Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Ila bulaya bwana akili yake yote alimpaga halima mdee. Yaani ukitaka kumkamata bulaya we mtege tu halima mdee. Bulaya ataingia mzima mzima. Kweli penzi ni upofu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hilo penzi pia analo jiwe kwa bashite. Yaani jamaa akiona lile kalio anachanganyikiwa kabisa, saa hii imebidi akongee na Trump ili amkanye Pompeo kuhusu mkwaju wake.
 
Hakimu anatetemeka sana ..hukumu itakuwa ameandikiwa huyo...
Kuna hatari John Heche kula mvua na mwenyekiti wake...Ndege zimeshaandaliwa watawanye kwenye magereza mbalimbali .

Dar,Mwanzaz Dodoma na Mbeya .

Nilipoona tu Tweets za Halima Mdee na Ester Bulaya nilianza Kuogopa na mpaka sasa bado naendelea Kuogopa ila ngojeni tuone!
 
#Hukumu_Kesi_Mbowe_Na_Wenzake
Kosa la 2wote10m
Kosa la 3wote10m
Kosa la 4wote10m
Kosa la 5Mbowe10m
Kosa la 6Mbowe10m
Kosa la 7 Mdee10M
Kosa la 8 Heche10M
Kosa la 9 Mbowe5m
Kosa la 10 Mbowe5m
Kosa la 11 Mbowe10m
Kosa la 12 Mbowe Msigwa10m
Kosa la 13 Mbowe Bulaya10m
Au miezi5 jela
 
#UpdatesKisutu
Polisi wanaendelea kuzurura mitaa ya jirani na Mahakama ya Kisutu na kukamata mtu yeyote anayehisiwa kuwa mfuasi wa Chadema. Ndani ya Mahakama hiyo Hakimu Thomas Simba amemaliza kusoma maelezo ya mashahidi 8 wa upande wa mashtaka, na sasa anasoma maelezo ya mashahidi 13 wa upande wa utetezi.!
 
Wakili kazi yake sio kuitaka mahakama itoe adhabu flani bali kazi ya wakili ni kuiomba mahakama ipunguze adhabu kwa mteja wake kutokana na sababu kadhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji12][emoji12][emoji12]
Screenshot_20200303-141241-picsay.jpeg
 
Watu tulishasema, tulibezwa hapa.huyu hakimu anatumika tu.poleni wapinzani
 
Kutiwa hatian sio kufungwa ...lazima wataambia kuhusu faini wewe unafikil dk mashinji naye afungwe kitu kama hicho akipo

Uko sahihi ila usisahau kama lengo lao ni kwa Watu fulani lolote linaweza Kubadilishwa hapo na wale ambao wanaonekana ni Tishio hasa Kisiasa na Majimbo yao yanatakiwa ndiyo Wakahukumiwa. Na wapo ambao wanaweza wakapozwa ( wasihukumiwe ) pamoja na huyo aliyehamia Kwao ili Kumlinda. Hii Kesi imekaa vibaya na imejaa Kukomoa na Kisasi hasa kama walikuomba uende Kwao na Wewe ukakataa. Ngoja tuone!
 
Back
Top Bottom