Nshonzi
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 3,057
- 1,882
Inasikitisha sana ila mungu ni Hakimu wa muda wote
In God we Trust
Wanaoenda kusomewa hukumu ni wahanga waukatili kama Akwilina (R.I.P).
Familia ya marehemu sijui wanajisikiaje kuona aliyemdhulumu uhai binti yao si miongoni mwa watakao hukumiwa! Walioagiza matumizi ya risasi ndio wasimamizi wa hukumu!!!
In God we Trust