mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
[emoji23][emoji23] watu mna hasira kweliHalafu hii tabia ya kunyatia comment zangu nitakuja kukubesha mimba bure. Kuwa makini!
Usilinganishe Mandela na mpiga deals!Kwan yeye ndo wa kwanza kufungwa Mandela alikaa miaka 27 jela
SawaHatuhitaji busara wala huruma yoyote zaidi ya haki, na sio hizo sheria za kutii atakacho mtawala.
Mzee Meko si tu ni mwendawazimu bali ni mwendawazimu mwenye wazimu, chuki, roho mbaya na asiye na akili kabisa, kitu pekee anachokijua ni "definition ya catalyst"!He is devil na mwanawe Bashite, zero brain!Vyovyote vile,Jiwe ni mwendawazimu!
Swali je marekani kuna tabia Kama za bongo za kubambikia Kesi wapinzani Kama huku?Mnashobokea Marekani wakati hamuijui vizuri Marekani! Marekani kuna jera nyingi kuliko jumla ya nyumba za kuabudia! Ukizingua tu Marekani unaswekwa jera na uruhusiwi kuajiriwa!
Leo kwenda kulala kitanda na Mamtei itakuwa nadra leo ni segera na nyapara wako Adam hizo Ndio siasa Mbowe ungekuwa unalimama nyanya kwenye shamba la mzee Aikaeli haya yasingejitokeza , siasa ni gharama Mangi. Tumia plan B kukata rufaa kama faini haitakuwepo.
Uliacha lakini unakuja for Funny?? Wewe ndio mpuuzi kuliko hata siasa yenyewe. Uliacha siasa lakini unaifatilia kupata furaha ya siasa. Kweli wokengela So akadyanyoko ubhona.Mkuu Mimi ni mwananchi wa kawaida na kuanzia 2015 niliachana na huu upuuzi unaitwa siasa. Na humu ndani nakuja just for funny and every thing I write here is just for funny. Nyie mliowekeza huko kwenye siasa endeleni kupambana!
Mimi sina undugu kabisa na mwanaccm yeyote, hata msiba wa mwanaccm siwezi kwenda na kwangu hata wakija nitawafukuza hao mashetani wa Lumumba!Mungu nakushukuru sababu sina ndugu polisi. Sijui kama ningeweza hata kumsalimia
Sijawahi kuisifia mahakama mimi. Hebu leta ushahidi hapa kuthibitisha kauli yako.Mnaisifia Mahakama hiyo hiyo pale ambapo wale muwapendao wanashinda kesi.
Hypocrites
Kwahiyo we shangazi unajaribu kuelezea uzoefu wako wa kuolewa kule jela kupitia kesi ya Mbowe?Leo kwenda kulala kitanda na Mamtei itakuwa nadra leo ni segera na nyapara wako Adam hizo Ndio siasa Mbowe ungekuwa unalimama nyanya kwenye shamba la mzee Aikaeli haya yasingejitokeza , siasa ni gharama Mangi. Tumia plan B kukata rufaa kama faini haitakuwepo.
Akikurudishia tusi itakuwaje??!!Alimpiga dili mama yako???
Aisee kumbe napoteza muda na zuzu,huu ndiyo mtaji CCM inajivunia.Mnashobokea Marekani wakati hamuijui vizuri Marekani! Marekani kuna jera nyingi kuliko jumla ya nyumba za kuabudia! Ukizingua tu Marekani unaswekwa jera na uruhusiwi kuajiriwa!
Who is Mboye?BREAKING:Joto limepanda
Hakimu amemaliza kupitia uchambuzi wa mashaidi kesi ya kina Mboye
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpiga deal ambaye avunji sheriaUsilinganishe Mandela na mpiga deals!