Pawa chilonda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 356
- 418
Kinachofuata ni kupitia baadhi ya kesi zinazofanana na kesi hiyo pamoja na kutafsiri sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mbowe na wenzake walitoa Siri za serikali ? unaelewa hii kesi inahusu nini..?Who the hell is US? Wao mbona mpaka sasa wanamsaka Michael Snowden kwa kutoa hadharani siri za serikali? Za kuambiwa ongeza na za kwako!
Kwa hiyo mkishinda huyo jiwe atakuwa mtenda haki?Hukumu ww ndio huijui, ila sisi tunajua hukumu jiwe ameshaiandika, hapo mahakamani kampa tu kada wa ccm aisome.
kwa hiyo mkishinda,huyo jiwe atakuwa mtenda haki?
Nani hawape dola hawa? bado saaana wananuka maziwa mdomoni! Hawajui lolote kuhusu nchi inaendeshwaje? Hata hivyo viongozi wao wa juu wako kibiashara na kula ruzuku! Ukitoa dau kubwa unapewa nafasi ukagombee urais
Mnashobokea Marekani wakati hamuijui vizuri Marekani! Marekani kuna jera nyingi kuliko jumla ya nyumba za kuabudia! Ukizingua tu Marekani unaswekwa jera na uruhusiwi kuajiriwa!Kwani Mbowe na wenzake walitoa Siri za serikali ? unaelewa hii kesi inahusu nini..?
Na wengine tuendelee na ndoto yetu ya kutafuta demokrasia ndani ya chama.Kutoka ukurasa rasmi wa Freeman Mbowe ame-tweet haya:
"Ni siku njema. Msiogope! Hakuna mateso yatakayozima ndoto yetu ya kutafuta demokrasia, haki na ustawi kwa wote. Tusiruhusu hofu itutawale! Niko tayari kwa lolote. Tunaendelea kumsikiliza Hakimu! This also shall pass! Alutta continua!!"
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ina maana humjui aliyesababisha akina mbowe waandamane? Umemsahau ambaye hakutomiza wajibu wake?aliyesababisha ndiye mwenye kosa kubwa bila kuandamana mbowe na genge lake mauaji yangetoka wapi
Halafu hii tabia ya kunyatia comment zangu nitakuja kukubesha mimba bure. Kuwa makini!
Vyovyote vile, Jiwe ni mwendawazimu!kwa hiyo mkishinda,huyo jiwe atakuwa mtenda haki?
Kicheko cha zuzu asie na nyuma wala mbele alieshiba ugali wa mchana na kuona kuwa ameshawin haya maisha!Mbowe mimacho inamtoka kama mjusi kabanwa na mlango, kuna AC ila jasho anatoka kaloa moyo speed kali.. [emoji23] hadi huruma, hana usemi kakubali kiulaini kuelekea kibra, chali.[emoji851]
Mnaisifia Mahakama hiyo hiyo pale ambapo wale muwapendao wanashinda kesi.Mahakama isiyokuwa huru inaweza ku serve vipi justice?
Kwahiyo kisimu chako cha Tecno mpaka kiwe kwenye umeme live wa tanesco ndo kinawaka?Hawa wapuuzi wamekata umeme kuzuia dsm sijui kuzuia spread ya information..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan yeye ndo wa kwanza kufungwa Mandela alikaa miaka 27 jelaLeo kwenda kulala kitanda na Mamtei itakuwa nadra leo ni segera na nyapara wako Adam hizo Ndio siasa Mbowe ungekuwa unalimama nyanya kwenye shamba la mzee Aikaeli haya yasingejitokeza , siasa ni gharama Mangi. Tumia plan B kukata rufaa kama faini haitakuwepo.
Kukiwasha nchi nzima it is impossible...ila mahakama itatumia busara...ni vema wasifungwe...kwani mahakama ikitumia sheria baadhi yao watafungwa...no doubt about it...busara itawale tu...