Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Sema ambao hawana kazi za kufanya
 
Kabla ya yote we ni chama gani kwanza
Mkuu Mimi ni mwananchi wa kawaida na kuanzia 2015 niliachana na huu upuuzi unaitwa siasa. Na humu ndani nakuja just for funny and every thing I write here is just for funny. Nyie mliowekeza huko kwenye siasa endeleni kupambana!
 
Yametimia tayari , ilikuwepo hoja kumfukuza Membe? Mzee Mangula sumu!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema walipanga kwenda kufanya fujo mahakamani ili hukumu isisomwe, la vijana wengi waliowaleta toka Arusha, Kilimanjaro, Iringa na Mbeya wameogopa ulinzi wa Jeshi la Police uliowekwa toka asubuhi hivyo wameshindwa kujitokeza kufanya kazi waliyotumwa isipokuwa wachache waliofika kushuhudia na kuleta vurumai za hapa na pale na Jeshi letu la Polisi.

HUKUMU INAENDELEA KUSOMWA...

VUTA SUBIRA, NITAKUTONYA...
 
Hapa ndipo tunapo aminishwa uchaguzi huru na wa haki?! Kama hata mahakamani haturuhusiwi kuingia mahali panapotolewa haki. Je kwenye chumba cha kura kinacho amua maisha ya mwana siasa??
 
Kwenye mlima wa manyanyaso na mateso kuna jiwe la matumaini!!, tusikate tamaa kwenye kuipigania demokrasia na utawala bora!!! Mawe ya matumaini yapo!!!
 
Wewe sio Mtanzania bana hamna mzalendo mwenye akili kama zako. Rudi Rwanda maana Meko tutamfurumusha siku sio nyingi mrudi kwenu.

Kama unaweza ku turn blind eye kwa yanayoendelea, i doubt your sanity man. No man, i rest my case here man.
Huwezi kunielewa kwakuwa wewe ni mbumbumbu kwenye eneo hilo na akiri yako hutaki kuicha huru na kuifikirisha ikiwa katika huru. You just a die hard man, umewekeza kwenye siasa so, komaa huko ndipo ilipo kura yako, you have the right.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…