Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Hivi zinalipwa hapo hapa Cash?
Au wanaruhusiwa waende kuzitafuta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi zinalipwa hapo hapa Cash?
Sijui we umeelewaje?unaposema wakosee basi unakua na maana gani?
"Kwa kweli mashtaka waliyoyafanya washtakiwa hawa ni mabaya sana hivyo washtakiwa hawa wanastahili adhabu kali" amesema Hakimu Simba.
wakili kibatara kuomba aina ya hukumu kwa wateja wake, haoni kwamba anampa nguvu jaji ya kutoa hukumu inayostahili?
Hivi viwango kwa ujumla wao wa kila mmoja?HUKUMU.
Hakimu Mkazi wa mahakama ya Kisutu. Thomas Simba ametoa hukumu kwa John Mnyika, Salim Mwalimu ,Easter Matiko na V.Mashinji kila mmoja kulipa faini ya shilingi Milioni 30.
Heche , Msigwa,Mdee na Bulaya Milioni 40 huku Freeman Mbowe akitakiwa kulipa shilingi milioni 70.
Wana mishahara hao million 10+ per month , bado maeupurupu, wana miradi mikubwa na midogo,wana ruzuku ya chama kila mwezi,
Hata mimi ningechagua kwenda jela. Ila labda watu wanaangalia wakiwa jela watapoteza vingapi. Wanaweza kuamua kubaki uraiani.Bola waende jela miezi 5 watoke mwezi wa 8 wakiwa wamoto na wapya kabisa alafu tunaenda kwenye uchaguzi ..... kuliko kumlipa jiwe na mahakama zake hela zote hizo kalibu nusu bililion
Dunia hadaa ulimwengu shujaa!!Hakimu Mkazi wa mahakama ya Kisutu. Thomas Simba ametoa hukumu kwa John Mnyika, Salim Mwalimu ,Easter Matiko na V.Mashinji kila mmoja kulipa faini ya shilingi Milioni 30. Heche , Msigwa,Mdee na Bulaya Milioni 40 huku Freeman Mbowe akitakiwa kulipa shilingi milioni 70.
Sisi wananchi pia ni stupid citizens kwa sababu serekali inafanya ujinga ila hatuiwajibishi!serikali inayoinvest time,energy resources ku deal na wapinzani...stupid government!
Ndogo sana kwa mbowe hiyo, anapitia hapo benk ,kwenye akaunt ya chadema anachota analipaMbowe pesa atakayolipa jumla 87 milion hatari sana.
Ni kama vile una kitu cha kuwafanya endapo watakosea hukumu, nimeelewa hivyo.