Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mungu nakushukuru sababu sina ndugu polisi. Sijui kama ningeweza hata kumsalimia
 
Mwandishi ukiwa kada wa CCM tayari umeijua hukumu iliyokufanya uandike Chadema yaangukia pua mahakamani.
 
Leo kwenda kulala kitanda na Mamtei itakuwa nadra leo ni segera na nyapara wako Adam hizo Ndio siasa Mbowe ungekuwa unalimama nyanya kwenye shamba la mzee Aikaeli haya yasingejitokeza , siasa ni gharama Mangi. Tumia plan B kukata rufaa kama faini haitakuwepo.

Nyie watoto wa mama na mafisadi ndio mnaoogopa jela, sioni muogopa jela hapo maana ndio gharama ya kudai haki. Leo atafungwa kwa dhuluma, ila kesho atatoka huku heshima na hadhi yake ikiwa zaidi ya kabla ya kufungwa. Kama mnadhani kuwafunga ndio kuwatia woga basi mmepoteza.
 
Mkuu Mimi ni mwananchi wa kawaida na kuanzia 2015 niliachana na huu upuuzi unaitwa siasa. Na humu ndani nakuja just for funny and every thing I write here is just for funny. Nyie mliowekeza huko kwenye siasa endeleni kupambana!
Uliacha lakini unakuja for Funny?? Wewe ndio mpuuzi kuliko hata siasa yenyewe. Uliacha siasa lakini unaifatilia kupata furaha ya siasa. Kweli wokengela So akadyanyoko ubhona.
 
Leo kwenda kulala kitanda na Mamtei itakuwa nadra leo ni segera na nyapara wako Adam hizo Ndio siasa Mbowe ungekuwa unalimama nyanya kwenye shamba la mzee Aikaeli haya yasingejitokeza , siasa ni gharama Mangi. Tumia plan B kukata rufaa kama faini haitakuwepo.
Kwahiyo we shangazi unajaribu kuelezea uzoefu wako wa kuolewa kule jela kupitia kesi ya Mbowe?
 
Hafungwi mtu. Mchezo mzima dhuluma,fitina, usumbufu ,kuwapotezea muda,Tulipofikia kuna mtu anaweza kudai saa chache kabla hukumu eti kwa huruma yake alipiga simu kwa Jaji mkuu, hakimu aone busara tupunguze shinikizo tutapoteza pesa nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnashobokea Marekani wakati hamuijui vizuri Marekani! Marekani kuna jera nyingi kuliko jumla ya nyumba za kuabudia! Ukizingua tu Marekani unaswekwa jera na uruhusiwi kuajiriwa!
Aisee kumbe napoteza muda na zuzu,huu ndiyo mtaji CCM inajivunia.
 
Mshiko wa ruzuku, michango ya wahisani na wanachama anaoupata Mbowe ni hela ndefu kuliko biashara alizowahi kufanya! Mbowe yuko kibiashara nyie mnadhani ni mwanasiasa! Kwa asili yake ya uroho wa hela yuko tayari kwa lolote ili mradi anapiga mkwanja mrefu! Nyie mko hapa sijui anaonewa! Yeye kimoyomoyo anawacheka! Kalaghabao!
 
Back
Top Bottom