Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Wapiga deals, madawa ya kulevya, vyeti feki, wafanyakazi hewa, vibaraka wa mabeberu, wakwepa kodi, n.k. Mnapata tabu saaana!
Mnateka watu, mnanyima watoto wa kike kusoma,mnaua watu maiti zinaokotwa fukweni, mnapiga risasi watetea haki, mnanyima vyama vya siasa kufanya mikutano na wananchi wao,mnaua uchumi,mnakiri corona ikija hamna la kufanya,mnatumia sheria ya kuhujumu uchumi kuzuia msikosolewe,e.t.c kwa kutumia chaka la wapiga dili![emoji12][emoji12][emoji12]
 
Mimi baada ya yale maamuzi ya cuf kutoka na kumkabidhi Chama Lipumba najua chochote kinaweza kutokea.
 
Tulia ikuingie vizuri! Acha kulialia kisa eti mshono!
 
Kujaa mahakamani ni kosa kubwa wao waende wanakoishi mahakimu na polisi maana sio lazima kisasi alipwe anayetenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…