Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mashtaka 12 kati ya 13 waliyofunguliwa Mbowe na wenzake yamethibitshwa na mahakama kuwa ni ya kweli. Shtaka moja tu la kula njama ndilo lililoondolewa.

Kwa maana hiyo Mbowe na wenzake walisababisha mauaji!

Kwahiyo tuanze Kuamini kuwa watafanyiwa kama kinachoonekana katika Avatar yako hii hapa Mdau au?
 
Washtakiwa wote ambao ni viongozi wa Chadema wakiongozwa na Freeman Mbowe wamekutwa na Hatia katika Makosa 12 kati ya Mashtaka 13, Hakimu wa Mahakama ya Kisutu amesema amewafutia shitaka la kwanza.
 
Mashtaka 12 kati ya 13 waliyofunguliwa Mbowe na wenzake yamethibitshwa na mahakama kuwa ni ya kweli. Shtaka moja tu la kula njama ndilo lililoondolewa.

Kwa maana hiyo Mbowe na wenzake walisababisha mauaji!
Mkuu mbona una wasiwasi sana?!

Kutiwa hatiani siyo kufungwa jela unaweza kulipishwa faini!
 
JokaKuu,
Haki ya nani... Unatoa tangazo watu watawanyike... Alafu huwapi muda wa kutawanyika...
Yaani hawa alipanga tu kuwakamata na kuwalaza ndani hao wafuasi!!

My take: maagizo mapya... Achilia viongozi... Tia ndani wanafuasi!!
 
tindo,
Unatoa maagizo kwa wife afwanyweje wakati wewe huko jera kwa mfano! Atulie wakati atoa huduma au?
 
Mashtaka 12 kati ya 13 waliyofunguliwa Mbowe na wenzake yamethibitshwa na mahakama kuwa ni ya kweli. Shtaka moja tu la kula njama ndilo lililoondolewa.

Kwa maana hiyo Mbowe na wenzake walisababisha mauaji ingawa halikuwa shtaka la msingi hivyo halitajadiliwa na mahakama hiyo!
'No one is above the law'
 
UPDATE: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA katika mashtaka 12, isipokuwa shtaka la kwanza la kula njama

> Kuhusu Mauaji ya Akwilina, Hakimu amesema haliwezi kuzungumziwa Mahakamani hapo kwani ni Kesi ya mauaji na si hoja ya msingi

Source: Jf leo

Wakili Kibatala amemwomba Hakimu kutoa hukumu ya washtakiwa walipe faini badala ya kuwapa adhabu ya kifungo baada ya washtakiwa wote kukutwa na Hatia kwenye makosa 12 kati Ya makosa 13 yaliyokuwa yanawakabili.

"Kwa kweli mashtaka waliyoyafanya washtakiwa hawa ni mabaya sana hivyo washtakiwa hawa wanastahili adhabu kali"
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jela inawahusu viongozi wa CHADEMA.
Namuona faru aliyenusurika kule selous anavyokenua meno.
 
UPDATE: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA katika mashtaka 12, isipokuwa shtaka la kwanza la kula njama

> Kuhusu Mauaji ya Akwilina, Hakimu amesema haliwezi kuzungumziwa Mahakamani hapo kwani ni Kesi ya mauaji na si hoja ya msingi

#JFLeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom