Kesi hii ni miongoni mwa kesi tata,ambapo ofisi ya mwendesha mashitaka DPP inaonekana kupwaya kubariki maelekezo ya kisiasa na kuharibu umoja na ustawi wa taifa letu.Haki itendeke, walioua mwanafunzi kizembe mbona hawajaitwa pia! Kwamba risasi ilipigwa na watu wa Chadema? [emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
"hupi"?[emoji23][emoji23][emoji23]Ungeanza kujikomboa kwa kujifunza Kiswahili ingefaa zaidi.
Wahutu hawa lazima wamsifie mhutu mwenzao. Kiswahili wote hawajui."hupi"?[emoji23][emoji23][emoji23]
😄😄😄😄😄😄Mbona updates zinachelewa?Hapa niko standby kuingia barabarani!
Mkuu kwa nini unamlaumu aliyeangukiwa na mti badala ya mkata mti!Wahukumiwe tuu hakuna namana maana wanahatarisha maisha ya vijana wetu kwa kupandikiza chuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapiga deals, madawa ya kulevya, vyeti feki, wafanyakazi hewa, vibaraka wa mabeberu, wakwepa kodi, n.k. Mnapata tabu saaana!
Acha ukabila wewe.Duh.......itaharishwa nini bwashee?
Tuliza "V" yako ikuingie uisikilizie kichwani! Vibaraka wa mabeberu nyie!
Hiyo mvua itasaidia nini bwashee?!!!
Hapo ni over 3.5 mashinji NG,Halima ,matiko na Bulaya over 1.5 heche na Msingwa over 2.5 alafu mnyika na mwalimu n over 0..5hii hukumu ingewekwa kwenye sportpesa watu tubet
Kwahiyo bashite alipo kwenda clouzi alihukumiwaKwamba wanasiasa hawapaswi kushtakiwa wala kuadhibiwa wakikosea. Haki itendeka Kama hawana hatia waachiwe na kama kweli walitenda makosa hayo waadhibiwe kama Watanzania wengine wanavyoadhibiwa wakikosea!
hakuna mwenye kosa ni kuwaonea tu,,,,... persecutionKwamba wanasiasa hawapaswi kushtakiwa wala kuadhibiwa wakikosea. Haki itendeka Kama hawana hatia waachiwe na kama kweli walitenda makosa hayo waadhibiwe kama Watanzania wengine wanavyoadhibiwa wakikosea!