Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Mimi sio shabiki sana wa matusi bro; napenda mijadara ya kistaatabu. Mwenye matusi au kudhalilisha watu huaga najizuia sana kujibu.Sasa kama hawana uwezo ni toothless, akanyage hizo nchi wanachama otherwise ataishia marekani tu na kurudi kwa wasennge wenzake