Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

HUKUMU.
Hakimu Mkazi wa mahakama ya Kisutu. Thomas Simba ametoa hukumu kwa John Mnyika, Salim Mwalimu ,Easter Matiko na V.Mashinji kila mmoja kulipa faini ya shilingi Milioni 30.
Heche , Msigwa,Mdee na Bulaya Milioni 40 huku Freeman Mbowe akitakiwa kulipa shilingi milioni 70.
Tutazichangaa hizo [emoji108][emoji3577]watupe wiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe pesa atakayolipa jumla 87 milion hatari sana.
 
Kutiwa hatian sio kufungwa ...lazima wataambia kuhusu faini wewe unafikil dk mashinji naye afungwe kitu kama hicho akipo
Kulipa faini ndo kifungo tu ingawa inakupa option ya kuchagua wewe mfungwa. Kwa mfano ukihukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini laki 5 hapo kifungo ni miaka 2 ambayo inakufanya upoteze sifa ya kuchaguliwa uongozi. Kumbuka hawa ni wanasiasa!
 
Aaron Arsenal, Bola waende jela miezi 5 watoke mwezi wa 8 wakiwa wamoto na wapya kabisa alafu tunaenda kwenye uchaguzi kuliko kumlipa jiwe na mahakama zake hela zote hizo kalibu nusu bililion
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]watu mna laana
Mkuu hilo penzi pia analo jiwe kwa bashite. Yaani jamaa akiona lile kalio anachanganyikiwa kabisa, saa hii imebidi akongee na Trump ili amkanye Pompeo kuhusu mkwaju wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom