mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatoa maagizo kwa wife afwanyweje wakati wewe huko jera kwa mfano! Atulie wakati atoa huduma au?
CCM wanatumia vyombo vya dola vibaya saana!!
Maagizo ya CCM ndiyo yaliyomuua akwilina...watanzania wote tunajua.
Kuna mtu anafikiri ataua siasa za upinzani nchini kwa kuwafunga wanasiasa!! Amebugi.
Kwa hiyo technically wanaachiwa Kwa kuwa halikuwa shtaka la msingi...anyway Mimi ni layman kwenye SheriaMashtaka 12 kati ya 13 waliyofunguliwa Mbowe na wenzake yamethibitshwa na mahakama kuwa ni ya kweli. Shtaka moja tu la kula njama ndilo lililoondolewa.
Kwa maana hiyo Mbowe na wenzake walisababisha mauaji ingawa halikuwa shtaka la msingi hivyo halitajadiliwa na mahakama hiyo!
Wakili Kibatala amemwomba Hakimu kutoa hukumu ya washtakiwa walipe faini badala ya kuwapa adhabu ya kifungo baada ya washtakiwa wote kukutwa na Hatia kwenye makosa 12 kati Ya makosa 13 yaliyokuwa yanawakabili
Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka wanyongwe nini..!?Hakimu simba anasema washtakiwa wametenda kosa kubwa sana hivyo wanatakiwa wapewe adhabu kali sanaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
kunguru wewe na kizazi chako pamoja na waliokuzaa matako wewe
Nikajua wamekula mvua sasa kwa maana hiyo si wanalipishwa fain tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamepigwa nyundo ngapi behind barz ili tujue kabisa kama uchaguzi wanatimba au wanatimbilioWakili Kibatala amemwomba Hakimu kutoa hukumu ya washtakiwa walipe faini badala ya kuwapa adhabu ya kifungo baada ya washtakiwa wote kukutwa na Hatia kwenye makosa 12 kati Ya makosa 13 yaliyokuwa yanawakabili
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi"Kwa kweli mashtaka waliyoyafanya washtakiwa hawa ni mabaya sana hivyo washtakiwa hawa wanastahili adhabu kali" amesema Hakimu Simba
Halafu unajua (ganda la ndizi jalalani) ndio hawahawa walihesabu matokeao ya kura 2015, wakapambana na wenzao wapinzani walivyokuwa wakiendelea kuhesabu lakini wote hawapo barabarani tena.
View attachment 1383191