Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

Dalili za mwisho wa nyakati,mwenye ufahamu na aelewe
 
nchi 124 nchi wanachama, sasa kama huamini mwambie Netanyahu aende pale South Africa aone

Kama hao South Africa walishindwa kumkamata Putin ndo watamueza huyo baba.

Are you living under a rock?
 
Likamatwe tu Nyau likasukumiwe nao huko huko korokoroni
Naogopa tu usije kuwa mkwara utakaoishi kwenye mic na makaratasi ya UN, huku Yahudi akizidi kushusha shehena ya mabomu kwa malipizi ya October 7.
 
Yule Gallant ile sura yake watoto huwa wakimuona wanakimbia jinsi alivyo na sura mbaya mpk roho kile kibabu
 
Huyo karim khan ni vibaraka wake wanachuki dhidi ya wayahudi

Ndivyo alivyokuambia ? Kumbe naongea na kilaza na mvivu kwani huna hata nia ya kujifunza namna mahakama hiyo inavyofanya kazi
Ulitaka hiyo mahakama iongozwe na shoga la kiyahudi?
 
Netanyahu alivyo kungunguru zaidi ya Marekani hawezi kwenda popote🤣
 
Wamekukosea nini mkuu mpaka wanyongwe?

Au unaongea kwa niaba ya Hamas?
Magaidi, wewe huoni wanalivyofanya mauaji ya watoto zaidi ya 15.000 huko Gaza au watoto wa Gaza nao ni Hamas wanatakiwa kuuliwa.
 
Bishara yule gaidi na bado anaishi kwa makafiri UK

USSR
BREAKING: Slovenia and Cyprus acknowledge ICC arrest warrants for Netanyahu and Gallant!

Slovenia will respect arrest warrants issued by the International Criminal Court (ICC) and "will fully comply".

Cyprus looking at ICC arrest warrants, says its decisions are binding
 
Mahakama imekaa kimchongo. Mwendesha mashtaka mkuu wa hiyo mahakama uchwara ni Karim Khan unategemea atende haki kwa myahudi?!
Mbona hata UN ilipiga kura kucondemn Israel au nayo ipo chini ya Muislam Mr Guttierez?
 
Sijui.

Hata hivyo, Putin huwaga haendi huko. Kwanza aende akatafute nini?

Kama sijakosea, mara ya mwisho kwenda huko ilikuwa 2003 au 2004.

Putin kukanyaga UK ni sawa na Kim Jong Un kukanyaga US.
Ndio maana nasema akanyage ndio tuone kama hatokamatwa, mbona its simple tu. Huyo Netanyahu aliambiwa akikanyaga Ufaransa atakamatwa, sasa aende ili tujue mbivu na mbichi!!
 
Our enemies are your enemies, and our victory will be your victory
This man is insane, nasubiri siku uwaziri mkuu wake ufike mwisho aende mahakamani kumalizia kesi yake ya ufisadi na rushwa. Anatumia vita kutafuta huruma wakati ni fisadi anajifanya mtenda haki.......

Uzuri maisha sio milele, kuua watu kubaki madarakani wakati hata miaka 100 hatuwezi fika ni ujinga kabisa.
 
Bibi ni netanyau
 
Ndio maana nasema akanyage ndio tuone kama hatokamatwa, mbona its simple tu. Huyo Netanyahu aliambiwa akikanyaga Ufaransa atakamatwa, sasa aende ili tujue mbivu na mbichi!!
Aende kufanya nini huko Ufaransa? Kuthibitisha kwamba hawezi kukamatwa, au?

Mentality ya kitoto sana hiyo 🤣.

Kwa kutumia mantiki yako, kwa nini ICC isiende kumkamata alipo?

Kila mtu anajua Netanyahu yuko wapi. ICC iende basi ikamkamate.
 
Netanyahu alivyo kungunguru zaidi ya Marekani hawezi kwenda popote🤣
Si waende wakamkamate alipo…

Kwa nini wasubiri mpaka aende kwingine ndo wamkamate?

Wanamuogopa kwani?

Wewe ukiwa unatafutwa na polisi halafu hao polisi wajue ulipo, watakusubiri hadi utoke nje ndo wakukamate?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…