Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Matako kweli ww .kwahiyo sheria inasema waandamanaji wapigwe risasi za moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hukumu tayari wajiandae kufungwa, wakisamehewa faini mamilioni.
 
Unapowahi kutoa uzi kama huu na huna update ni haraka zisizo na maaana
 
Mkurugenzi angeapisha mawakala kama sheria inavyomtaka maandamano ya kwenda ofsi za jiji yangetoka wapi?
Haki hudaiwa na sio kuombwa
kuna njia za kudai haki siyo kipumbavu namnahiyo ndo watajuta sasa
 
Kwaiyo unafurahia ishu za kisengerema zinazofanywa na serikali?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakijanuka huko jamaniπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…