Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Kuna ndugu wanafurahi hawa viongozi kufungwa ala hawajui kitendo hiki inawaweza sababisha watu kukiwasha nchi nzima mambo mengine huanza hivi kama mzaa et mungu atuepushe kwa ili
Kukiwasha nchi nzima it is impossible...ila mahakama itatumia busara...ni vema wasifungwe...kwani mahakama ikitumia sheria baadhi yao watafungwa...no doubt about it...busara itawale tu...
 
Chadema walipanga kwenda kufanya fujo mahakamani ili hukumu isisomwe, la vijana wengi waliowaleta toka Arusha, Kilimanjaro, Iringa na Mbeya wameogopa ulinzi wa Jeshi la Police uliowekwa toka asubuhi hivyo wameshindwa kujitokeza kufanya kazi waliyotumwa isipokuwa wachache waliofika kushuhudia na kuleta vurumai za hapa na pale na Jeshi letu la Polisi.

HUKUMU INAENDELEA KUSOMWA...

VUTA SUBIRA, NITAKUTONYA...
Jaribu kutumia japo sehemu ndogo ya akili yako. Watuhumiwa ni kutoka sehemu mbalimbali za nchi, kuna ubaya gani wananchi wenye mapenzi mema toka kila sehemu wanakotoka watuhumiwa kuja kusikiliza hukumu ya ndugu zao? Una ushahidi gani kuwa watu hao waliletwa na CHADEMA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
**** off man. Unasema hufatilii siasa eti you are here just for "funny" (its "fun" by the way). This thing is beyond your "funny" stupidity man. This is for the sake of the nation man. The future generations, democracy man. Do you comprehend anything?
Go and look the life they are living, Politicians from both sides, halafu angalia maisha ya Watanzania waliowengi halafu rudi na comment yako boya wewe. Wangekuwa wanawapambania Watanzania wangekubali kuishi maisha ya anasa wanayoishi na familia zao wakati maisha ya Watanzania yapo taabani. Kama wewe ni one of them sawa, lakini
Ndo mana inatakiwa chama tawala kitoke madarakani kiingie upinzani ili kuwe na challenges, maisha yatabadilika tu
Hakuna Chama kitabadilisha chochote , Watanzania ni wale wale, tofauti ni hawa wapo huku hawa wapo kule. Huhitaji kuumiza kichwa angalia wanavyoongoza vyama vyao then come back and say hawa ni nafuu. Hamna kitu, the only means ni wewe kupambana na kuingia ulingoni Kama wao na Kama huwezi ni upuuzi kukubali wakutumie Kama mtaji wao!
 
Ni tukio la kihistoria.

Wapiga kura kutoka majimbo ya Iringa mjini, Tarime mjini, Tarime vijijini, Bunda, Hai, Kawe na Kibamba bila kujali itikadi " watajikuta" wamekutana katika mahakama ya kisutu kusikiliza hukumu za wabunge wao.

Tunamwomba mwenyezi Mungu haki ikatendeke mahakamani pale.

Nawatakia Kwaresma yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Nafikiri kwa umati uliofika hapo hakimu amekuwa stressed kuliko kawaida. Which is wrong but the worst part health wise rules were not met. Na haya mambo ta corona. They were supposed to take caution
Kwa upande wa watuhumiwa this is what we call love
Kwa CCM ni clue kwamba cdm haijakufa as wanavyofikir and they are stronger than ever
 
Chadema walipanga kwenda kufanya fujo mahakamani ili hukumu isisomwe, la vijana wengi waliowaleta toka Arusha, Kilimanjaro, Iringa na Mbeya wameogopa ulinzi wa Jeshi la Police uliowekwa toka asubuhi hivyo wameshindwa kujitokeza kufanya kazi waliyotumwa isipokuwa wachache waliofika kushuhudia na kuleta vurumai za hapa na pale na Jeshi letu la Polisi.

HUKUMU INAENDELEA KUSOMWA...

VUTA SUBIRA, NITAKUTONYA...
Police nyie ni watu wa ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaona ulivo mjinga aise. Go and look the life they are living, Politicians from both sides, halafu angalia maisha ya Watanzania waliowengi halafu rudi na comment yako boya wewe. Wangekuwa wanawapambania Watanzania wangekubali kuishi maisha ya anasa wanayoishi na familia zao wakati maisha ya Watanzania yapo taabani. Kama wewe ni one of them sawa, lakini hakuna Chama kitabadilisha chochote, Watanzania ni wale wale, tofauti ni hawa wapo huku hawa wapo kule. Huhitaji kuumiza kichwa angalia wanavyoongoza vyama vyao then come back and say hawa ni nafuu. Hamna kitu, the only means ni wewe kupambana na kuingia ulingoni Kama wao na Kama huwezi ni upuuzi kukubali wakutumie Kama mtaji wao!

Usini-drag kwenye ujinga wako bana hebu temana na mimi. Hao CCM miaka yote hiyo wamefanya kitu gani mpaka muendelee kuwaimbia mapambio kila siku?
 
Back
Top Bottom