Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

Dharau na kejeli kwa watu wanaopingana na wewe pamoja na wenzio tumezizoea na hazifichi ukweli kwamba Myahudi is not done na magaidi kabisa.
It is either mtambue haki ya Mayahudi kuishi au mfe.
Wa kumlaumu ni yule mzee aliyewadanganya kwamba alikwenda mbinguni na punda!
tatizo unamuona myahudi kama mungu wako ndio mnapofeli hapo, myahudi hatotambuliwa na hataishi kwa amani maisha yake yote kama unavyoona kila siku anahangaika tu na kuishi kama digi digi
 
Gallant na Netanyahu na wa kumkamata? Labda kamanda wa hamas ndiyo wa kukamatwa
 
Ndio maana warrant pia imetolewa kwa kiongozi wa Hamas akamatwe au ambacho hujaelewa ni nini?
Mahakama imekaa kimchongo. Mwendesha mashtaka mkuu wa hiyo mahakama uchwara ni Karim Khan unategemea atende haki kwa myahudi?!
 
Nani Sasa Anatakiwa Amkamate Kwa Mujibu Wa Hati Hiyo Ya Mashtaka??
 
Wakuu,

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, na waziri wa zamani wa ulinzi, Yoav Gallant, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita.

Uamuzi huu unamaanisha kwamba nchi 124 wanachama wa ICC zinapaswa kuwakamata Netanyahu na Gallant watakapokanyaga katika maeneo yao.

Soma pia: Pamoja na “Arrest Warrant” ya Mahakama ya ICC, Putin atua Mongolia kibabe

Mahakama hiyo pia ilidai kuwa walikusudia na walijua kwamba Netanyahu na Gallav waliwanyima raia wa Gaza chakula, maji, dawa, vifaa vya matibabu, mafuta, na umeme kwa makusudi.

Netanyahu alikataa madai hayo akiyaita “ya kipuuzi na ya uwongo” na akasema ni “upotoshaji.”

Israel pia imepinga mamlaka ya ICC kwa kusema kuwa nchi nyingine za kidemokrasia hazijawahi kutendewa kwa njia ya upendeleo mbaya kama hiyo, huku ikisisitiza kwamba inaheshimu utawala wa sheria.

Aidha, ICC pia imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa Hamas, Mohammed Deif, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita.

Hata hivyo, Israel ilidai Agosti kwamba ilimuua Deif katika shambulio la anga lililofanyika Gaza mwezi mmoja kabla.
Mwaka jana Mahakama hiyo ilitangaza Putin akamatwe. Mpaka kesho Putin anatamba tu.
 
Mahakama imekaa kimchongo. Mwendesha mashtaka mkuu wa hiyo mahakama uchwara ni Karim Khan unategemea atende haki kwa myahudi?!

Kumbe wewe ni kilaza , hata huelewi mahakama inavyoendeshwa , Ulitaka pale liwekwe senge la kiyahudi??

Wacha Bibi yako ajifiche mapangoni na kujiwekea bullet proof mpaka makalioni
 
Kwa kosa gani?! Kulinda nchi yake dhidi ya kitisho dhidi ya ugaidi?

Kasikilize mahakama inavyosema usijifanye kipofu na kiziwi

Nasikia ameanza kupata mharo bila kupewa haki yake ya siku zote
 
Sasa mchungaji yesu si aliwaambia mtu akikupiga Kofi shavu la kushoto
We mgeuzie na lakulia ,,
Mbona hamfati maandiko ya kitabu chenu .,
Wayahudi ni watu wa agano la kale sheikh... wale wanafuata huu msemo "an eye for an eye"
 
Wayahudi ni watu wa agano la kale sheikh... wale wanafuata huu msemo "an eye for an eye"

The verses about the Jews from their birth were called liars are in the following thread:

Isaiah 48:1-8 (KJ21)

1 "Hear ye this, O house of Jacob, which are called by the name of Israel.....
......

8 . Yea, thou heardest not; yea, thou knewest not,

yea, from that time that thine ear was not opened; for

I knew that thou wouldest deal very treacherously

and wast called a transgressor from the womb. (other translations below say birth)
 
Okay sawa.

Lakini Israel kwenye suala hili ilianza kuchokozwa.
Endapo kama mashambulizi kwa Waisraeli ya 7 Oktoba, 2023 yasingefanyika naamini kwa dhati kabisa balaa hilo kwa Wapalestina lisingetokea
Yani unaangalia mgogoro huu tokea October 7? Tukisema tuchukue idadi nzima ya vifo si kila mwaka Israel inaua wapalestina zaidi ya 1000!
 
Okay sawa.

