Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
HaswaaaaThe US and allies are closely monitoring this judgment
Jr[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaswaaaaThe US and allies are closely monitoring this judgment
Jr[emoji769]
Kukiwasha nchi nzima it is impossible...ila mahakama itatumia busara...ni vema wasifungwe...kwani mahakama ikitumia sheria baadhi yao watafungwa...no doubt about it...busara itawale tu...Kuna ndugu wanafurahi hawa viongozi kufungwa ala hawajui kitendo hiki inawaweza sababisha watu kukiwasha nchi nzima mambo mengine huanza hivi kama mzaa et mungu atuepushe kwa ili
We acha tu kuna watu humu wanachekeshaWho the hell is US? Wao mbona mpaka sasa wanamsaka Michael Snowden kwa kutoa hadharani siri za serikali? Za kuambiwa ongeza na za kwako!
Nilikuwa hapo lakini nimetoka kidogo kwa kazi maalumUpo mahakamani kiongozi?
Staki kukumbuka kesi ya Lema ya kipindi kile, aisee tulipata shida mbaya kabisa
Who the hell is US? Wao mbona mpaka sasa wanamsaka Michael Snowden kwa kutoa hadharani siri za serikali? Za kuambiwa ongeza na za kwako!
Liwe lisiwe lazima Mbowe ale mvua hapo wengine watapata unafuu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Who the hell is USA aliandikiwa barua wiki iliyopita kubembeleza ile milioni 500 itoke na aliahidiwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki.Who the hell is US? Wao mbona mpaka sasa wanamsaka Michael Snowden kwa kutoa hadharani siri za serikali? Za kuambiwa ongeza na za kwako!
Jaribu kutumia japo sehemu ndogo ya akili yako. Watuhumiwa ni kutoka sehemu mbalimbali za nchi, kuna ubaya gani wananchi wenye mapenzi mema toka kila sehemu wanakotoka watuhumiwa kuja kusikiliza hukumu ya ndugu zao? Una ushahidi gani kuwa watu hao waliletwa na CHADEMA?Chadema walipanga kwenda kufanya fujo mahakamani ili hukumu isisomwe, la vijana wengi waliowaleta toka Arusha, Kilimanjaro, Iringa na Mbeya wameogopa ulinzi wa Jeshi la Police uliowekwa toka asubuhi hivyo wameshindwa kujitokeza kufanya kazi waliyotumwa isipokuwa wachache waliofika kushuhudia na kuleta vurumai za hapa na pale na Jeshi letu la Polisi.
HUKUMU INAENDELEA KUSOMWA...
VUTA SUBIRA, NITAKUTONYA...
Go and look the life they are living, Politicians from both sides, halafu angalia maisha ya Watanzania waliowengi halafu rudi na comment yako boya wewe. Wangekuwa wanawapambania Watanzania wangekubali kuishi maisha ya anasa wanayoishi na familia zao wakati maisha ya Watanzania yapo taabani. Kama wewe ni one of them sawa, lakini**** off man. Unasema hufatilii siasa eti you are here just for "funny" (its "fun" by the way). This thing is beyond your "funny" stupidity man. This is for the sake of the nation man. The future generations, democracy man. Do you comprehend anything?
Hakuna Chama kitabadilisha chochote , Watanzania ni wale wale, tofauti ni hawa wapo huku hawa wapo kule. Huhitaji kuumiza kichwa angalia wanavyoongoza vyama vyao then come back and say hawa ni nafuu. Hamna kitu, the only means ni wewe kupambana na kuingia ulingoni Kama wao na Kama huwezi ni upuuzi kukubali wakutumie Kama mtaji wao!Ndo mana inatakiwa chama tawala kitoke madarakani kiingie upinzani ili kuwe na challenges, maisha yatabadilika tu
Alichokosea mbowe ni kipi?Unajua hawa CHADEMA ni mazuzu! Eti kwa vile ni kiongozi wa chama cha upinzani ukikosea usiguswe! Uliona wapi? Acha wawashikishe adabu!
Nafikiri kwa umati uliofika hapo hakimu amekuwa stressed kuliko kawaida. Which is wrong but the worst part health wise rules were not met. Na haya mambo ta corona. They were supposed to take cautionNi tukio la kihistoria.
Wapiga kura kutoka majimbo ya Iringa mjini, Tarime mjini, Tarime vijijini, Bunda, Hai, Kawe na Kibamba bila kujali itikadi " watajikuta" wamekutana katika mahakama ya kisutu kusikiliza hukumu za wabunge wao.
Tunamwomba mwenyezi Mungu haki ikatendeke mahakamani pale.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Aisee uko sahihi Mkuu.Kukiwasha nchi nzima it is impossible...ila mahakama itatumia busara...ni vema wasifungwe...kwani mahakama ikitumia sheria baadhi yao watafungwa...no doubt about it...busara itawale tu...
Police nyie ni watu wa ajabu sana.Chadema walipanga kwenda kufanya fujo mahakamani ili hukumu isisomwe, la vijana wengi waliowaleta toka Arusha, Kilimanjaro, Iringa na Mbeya wameogopa ulinzi wa Jeshi la Police uliowekwa toka asubuhi hivyo wameshindwa kujitokeza kufanya kazi waliyotumwa isipokuwa wachache waliofika kushuhudia na kuleta vurumai za hapa na pale na Jeshi letu la Polisi.
HUKUMU INAENDELEA KUSOMWA...
VUTA SUBIRA, NITAKUTONYA...
Hii dua ikipokelewa ujue wanakula mvua. Ungesema huruma itendekeMungu asimamie haki itendeke!
Wakati huu wa Kwaresma tunajikumbusha mengi kuhusu Wanasheria na yule Yuda aliyesaliti PIA Petro aliyekana!
Unaona ulivo mjinga aise. Go and look the life they are living, Politicians from both sides, halafu angalia maisha ya Watanzania waliowengi halafu rudi na comment yako boya wewe. Wangekuwa wanawapambania Watanzania wangekubali kuishi maisha ya anasa wanayoishi na familia zao wakati maisha ya Watanzania yapo taabani. Kama wewe ni one of them sawa, lakini hakuna Chama kitabadilisha chochote, Watanzania ni wale wale, tofauti ni hawa wapo huku hawa wapo kule. Huhitaji kuumiza kichwa angalia wanavyoongoza vyama vyao then come back and say hawa ni nafuu. Hamna kitu, the only means ni wewe kupambana na kuingia ulingoni Kama wao na Kama huwezi ni upuuzi kukubali wakutumie Kama mtaji wao!
we see everything.How did you know that?