwe akasafiri hadi South Africa ambalo ni taifa mwanachama wa ICC ila waliomkamata wakampeleka ICC ni Wa Sudan wenzake majenerali wa jeshi!
Kama iko mbali wanatuma ndege vita na ndo maana Moro kuna Uwanja mkubwa tu pale NgerengereMakombora automatic ya kutungulia ndege ambazo mamlaka ya anga la ulaya hayajaruhusu unafikiri yataiacha salama
Huwezi rusha ndege hata kuingia anga la Tanzania bila kuruhusiwa na mamlaka ya anga ya Tanzania. Kikosi cha Jeshi la anga cha JWTZ wataitungua mara moja kwa Makombora
Story zinasema ameepuka assassination attempts mara ngapi hivi!OK; Sasa ni zamu ya Putin kusurrender au kukimbilia Uhamishoni kama alivyomtishia Zele eti nakupa 72 hrs. utekelezaji ufanyike chap. na mavifaru yake yenye nembo ya Z mlolongo km 64. Sasa kibao kimegeuka kwani atawindwa na wabobezi wa kimataifa(Interpol) mataifa 194. Kazi anayo.
Hata huyo Putin hawana cha kumfanya wametoa tamko ambalo hawawezi tekeleza kama lile walilotoa kwa marekan so no big deal.Kwahiyo tukubaliane Marekani anaogopeka kuliko Urusi ambayo imechukuliwa kama nchi masikini?