Lakini Israel kwenye suala hili ilianza kuchokozwa.
Endapo kama mashambulizi kwa Waisraeli ya 7 Oktoba, 2023 yasingefanyika naamini kwa dhati kabisa balaa hilo kwa Wapalestina lisingetokea
Ivi wewe unaongea na kuandika ukiwa duniani gani? Hamas hawakukurupuka tu hiyo October 7, Israel walikuwa wanawanyanyasa na kuwapiga risasi waislam wa palestine miaka nenda miaka rudi pale West bank eneo la palestine, Masjid Al Aqsa waislam wakipigwa ndani ya Ibada na kuuliwa lakini pia walikuwa hawana uhuru waislam kuingia katika nyumba hii ya historia ya Ibada kufanya shughuli za kiibada.

Walichofanya Hamas ni kujitoa muhanga liwalo na liwe lakini wamechoka maonevu na udhalilishaji kutoka kwa mazayuni na mayahudi. usidandie gari kwa mbele
 
Yaani huyu Bibi asije hapa bongo ...namkamata na kumpeleka ubalozi wa Irani ,.
Bibi gani tena, ICC ni taasisi sio bibi, jifunze mikataba na sheria za kimataifa, ni wao nchi wanachama waliungana kwa pamoja na kuanzisha hiyo mahakama ili kuchunga nidhamu kwa madikteta duniani wasijione wana nguvu na kuanza kuua raia wasio na hatia kama kuku
 
Yule mwasheria muislamu wa ICC atakutana na jambo soon

USSR
Mwanasheria muislamu vipi tena, mbona kichwani kwako ni kweupe kiasi hicho, ICC ni taasisi, jifunze mikataba na sheria za kimataifa, ni wao nchi wanachama waliungana kwa pamoja na kuanzisha hiyo mahakama ili kuchunga nidhamu kwa madikteta duniani wasijione wana nguvu na kuanza kuua raia wasio na hatia kama kuku
 
ICC is a toothless Lion; hawana jeuri ya kumkamata Netanyahu (Bibi) kama ambavyo hawana uwezo wa kumkamata Putin
Sasa kama hawana uwezo ni toothless, akanyage hizo nchi wanachama otherwise ataishia marekani tu na kurudi kwa wasennge wenzake
 
Ivi wewe unaongea na kuandika ukiwa duniani gani? Hamas hawakukurupuka tu hiyo October 7, Israel walikuwa wanawanyanyasa na kuwapiga risasi waislam wa palestine miaka nenda miaka rudi pale West bank eneo la palestine, Masjid Al Aqsa waislam wakipigwa ndani ya Ibada na kuuliwa lakini pia walikuwa hawana uhuru waislam kuingia katika nyumba hii ya historia ya Ibada kufanya shughuli za kiibada.

Walichofanya Hamas ni kujitoa muhanga liwalo na liwe lakini wamechoka maonevu na udhalilishaji kutoka kwa mazayuni na mayahudi. usidandie gari kwa mbele
FYI: Ugomvi uliopo kati ya Israel na Palestina/HAMAS siyo Mgogoro wa Kidini, bali ni Mgogoro wa Ardhi.

Anyway, kabla ya Uvamizi wa Hamas wa tarehe 7 Oktoba, 2023 Watu wengi Sana kutoka Palestina kila siku walikuwa wanaruhusiwa kuvuka mpaka na kwenda Israel ili kuweza kufanya kazi huko kwa ajili ya kujipatia vipato vyao vya kuendesha maisha.
 
Kumbe wewe ni kilaza , hata huelewi mahakama inavyoendeshwa , Ulitaka pale liwekwe senge la kiyahudi??

Wacha Bibi yako ajifiche mapangoni na kujiwekea bullet proof mpaka makalioni
Huyo karim khan ni vibaraka wake wanachuki dhidi ya wayahudi
 
Mahakama ya kipuuzi. Huwezi kutoa hati ya mashtaka kwa kiongozi aliengoza kwa mafanikio makubwa operation tokomeza ugaidi.
Kumbuka hamas ndio walianza ugaidi Oct 7
Sijui ni kwanini unatetea mayahudi, wakiristo wameuliwa pia kinyama na makanisa kupigwa moto, mayahudi si wakiristo ni wa Judaysim, Hamas hawakukurupuka tu hiyo October 7, Israel walikuwa wanawanyanyasa na kuwapiga risasi waislam wa palestine miaka nenda miaka rudi pale West bank eneo la palestine, Masjid Al Aqsa waislam wakipigwa ndani ya Ibada na kuuliwa lakini pia walikuwa hawana uhuru waislam kuingia katika nyumba hii ya historia ya Ibada kufanya shughuli za kiibada.

Walichofanya Hamas ni kujitoa muhanga liwalo na liwe lakini wamechoka maonevu na udhalilishaji kutoka kwa mazayuni na mayahudi. usidandie gari kwa mbele.

Labda uniambie wakiristo ndio magaidi No.1
 
Back
Top Bottom