Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema ambao hawana kazi za kufanyaNi tukio la kihistoria.
Wapiga kura kutoka majimbo ya Iringa mjini, Tarime mjini, Tarime vijijini, Bunda, Hai, Kawe na Kibamba bila kujali itikadi " watajikuta" wamekutana katika mahakama ya kisutu kusikiliza hukumu za wabunge wao.
Tunamwomba mwenyezi Mungu haki ikatendeke mahakamani pale.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu Mimi ni mwananchi wa kawaida na kuanzia 2015 niliachana na huu upuuzi unaitwa siasa. Na humu ndani nakuja just for funny and every thing I write here is just for funny. Nyie mliowekeza huko kwenye siasa endeleni kupambana!Kabla ya yote we ni chama gani kwanza
Yametimia tayari , ilikuwepo hoja kumfukuza Membe? Mzee Mangula sumu!?Na hii ni hatari kwa nchi, maana kiongozi anayebariki na kuongoza vitendo halifu dhidi ya upinzani akimaliza wapinzani atawageukia wenzake ndani ya serikali yake na chama chake cha CCM Mpya. Hakika nchi imefika pabaya. The one who rules without consent away, will do the same at home.
nini brother,nipo hapa sina raha kabisaUtukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
CNDD-FDD huyo. Sio Mtanzania.Kabla ya yote we ni chama gani kwanza
Barbara za nyuma ya keyboards sio?Tupo tayari kuingia kwa barabara
Thank you God if that is soAll is well
None is going to jail!
Mangula haamini macho yake !NGOJA WAJE NZI WA KIJANI WALIOMDHURU MAKAMU MWENYEKITI KWENYE CHAKULA.
Bahati Yake!Mangula haamini macho yake !
ondoa shakanini brother,nipo hapa sina raha kabisa
Huwezi kunielewa kwakuwa wewe ni mbumbumbu kwenye eneo hilo na akiri yako hutaki kuicha huru na kuifikirisha ikiwa katika huru. You just a die hard man, umewekeza kwenye siasa so, komaa huko ndipo ilipo kura yako, you have the right.Wewe sio Mtanzania bana hamna mzalendo mwenye akili kama zako. Rudi Rwanda maana Meko tutamfurumusha siku sio nyingi mrudi kwenu.
Kama unaweza ku turn blind eye kwa yanayoendelea, i doubt your sanity man. No man, i rest my case here man.
Kule DW wanaita Sien dedee efu dedeeCNDD-FDD huyo. Sio Mtanzania.
hapana, ila nataka kujua kinachendelea, kama wameshahukumiwa au wameachiwa huru, maana naaona kimya tuHaaaaa unataka wafungwe??!¡
sogea nawewe viunga vya mahakama
Bado mkuu , sumu hizi kupona ni nadra sana !Bahati Yake!